Part 3: TISS bado safari ngumu

Part 3: TISS bado safari ngumu

TISS yetu ipo nyuma sana kwenye issue ya ujasusi wa kiuchumi wao wamejikita zaidi kwenye usalama wa nchi tu na kuhakikisha dola haiguswi na wananchi.

Ndio maana wao huwa wanazima maandamo ya upinzani haraka sana kabla hayajaleta madhara kwenye nchi. Laiti TISS ingejikita kwenye ujasusi wa kiuchumi na huo wanao ufanya sasa hakika tungesonga mbele kiasi fulani. Vijana wote anaojiunga na TISS hawajui kazi ya hiyo taasisi zaidi ya kufuatilia watu wanaomchafua raisi na chama tawala.

Ukosefu wa elimu ya uchumi kwa hawa baadhi ya wateule wa hii taasisi unachangia sana kuwa hapa tulipo na pia hawaandaliwi kwa ajili ya kujenga uchumi bali kukabilia maadui wa kisiasa tu.
 
TISS imekuwa TISS kama nao hawasikii hizi kelele basi tukae kimya tu
 
Mbona kila linalofeli nchi hii lawama ni kwa TISS !?

TISS haiwezi kufanya kila kitu. Jambo la msingi ni kuboresha taasisi zetu nyingine zifanye kazi kwa ubora.

Hii kuitegemea TISS ifanye kila kitu ndio inaturudisha nyuma. Kukitokea rushwa lawama kwa TISS, mikataba mibovu lawama kwa TISS. Wakati huo huo kuna taasisi zinazohusika na hayo mambo.

Tukiachana na hayo, mimi ukiniuliza ni kwa nini tunapiga hatua za polepole kwenye maendeleo, ntakwambia tatizo ni elimu.

Elimu yetu imetengeneza lundo la wasomi ambao mchango wao kwenye taifa hili ni kiduchu sana. Sana sana taifa linaingia hasara ya kuwahudumia tu.
TISS wapo katika kila Taasisi unayoifahamu hapa nchini
 
hivi hujui kila taasisi wamewekewa hao watu unadhani perfomance ya kazi na utendaji utatoka wapi ikiwa humo humo kwenye tasisi tu ukionyesha basi unatolewa
 
TISS wamebaki kuvaa miwani mieusi na mikwala mingi kumbe uwezo wao ni kwenda Facebook, Instagram na twitter kusaka watu wanaoikosoa serikali ili wawaumize!

Tuna Idara ya Ajabu sana awamu hii tangu tupate uhuru
Nasema hivi tuna Idara ya Ajabu sana tangu tupate uhuru.

Mimi nina imani zaidi na sungusungu wa mtaani kwetu kuliko TISS.
Angalau sungusungu wetu wanalinda watu wote kitaa bila kujali vyama vyao lakini TISS ya siku hizi imegeuka kuwa Idara kama Idara nyingine za CCM
 
lakini kuna watu wanaandika vitu vizuri nadhan mpaka malaika mbinguni wakitulia na kusoma wenyewe wanakubali uongozi hautaki elimu hasa kwny hii taasisi ya TISS si kama elimu itfny mabadiliko bali ni maamuzi tu
kubadilisha utawala eti kisa mmoja kapinga ni kudhoofisha taasisi itapelekea wengine wawe vibaraka kwa kuhofia kutenda kinyume na yule aliyepo na ajaye.
 
BILA SHAKA, Tanzania ina HAZINA kubwa ya kile Baba wa Taifa alotaja kama hitaji la MAENDELEO yaani WATU.
Wewe ni mmojawapo wa hao Watu. Laiti hazina hii ingetumiwa. Kwa nini naandika hivi? Wapo wengi wa aina yako waliogaragazwa na kuharibiwa maisha kutokana na ROHO mbaya someplaces. Namkumbuka Prof. Masao (RIP Mtanzania mwenzetu). Yupo pia TAML .... (achana na jicho la kisiasa) et. al.

Kudos brother😀
 
Ukitaka kufanikiwa kimaisha, jifunze kwa watu waliofanikiwa, jenga urafiki na watu wenye mafanikio, jipendekeze kwao, jifanye mjinga siku ipite, kumbe lengo lako kuna kitu unachokitafuta.

Usijifanye mjuaji, kubali kukosolewa, pokea mawazo ya watu mbalimbali kisha uyachuje na kuchukua yale unayoona yanaweza kukusaidia, hiyo ndo siri ya mafanikio.

Idara yetu ya usalama wa taifa inatakiwa iige mafanikio ya idara zilizofanikiwa zaidi Duniani, MOSSAD, MI6,CIA,PSIA(Japan) huwezi kufanikiwa kwa kuendelea kuiga mifumo iliyoshindwa, na ndo maana kila kitu chetu hakiendi, tumebakia kuwa watu wa kulia lia kila siku na umaskini usio koma.

