Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Status
Not open for further replies.
Rais Hollande wa Ufaransa naye alikuwepo kwenye uwanja huo
pamoja na mawaziri wake. Alikimbizwa kwenye chumba cha usalama
baada ya varangati kuwa tete.

Shule, masoko, majumba ya starehe na maeneo yote yanahusika
na misongamano ya kijamii yamefungwa isipokuwa hospitali tu.

Raia wamekatazwa kutoka ndani ya nyumba zao kwani vikosi maalumu
vya askari na wanajeshi kutoka vitengo mbali mbali wanafanya doria nzito

kwa mara ya kwanza tangu 2005 kwa serikali ya Ufaransa kutangaza hali
ya hatari, hivyo mipaka ya nchi nzima imefungwa.

washambuliaji walifanya mashambulizi katika maeneo sita tofauti ikwemo
uwanja wa Taifa wa ufansa "Stade de France- ambao ulitumika kwa fainali za
kombe la dunia mwaka 1998 .

Vikosi maalumu vya wadunguaji al maalufu kama SWAT vimeisha fika eneo
la tukio kutekeleza kazi yao. Kumbuka hiki ni kikosi maalumu kwaajili ya kukabliana
na matukio ya kigaidi kama haya ,utekaji nyara, n.k , wanamafunzo ya kikomandoo.
16420_209819.jpg
690352-120322-toulouse-siege.jpg
cq5dam.web.1280.1280.jpeg
 
Vp mlivyowapiga Libya waliokuwa wanakufa c watu

Waarabu sio watu, kama huamini nenda uarabuni kama hawatakufanya punda dadeki. Unanifanya kuwatetea hapa.? Nenda tu hata hapo kariakoo na kanzu yako kama watakuangalia na ngozi yako iliyolaaniwa . Wewe kwa mwarabu ni mtumwa tu(slave) hata uwachambishe.
 
walionywa hawakusikia. ni wahamiaji waliowapokea hao. na wanazaana kama siafu
chokochoko zao za kuchochea arab spring,sasa ndo hayo matokeo yake,walifikiri wanatengeza mazingira ya waislamu kumalizana wao kwa wao huku wao wakisupply silaha,sasa yanawarudia
 
Tuwaombee ndugu zetu wa Ufaransa wanapita katika wakati mgumu sana. Magaidi wamefanya mashambulizi sehemu sita tofauti na kuua watu zaidi ya mia moja
Rais Hollande ametangaza hali ya hatari nchi nzima na mipaka yote imefungwa
Wanajeshi 1500 wamesambazwa sehemu mbalimbali za mji wa Paris kusaidiana na polisi kushika doria
Kuna taarifa kwamba washambuliaji wote wameuwawa.
Rais Obama ameshtumu vikali shambulio hilo.
Rais Hollande amefuta ziara yake yakuhudhuria kikao cha G20 Uturuki.

Maeneo 6 yaliyo shambuliwa na hao magaidi

_86684152_bataclan_and_petit_cambodge_624_v2.jpg
 
Sasa ikiwa uislamu unasema ukiua nawe ukifa unaenda peponi,je kuna haja gani ya waislamu wa sehemu nyengine kwenda hadi ufaransa kwenda kuua kwani huko ufaransa hakuna waislamu wenyekutaka kwenda peponi? Je,vp na Tz mbona hakuna matukio kama hayo inaama hakuna waislamu wenyekutaka kwenda ulaya au waislamu wa wengine hawaamini suala hilo??
 
Leo kila mmoja anapost eti pray for Paris cha kushangaza hawajawahi kusikitishwa na yanayotokea Libya, Syria, Pakistan, Burundi, Somalia.

Kwa upande wangu hizo ndizo nchi zenye uhitaji wa maombi yetu.

Wazungu 150 tu ndo kila mtu ana bwabwaja? ?wakati kuna maelfu wanakufa kila siku Syria uko..nlikua najaribu tu kufikiria kwa sauti.
 
CNN wanasema atleast 118 wameuawa,NBC wanasema atleast watu 100 wameuawa Ngoja niangalie channel nyingine sasa hivi hapa Inakaribia saa 2 usiku!na msnbc wanasema 140

May be me ndio sijui kiingereza ila kama wote wamesema atleast.... ulitakaje hapo kwa mfano?
 
Baada ya vita baridi kuisha adui mkubwa wa dunia ni uislam. By George Bush senior
Adui mkubwa wa Dunia ni Merikani sio Uislam,tangu lini Waislam walikwenda kuvamia nchi za watu au kulazimisha regime change - wapi waliwahi kuitangazia Dunia kwamba Mungu amewapa kibari cha kuhunda a "NEW WORLD ORDER" viongozi wa Merikani ndio kichwa cha wendawazimu, wanasema chochote kinacho wajia kichwani na hawana akili ya kutambua kauli zao zina athali gani kwa amani ya Dunia,majigambo tu na viburi vya kitoto.

