Partner kwenye biashara, anataka twende mbali zaidi

Partner kwenye biashara, anataka twende mbali zaidi

Kwetu kuna kamsemo tunasema kutupa shilingi. Itakako angukia ndiko sahihi. Mpaka ulipofika huwezi fanya maamuzi sahihi mshirikishe Mungu akutegulie hiyo kitenda wili.

Uamuzi wa kuoa ni kifungo cha milele kama ni mkristo huitaji kuwa na papara wala wasikutie kasi ya kumuoa yoyote
Funga mchana siku tatu mwambie Mungu yupi niende naye kama mke.
 
Sorry nimepositi kabla ya kumaliza
Mwambie rafiki yako u naye mwaminini akuandikie majina yao katika bahasha tatu zinazofanana za kaki kila bahasha iwe na jina moja na ingine isiwe na kitu. Wakati anaadika wewe usiwepo na usione.

Akisha andika akupe hizo bahasha 3 zikawa ndani ya bahasha nenda nazo Kwako na kila ukiomba katika siku hizo tatu mwambie Mungu mapenzi yako yatimie nakusihi nipate mke hapa na kama sivyo niokote iliyo tupu.
Siku ya 3 jioni utamshukuru Mungu kwa jibu jema

Funga bahasha zionekane zote 3 na kabla ya kuchagua moja sema Mungu mapenzi yako yatimie okota kwa furaha na ufungue. Utakachopata ndiyo mapenzi ya Mungu.

Kama ukipenda tushirikishe majibu
 
Mpwaaaaaaaaaaa kwa hiyo hujawahi tena kuambiwa hilo neno?
Unajua mpwa hili neno lina heshima kubwa sana....ni neno linalofungua ulimwengu mpya wa mapenzi...kwa hiyo mtu akikutamkia na kwa uzito wa neno lenyewe unaweza ukajihisi unapaa kwa raha au kama una moyo mwepesi unaweza ukafa kwa mshtuko....ni neno zito linalotamkwa kiurahisi kwa wasiomaanisha...
 
Ndg hili suala sio hata la kujadili wala kukupa ushauri. Binti ana mchango mkubwa sana katika ustawi wa biashara na maisha yako kiujumla.
Wewe hujiulizi why alisupport wazo lako la kubadili, kuhama na kushare mtaji ili mfanye biashara kubwa ya maana?!
Hujiulizi why ktk uwepo wake kwenye mishe zako kumekuwa na mafanikio? Why Mungu aliwakutanisha? why hajawahi leta zengwe lolote ktk b'ness na besides amekomaa kwa juhudi zake zote kuhakikisha kwamba mambo yanaenda sawa!
Leo hii unahoji kuhusu heshima ya pekee aliyokupa kuumiriki moyo wake na akuzalie watoto?!

Trust me hata leo hii huyo partner if she decides to walk away bila hata kugawana chembe ya mtaji mliofikia then huo mchuchu wako ukatakeover utayumba na hamtapiga hatua yoyote.
Kwanza u sure mchuchu atakusupport mbishe zako? Una hakika kuwa anakupenda or is just b'se she first saw you operating b'ness hence you are capable of financing her?
Una bahati sana Mungu kakuletea mke mwema tena miguu kwako... GO MARRY HER SHE IS MATERIAL WIFE!!
 
Unajua mpwa hili neno lina heshima kubwa sana....ni neno linalofungua ulimwengu mpya wa mapenzi...kwa hiyo mtu akikutamkia na kwa uzito wa neno lenyewe unaweza ukajihisi unapaa kwa raha au kama una moyo mwepesi unaweza ukafa kwa mshtuko....ni neno zito linalotamkwa kiurahisi kwa wasiomaanisha...
Ni kweli, nakuelewa sana mpwa
 
Hapo patam!!
Partner yuko vzr lkn Yule mwngne utamwambia sentensi gan ad akuelewe??

Yan nmejkuta namhurumia
 
Sorry nimepositi kabla ya kumaliza
Mwambie rafiki yako u naye mwaminini akuandikie majina yao katika bahasha tatu zinazofanana za kaki kila bahasha iwe na jina moja na ingine isiwe na kitu. Wakati anaadika wewe usiwepo na usione.

Akisha andika akupe hizo bahasha 3 zikawa ndani ya bahasha nenda nazo Kwako na kila ukiomba katika siku hizo tatu mwambie Mungu mapenzi yako yatimie nakusihi nipate mke hapa na kama sivyo niokote iliyo tupu.
Siku ya 3 jioni utamshukuru Mungu kwa jibu jema

Funga bahasha zionekane zote 3 na kabla ya kuchagua moja sema Mungu mapenzi yako yatimie okota kwa furaha na ufungue. Utakachopata ndiyo mapenzi ya Mungu.

Kama ukipenda tushirikishe majibu
Aisee mkuu mimi naona hapo ni kama atakuwa anamjaribu Mungu wake wakati alitakiwa alishinde jaribu la kwanza ambalo ni kuingia kwa huyo "mchumba" wakati tayari keshaletewa mke mwema over5 yrs back!
Aepuke sana kumuumiza partner wake n besides aheshimu hisia zake.
 
Mke ni yule aliyekwisha kuolewa. Kati ya hao hana mke bado. Ila ana wa chumba wawili na anataka kuamua nani awe mke. HUU ni mtego mkubwa kwake lazima aende na u hakika kwenye ndoa akijua kabisa pasipo shaka kuwa huyu ni mke halali kwake na awe na support ya Mungu.

Vinginevyo baadae atakuja kujilaumu aah nilimwecha partner nikaoa huyu.au niliona huyu nikamwacha partner! !!

Akitoka na uhakika hapo hata magumu yakija ndani ya ndoa hatajuta kwani itampa imani kuwa ni mapito tuu na sio kwababu ya chaguo.

Anaweza asitumie njia hii niliyoandika Lakini kumshirikisha Mungu ni muhimu kwa alipofika.

Ni furaha yangu Mungu Ampe mke mwema.
 
Umenena vyema. Lakini mwisho wa siku inabidi jamaa aangalie uhalisia na sio hisia za kufikirika.
Mi naona partner ndo best kampani yake na isitoshe wote wawili wanafahamiana kiundani na wanapendana ndiyo maana wanamanage bness bila shida.
Ikitokea hata jamaa akapatwa na masahibu ktk maisha partna kama mke atapiga kazi!
 
Do not so easily imerse yourself brother...jipe muda ujaribu kulifikiria hilo penzi na partner.. Huwezi jua moyo wake. Inawezekana anataka kukusogeza so close na yeye na baadae abaki na milki ya biashara. Hope umenielewa
 
Unataka kumkubali kwa maslahi ya biashara? Unadhani ndoa ni lelemama?

Nyie ndio mnaooa halafu kutwa kuhangaika nje.....

Oa mwanamke kwa kuwa unampenda na unaweza kuishi nae maisha yako yote. Na si kwa sababu ya biashara....what if kikatokea la kutokea biashara ikafa? Ndoa nayo itakufa???
 
Back
Top Bottom