Sikushangaa kumwona waziri mkuu wetu akizindua Gereza, kuzindua Gereza ni mkosi, ni balaa, ni nuksi, ni laana, ni futureless.

Duniani pote ktk ufuatiliaji wangu wa habari za mataifa mbalimbali sijawahi kuona kiongozi mkuu wa serikali kwa level ya waziri mkuu akizindua Gereza, bali huwa nawaona wakizindua viwanda.

Kuzindua Gereza ni ishara ya kukata tamaa, unazindua ili nani akalale humo?

Wakati Uholanzi wanafunga magereza sisi tunazidi kuyajenga, 95% ya uhalifu inasababishwa na hali mbovu ya uchumi na si vinginevyo.

Ni idara ya usalama wa taifa pekee ndo yenye uwezo mkubwa wa kutengeneza mazingira ya utawala bora yanayopelekea uchumi imara kwa watu wake, hili Japan na Israel wamefanikiwa sana.

Kwa sasa Israel ina kiwango cha maisha bora mno kwa watu wake kuliko nchi nyingi tu za Ulaya.

Israel ni nchi ya 20 Duniani kwa kuwa na uchumi bora, na ni nchi ya pili Duniani baada ya Marekani kuwa na makampuni makubwa ya Technology na kampuni zingine kubwa kuzidi kuwekeza Israel na siyo China ambayo wengi wanaisifia, huu ni utundu uliotukuka wa vijana wa MOSSAD.

Mossad wanatumika kuhakikisha Israel iko salama kwa kitu, haki, Demokrasia, utu, uzalendo vimetamalaki Israel.

Sasa unawezaje kuwaiga Rwanda hao choka mbaya badala ya kutamani kuwa Kama Japan au Israel?

Binafsi huwa natamani kuwa na pesa nyingi na mafanikio Kama MO Dewji, sitamani kuwa maskini.

Huwa natamani sana kuiona Tanzania ikifanikiwa kiuchumi Kama Australia, ukiwa ktk nchi hii huhitaji maneno ya magazeti ya kisiasa kuwa eti nchi uchumi umekua, mandhali ya nchi na watu wake pekee yatosha kukujulisha kwamba hii ni nchi yenye uchumi mzuri.

Naporudi nyumbani Tanzania huwa nakaribishwa na mandhali iliyopauka kimaskini na nyuso za watu waliokata tamaa kwa ugumu wa maisha, Halafu nikienda kwenye kibanda cha magazeti nakutana na habari ya uchumi wa Tanzania kuzidi kupaa, naishia kucheka kwa huzuni.

Mtu mmoja alikuwa akitibiwa India eti kila siku gharama za matibabu ni sh mil 150, huyu naye mlishindwa kumdhibiti kwa wizi mkubwa wa kishamba hivi?

INAENDELEA
Anafungua Gereza na Mbwembwe juu TBC live. hahahaaaaa wanajichimbia makaburi. Hawana cha kufungua, tumeimbiwa nyimbo ya fly over, stigilers na Dreamliner karibu miaka minne sasa zimechuja wamehamia kwenye magereza
 
magereza lazima yajengwe kwa kasi ili wachochezi kama wewe muhifadhiwe huko, Israel ndio wanaongoza kwa kuvunja haki za wapalestina, usijitoe akili.
Hii ni mada ya watu wenye akili? mjinga Kama wewe unatakiwa upite kimya kimya tu, kwa sababu hujui hata nilichokiandika, hata Rais akisoma hapa kuna mahali atapata point za kufanyia kazi
 
Mbona kila linalofeli nchi hii lawama ni kwa TISS !?

TISS haiwezi kufanya kila kitu. Jambo la msingi ni kuboresha taasisi zetu nyingine zifanye kazi kwa ubora.

Hii kuitegemea TISS ifanye kila kitu ndio inaturudisha nyuma. Kukitokea rushwa lawama kwa TISS, mikataba mibovu lawama kwa TISS. Wakati huo huo kuna taasisi zinazohusika na hayo mambo.

Tukiachana na hayo, mimi ukiniuliza ni kwa nini tunapiga hatua za polepole kwenye maendeleo, ntakwambia tatizo ni elimu.

Elimu yetu imetengeneza lundo la wasomi ambao mchango wao kwenye taifa hili ni kiduchu sana. Sana sana taifa linaingia hasara ya kuwahudumia tu.
Hata mm nashangaa mkuu.

Yaani TISS inachukuliwa kama mungu wa pili ni kosa sana hata nchi zilizoendelea kama marekani CIA kuna sehemu zina feli pia.

Pia Tiss sio private entity kwamba kuna robo, nusu au mwaka inatoa report kuonyesha walipofanikiwa au walipofeli ila wengi wetu humu tunafanya kuhisi na mihemko ya kukosoa TISS kana kwamba hawana mazuri zaidi ya mabaya tu mkuu.
 
Back
Top Bottom