Juzi juzi hapa Babake Bush Jr alisema nini kuhusu Admin ya mtoto wake alipokuwa Rais, alisema alikuwa anaendeshwa puta na majahili yakina Chenny na Ramsfield mpaka yakamuhingiza kwenye vita vya Iraq ambavyo havikuwa na ulazima wowote zaidi ya Bush Jr kudai eti anataka kulipiza kisasi kwa kuwa Saddam alitaka kumuua babake alipo tembelea Kuwait - Taifa zima linaingizwa vitani kwa hoja za kijinga kama hizo,wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua vita ya Iraq ilikuwa ni ya kimaslahi zaidi - wizi wa mafuta.
 
Kuna jamaa CNN anaongelea kuhusu silaha zilizotumika ni AK47 anauliza zimeingiaje Paris ingawa ni vigumu kupitisha silaha? Hapo nami najiuliza maana nimepita Calais kutokea Dover UK mara nyingi na upande wa France kama ni gari linaingia sehemu maalumu ambapo utaingia humo na gari linapigwa x ray na kuangalia kila kitu, hapo naona ni mtandao wa hali ya juu
 
The way some Tanzanians are talking here clearly shows how their so called passived support for Africa and loveliest people on earth is so miss informed or they forgot that ALQAEDA blew up 12 Tanzanians in 1998 but wait...... In 1998 the USA embassy in Tanzania was in the outskirts of their cities only 20 people were reported dead or injured in Tanzania


Unlike in kenya wea 212 people died

4000, were maimed and lost either a limb or an eye or even a hand


Wait till it happens there ndio mtajua wakija kublow up people they won't ask kwanza Muslims to vacate they will get a crowd and since Muslim Christian population ni 1:1 ndio mtatambua kutetea hawa ma terrorist ni uzombie!!
 
Eti leo wazungu wanajidai wameshtushwa na 'civilian deaths'.....utafikiri huku afrika walikuwa wanaua kuku!
 
Inasikitisha sana zaidi ya roho 150 zimeangamia jijini paris,kweli inauma kwani hatujui kesho hao magaidi watapiga wapi,inawezekana ikawa hata kwetu au kwa jirani tumwombe mungu sana.ila niwaombe waislamu wote duniani walaani matukio haya kwani vikundi vyao ndivyo vinahusika na mauaji haya.

Ivi jamabi ni kweli kabisa unawauma watu wa ufaransa wakati juzi tu hapo kenya wamekufa wanafunzi wa chuo, je hakuumia mnakuja kuumia juu ya wazungu? hayo makundi bi wao wanayatengeneza kwa ajili ya africa na asia, acha wapate joto ya jiwe na wao
 
Haya mambo sio ya kufurahisha maana wanaokufa ni watu wa aina tofauti {kiitikadi/kiimani}.... na sio wote wanaofurahia matendo hayo.

Ila Ufaransa wawe waangalifu sana maana hivi vitendo vya kigaidi vinaongezeka siku baada ya siku

Yeah wawe makin kweli..ukiangalia next year ndo wanahost EURO 2016....
 
Kuna jamaa CNN anaongelea kuhusu silaha zilizotumika ni AK47 anauliza zimeingiaje Paris ingawa ni vigumu kupitisha silaha? Hapo nami najiuliza maana nimepita Calais kutokea Dover UK mara nyingi na upande wa France kama ni gari linaingia sehemu maalumu ambapo utaingia humo na gari linapigwa x ray na kuangalia kila kitu, hapo naona ni mtandao wa hali ya juu
kwakawaida CIA wanapopeleka silaha kwa hawa wanaowaita moderate terrorist,wanawapa hizo AK47,kamwe hawatoi silaha made in USA,mpaka kuwe na ulazima sana
 
uswiss imegoma kuwakaribisha wageni waarabu.......ulaya nzima ikaifokea sasa ni wakati muafaka wa ufaransa na ikifuatiwa na ujerumani kuvuna matunda ya ukarimu wao. toka lini mwarabu akatawalika kwa sheria bila risasi????

kwao wanakimbia kukandamizwa, ulaya walipo huru wanaleta timbwili ndio maana dawa ya mwarabu ni kumtawala kimabavu ukitumia mwarabu mwenzie

ww una uhakika gani hao walioshambulia ni waarabu ? mbona nchi za ulaya zinafanya hujuma kwa nchi za Africa , Libya ilishambuliwa na hao nato mpaka gadafi kaauwaa bila ya kosa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom