Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
BEWARE FRIDAY THE 13th.Date 13 ikiangukia Friday inaitwa black Friday ndo maana icho kitu kitokea
BEWARE FRIDAY THE 13th.Date 13 ikiangukia Friday inaitwa black Friday ndo maana icho kitu kitokea
Haya ndio alipaswa kuya tamka MK254 siyo kuweka ushabika bila kufaham hao wazungu ndio kalulete wa yote haya
Kuna jamaa CNN anaongelea kuhusu silaha zilizotumika ni AK47 anauliza zimeingiaje Paris ingawa ni vigumu kupitisha silaha? Hapo nami najiuliza maana nimepita Calais kutokea Dover UK mara nyingi na upande wa France kama ni gari linaingia sehemu maalumu ambapo utaingia humo na gari linapigwa x ray na kuangalia kila kitu, hapo naona ni mtandao wa hali ya juu
Hii ni kweli kabisa mwaka jana mwaka 2003 TB Joshua alitabiri hili suala na kusema ni kosa kubwa kwa nchi za Magharib kuvamia syria&iraq kwakuwa wale magaidi ndo watapata upenyo wa kukimbilia nchi za ulaya kwa kivuli cha wakimbizi...alafu baada ya muda wataanza kuitingisha ulaya..na hakuna mwanadamu atakayeweza kulizuia hilo..
Aliendelea kusema njia pekee ya kulizuia hilo ni kutafuta upatanisho huko syria&iraq na cyo kutumia nguvu ya kijeshi.
Hii ni trailer tu movie bado haijaanzayoutube.com/tb joshua dont fight syria
Wewe una uhakika wa pepo kwa kuabudu kinyago cha mpapure kinachoning'inia kwenye msonobari
hapa kunaenda kutokea mambo makubwa sana,vinginevyo hizi nchi za magharibi waungane na russia ,iran katika kuvamia makao makuu ya ISIS mji wa Ragah na kumtia al baggdaddy mkononi,,lakini hawa wazungu wasivyo na akili watakomaa kutaka kumtoa assad na hapo ndo watagongana na puttin,kabla hatushangaa tayari vita ya tatu ya dunia itakuwa inarindima
Ya Kenya ni tofauti, Kenya wanakuwaga na intelijensia ila wanapuuza! Hawa wanapigwa surprise, hawanaga hata intelijensia!Alafu huwa tunawacheka Wakenya eti wameshindwa kuwazuia Al-Shabab.. Hivi na hii mizungu nayo imeshindwa kuwamaliza hao watu kabisa?? Hili liwe somo kwetu pia, Waafrika hasa East Afrika tutafute suluhu ya kidiplomasia kati ya Al-Shabab na serikali ya Somalia kabla mambo hayajawa mabaya.. EA kuna mafuta na gesi sasa (Uganda, Kenya, Tanzania) tuwe macho na hawa Al-Shabab wasije wakaanza kutumika na Western Countries kuchafua amani tuliyonayo EA kwa manufaa yao binafsi..
Nchi za magharibi inabidi sasa zibadili mitazamo yao juu ya mashariki ya kati. Hapa wanalipa gharama za uwepo wao Sirya na Iraq
As long as FaizaFoxy yupo TZ ni mtu safi. Sehemu kubwa ya uislam wa watanzania unafundisha upendo, kuvumiliana. Mimi ninarafiki zangu waislamu ni marafiki kweli tena haswa.
Nani kakudanganya Bi Mkubwa faiza Foxy kafurahi sana kitendo cha ISIS na kasikitika sana yule gaidi Mchinja watu kauwawa.
Kundi la islamic state limechukua dhamana ya tukio hili, huku likisema ufaransa isipobadili sera zake za nje itaendelea kushambuliwa vikali-bbc news.