Huyo anakufaa kbs kwanza mmeanzia mbal sana na huyo ndo anakufaa plssd usimkataeNatumai hamjambo na mnaendelea na kukulu kakala za utafutaji,
Ni miaka 6 sasa nilipokutana na binti mipakani nikifanya biashara Enzi hizo ilikuwa ni biashara za magendo Kasumuru/Tunduma pia yeye nae alikuwa na biashara yake haikuwa halali tulisaidiana kila baya lilipomkuta mmoja wetu tumeenda hivyo mpaka mnamo mwaka 2012 mwishoni nilipomwambia mimi nataka niache biashara hizi za mipakani akaniambia na yeye anampango huo tena anahama na kutaka kuhamia Dar na akasema kama niko tayari tuungane na kuiunganisha mitaji yetu ili tuwe vizuri.
Tukakubaliana na tukafanya hivyo safari yetu ilitufikisha Dar na kutafuta nyumba ya kuishi tukapata nyumba mtaa mmoja lakini ni nyumba mbili tofauti, baada ya hapo tukaingia kusaka Fremu ya duka K/koo MUNGU mkubwa tukapata na kuilipia japo ilikuwa gharama lakini nilimshauri mwenzangu hela yake ianze kulipa pango la biashara.
Tumefanya biashara kwa mafanikio makubwa kwani sasa tayari tuna maduka mawili tatizo lilianza wiki iliyopita mwenzangu alipoamua kuniambia nanukuu " (jina) nimekaa na wewe kwa mda mrefu sana nimekujua unanijua lakini hata siku moja hukuwahi nidharau naomba nitakayokwambia usinidharau au kunifikilia vibaya.
Nikamjibu wewe sema tu akaniambia ananipenda sana na anaomba niwe mume wake kwani siku nyingi amekuwa akiumia na siri hiyo"niseme tu hapa kazini wengi wanajua ni mdogo wangu jinsi tunavyoishi na nadhani hata mimi ndio nilivyokuwa nikimchukulia kwani hata urembo wake sikuwa nikiutazama kwa kumtamani nikimchukulia kama dada of course ni Cute na kule kutomuona akijishughurisha na wanaume nikajua ni ule u busy wa kazi maana kila siku saa 11 asubuhi kazini na kutoka 12 mpaka folen hizi 4 usiku home hiyo J'pili ya mapumziko akitoka church ni kazi mpaka jioni, mimi nina msichana wangu siwezi muita demu anajieshimu japo sijamjua vema nilianzisha uhusiano nae ni kama miezi 8 iliyopita japo saivi kaamishwa kikazi lakini tuko vizuri ki mawasiliano nikili tu Nampenda".
Nilimjibu partner kuwa nitampa jibu aniache nitafakari wakuu mimi ni mtoto wa kiume nimefikilia wiki nzima nimeona acha tu nikae kwa huyu partner.
Huyu mpenzi wangu tayari tulishaanza kupanga mwezi wa 7 nikatoe posa kwao kosa kubwa sikuwahi mshirikisha partner kuhusu mahusiano yangu na hiyo mwanamke wangu nikijua mapema sana lkn kwa hili alilokuja nalo sasa naona Nimkubalie kwa masrahi ya ustawi wa biashara zetu japo tunaweza kugawana lakini hofu yangu kwa hari ilivyo sasa kiasi tutayumba ama mimi au yeye na hatuwezi kutupana tumetoka mbali.
Msaada wa ki mawazo member nigeuze partner awe mke au niendelee na mausiano yangu na msichana wangu.
Tatizo liko wapi hapo? Mnajuana ndani nje, alikuita Kaka sawa ila si kaka yake wa kuzaliwa naye. Huyo mwingine tafuta njia ya kumweleza/ kumwelimisha juu ya kubadili mawazo yako juu yake.Aisee inaitajika saikolojia alikuwa akiniita kaka kwa heshima zote sasa ataniita mpenzi...
Ahsante hata mimi nahisi sasa navutika kuwa kwake ki mapenzi maana nimemfikilia wiki nzima
Mkuu listen to ur filngs kuishi na mkuu ni zaidi ya unavyo fikiria biashara na mahusiano c dili but wat u fill in u ndio inshuNatumai hamjambo na mnaendelea na kukulu kakala za utafutaji,
Ni miaka 6 sasa nilipokutana na binti mipakani nikifanya biashara Enzi hizo ilikuwa ni biashara za magendo Kasumuru/Tunduma pia yeye nae alikuwa na biashara yake haikuwa halali tulisaidiana kila baya lilipomkuta mmoja wetu tumeenda hivyo mpaka mnamo mwaka 2012 mwishoni nilipomwambia mimi nataka niache biashara hizi za mipakani akaniambia na yeye anampango huo tena anahama na kutaka kuhamia Dar na akasema kama niko tayari tuungane na kuiunganisha mitaji yetu ili tuwe vizuri.
