Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Arafu kweli we ni boya.
Sasa hao RAIA wasio na hatia ni wanchi gani?
Kama mimi boya wewe kichwa maji. Hao raia wanahusikaje na maamuzi ya viongozi wao?
Arafu kweli we ni boya.
Sasa hao RAIA wasio na hatia ni wanchi gani?
Bora ndugu yangu umeusemea moyo wangu. Mimi sijui hawa wasio na shukran huwa wanashukuru nini na wapi?
Haya ndio alipaswa kuya tamka MK254 siyo kuweka ushabika bila kufaham hao wazungu ndio kalulete wa yote hayaAlafu huwa tunawacheka Wakenya eti wameshindwa kuwazuia Al-Shabab.. Hivi na hii mizungu nayo imeshindwa kuwamaliza hao watu kabisa?? Hili liwe somo kwetu pia, Waafrika hasa East Afrika tutafute suluhu ya kidiplomasia kati ya Al-Shabab na serikali ya Somalia kabla mambo hayajawa mabaya.. EA kuna mafuta na gesi sasa (Uganda, Kenya, Tanzania) tuwe macho na hawa Al-Shabab wasije wakaanza kutumika na Western Countries kuchafua amani tuliyonayo EA kwa manufaa yao binafsi..
mwambieni lowasa atamke sianao mdomo.
Walewale jamaa zako wa karibuNaona watu wanahemkwa hata hawajui mashambulizi yamefanywa na nani.
Juzi kulikuwa na mauaji kwenye restaurant hapa jirani zetu Burundi, kulikoni sijasikia hata mmoja akilisemea hilo?
Au Waafrika wenzetu si watu?
At least eight killed in Burundi capital, residents say police behind killings | Reuters
kazi kuutenganisha ugaidi na uislamu
pole ya nini???wao wakiambiwa msiwakaribishe waarab hawaelewi sasa mavune wanachopanda.
Mkuu Faiza nikwambie kitu😛ropaganda za MSM zimefanikiwa sana kuwapotosha baadhi ya watu,wanameza disinformation za mashirika hayo RAW bila ya ku digest vizuri lengo lao ni nini hasa!Hakuna Muislam apendae mauaji ya aina yoyote ile - kumbuka hilo.
All Terrorists are Muslims...Except the 94% that Aren't | loonwatch.com
Date 13 ikiangukia Friday inaitwa black Friday ndo maana icho kitu kitokea