Mama anauchapa mwingi sana, hadi mwingine unamwagika...

1644852302259.jpeg
 
Yeye kama Rais tunayemwamini anajua na inatosha, au ulitaka watanzania wote milioni 60 tukaingie Ikulu ya Paris kusikiliza wanachoongea? Acha ujinga
Mjinga ni wewe ambaye hujui kuwa sisi raia ndio mabosi wake na tuna kila haki ya kujua yanayojadiliwa maana nchi ni yetu hii.
 
Na wale usalama wanao zunguka zunguka wengi kama vile hakuna amani
Hiyo ni kati ya Ikulu inayolindwa zaidi duniani, hela nyingi mnoo inatumika kuilinda hiyo Ikulu! Wanausalama kuzunguka or kutozunguka ni kwamba kila nchi ina style yake ya ulinzi, hakuna shida yeyote kama tumeamua wanausalama kuzunguka katika Ikulu yetu, inakupunguzia kula hiyo?
 
Jinga kabisa, nini maana ya kuchagua wawakilishi? Kama unataka kujua kila kitu haina haja ya kuchagua viongozi, tuishi kama wanyama
Kujadili jambo na wajinga ni kazi mno maana unaweza jikuta unafungua darasa badala ya kuendelea na mjadala.

Jifunze kwana maana ya "mwakilishi" au "representative" uzijue sifa zake, majukumu na mipaka yake.

Halafu uje tujadili.
 
Unataka watanzania milioni 60 wote twende Ikulu Paris kusikiliza wanajadili nini? Subiri Zuhura atakuambia wamejadili nini! Acha genye mshindo
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022

Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo

View attachment 2119323

View attachment 2119324

View attachment 2119325

View attachment 2119326
Kuomba apige picha za kuweka kwenye magazeti ya kesho
 
Uki kopa si una rudisha kwani ni msaada? Madini utachimbaje huna utaalamu wala mtaji? Kumbuka mwendo kasi uta rahisisha usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi na uchumi ukikua tutachimba hayo madini wenyewe
Mwaka wa 61 huu bado sisi ni omba omba.

korea ya kusini, Malaysia na nyinginezo tulikua tunalingana nazo kwa sasa wametuacha mbali.

Sisi tumebakia na IF IF IF .
 
Hiyo ni kati ya Ikulu inayolindwa zaidi duniani, hela nyingi mnoo inatumika kuilinda hiyo Ikulu! Wanausalama kuzunguka or kutozunguka ni kwamba kila nchi ina style yake ya ulinzi, hakuna shida yeyote kama tumeamua wanausalama kuzunguka katika Ikulu yetu, inakupunguzia kula hiyo?

Nalala njaa
 
Back
Top Bottom