Tukakubaliana na tukafanya hivyo safari yetu ilitufikisha Dar na kutafuta nyumba ya kuishi tukapata nyumba mtaa mmoja lakini ni nyumba mbili tofauti, baada ya hapo tukaingia kusaka Fremu ya duka K/koo MUNGU mkubwa tukapata na kuilipia japo ilikuwa gharama lakini nilimshauri mwenzangu hela yake ianze kulipa pango la biashara.
Tumefanya biashara kwa mafanikio makubwa kwani sasa tayari tuna maduka mawili tatizo lilianza wiki iliyopita mwenzangu alipoamua kuniambia nanukuu " (jina) nimekaa na wewe kwa mda mrefu sana nimekujua unanijua lakini hata siku moja hukuwahi nidharau naomba nitakayokwambia usinidharau au kunifikilia vibaya.
Nikamjibu wewe sema tu akaniambia ananipenda sana na anaomba niwe mume wake kwani siku nyingi amekuwa akiumia na siri hiyo"niseme tu hapa kazini wengi wanajua ni mdogo wangu jinsi tunavyoishi na nadhani hata mimi ndio nilivyokuwa nikimchukulia kwani hata urembo wake sikuwa nikiutazama kwa kumtamani nikimchukulia kama dada of course ni Cute na kule kutomuona akijishughurisha na wanaume nikajua ni ule u busy wa kazi maana kila siku saa 11 asubuhi kazini na kutoka 12 mpaka folen hizi 4 usiku home hiyo J'pili ya mapumziko akitoka church ni kazi mpaka jioni, mimi nina msichana wangu siwezi muita demu anajieshimu japo sijamjua vema nilianzisha uhusiano nae ni kama miezi 8 iliyopita japo saivi kaamishwa kikazi lakini tuko vizuri ki mawasiliano nikili tu Nampenda".
Nilimjibu partner kuwa nitampa jibu aniache nitafakari wakuu mimi ni mtoto wa kiume nimefikilia wiki nzima nimeona acha tu nikae kwa huyu partner.
Huyu mpenzi wangu tayari tulishaanza kupanga mwezi wa 7 nikatoe posa kwao kosa kubwa sikuwahi mshirikisha partner kuhusu mahusiano yangu na hiyo mwanamke wangu nikijua mapema sana lkn kwa hili alilokuja nalo sasa naona Nimkubalie kwa masrahi ya ustawi wa biashara zetu japo tunaweza kugawana lakini hofu yangu kwa hari ilivyo sasa kiasi tutayumba ama mimi au yeye na hatuwezi kutupana tumetoka mbali.
Msaada wa ki mawazo member nigeuze partner awe mke au niendelee na mausiano yangu na msichana wangu.
Mkuu, Mungu akupe ishara gani? Mke(partner) unaye tangu mlipo anza biashara pamoja. Mlivuka milima na mabonde katika maisha, biashara haramu mpaka halali, leo hii mpo pamoja.Usemalo ni kweli mkuu hapo mwanzo sikuwa na mapenzi nae ni kama dada yangu tu japo ni mrembo na mbaya zaidi aliponiambie hapo ndio nikaanza kumtazama kwa lile jicho la kutamani nikili tu nilijiona mjinga sana kuishi na binti mzuri kwa miaka yote mpaka yeye mwenyewe alivyonigutusha nimeanza kumpenda Upendo wa kimapenzi wiki moja tu sasa sasa sijui nimempenda au nimemtamani
Wanawake ni tofauti na wanaume wala usishangaeAhsante mkuu kwa ushauri wako japo mda mwingine nikawa nawaza na kuhisi labda partner anataka kuteka mchakato why leo na isiwe miaka ya nyuma huko
Nimtazamo wangu tuu lakini sidhani kama itakua sawa kujikera au kuishi na mtu ambae moyo wako hauna furaha kwake,naamini kua baada ya kazi nzito unahitaji urejee nyumbani na kumkuta yule moyo wako unapenda na hata mda mwengine unapenda kuongea na yule mtu moyo wako unapenda,nna imani kama huyo partner wako atakuelewa,au unadhani ukiwa nae yeye na moyo hauna furaha si ndio mwanzo waku cheat na akijua utasema kwanza hukua choice yangu
huoni kama itakua mbaya zaidi?
Ndo mwanamke wako wa kwanza!?Mkuu huoni nitakuwa nimeidhurumu nafsi ya binti wa watu kuwa mwezi wa 7 namtolea posa afu kwa tabia za mabinti lazima atakuwa tayari ameshazinyetisha hizo habari kwa baadhi ya ndugu Ake