dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,331
- 57,896
ww una uhakika gani hao walioshambulia ni waarabu ? mbona nchi za ulaya zinafanya hujuma kwa nchi za Africa , Libya ilishambuliwa na hao nato mpaka gadafi kaauwaa bila ya kosa
Swali zuri sana. Jamaa kusikia magaidi walikuwa wanapiga kelele za Allahu Akbar wakati wanadungua watu yeye moja kwa moja kakimbilia kuhisi ni waarabu. Sio waarabu peke yao wenye hiyo slogan ya Allahu Akbar; hata baadhi wafaransa wanayo.