Kufuatia mlengo wa mbali kulia kupata viti vingi bunge la Ulaya.
Rais Emmanuel Macron kavunja Bunge.
Hivyo uchaguzi mpya wa wabunge utafanyika tarehe 30 June na awamu ya pili ni tarehe 7 July.
Tanzania hususani CCM mna la kujifunza.Acheni kuiba kura heshimuni matakwa ya wapiga kura.
Kutoka...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
Kwanza naomba niseme wazi kabisa
Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko wengine (Grandiosity and Megalomania) huwa inanifanya nichafukwe na nyongo sana. Mambo maovu kama ukoloni...
Emmanuel Macron: Rais wa Ufaransa sio wa kwanza kushambuliwa kwa njia hiyo
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepigwa kofi usoni wakati wa ziara rasmi ya kusini mashariki mwa Ufaransa
Kwenye video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, Bwana Macron anaonekana akitembea kwenda kwa kizuizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.