Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Status
Not open for further replies.
Watu wa aina yako hata angekuja Mungu kuwa raisi bado mngelalama tu. Rais hapaswi kuwa mkurupukaji. He needs time. Hata hivo kwa mamlaka aliyo nayo halazimishwi kutekeleza majukumu yake kwa mashinikizo ya namna hii.
 
Pole kwa Wafaransa dhidi ya mashambulizi haya ya kuvizia yanayofanywa na " Watu Waoga".

Mashambulizi ya kiuadui ya namna hii yameathiri pia Nchi mbalimbali hapa Africa.
pole ya nini???wao wakiambiwa msiwakaribishe waarab hawaelewi sasa mavune wanachopanda.
 
Kikwete alikuwa anazurura sn nje inawezekana pombe akawa analala sn ndani
Makufuli kajifungia ndani.
 
Kwanini yeye unadhani hajui mziki wa hao jamaa
waliofanya yao huko Ufaransa,....? mjanja , anaangalia
upepo kwanza kuona unavumaje .
 
Hawa mabepari huchochea vita kwenye nchi za wenzao.. Wao yakiwakuta tu pap...ooh pray for sjui wapi...ni wanafiki wakubwa. Nigeria, Somalia nk watu hufa kila siku kwa mizizi ya hawa mabepari.. #PrayforAfricakwanza.
 
Leo kila mmoja anapost eti pray for Paris cha kushangaza hawajawahi kusikitishwa na yanayotokea Libya, Syria, Pakistan, Burundi, Somalia.

Kwa upande wangu hizo ndizo nchi zenye uhitaji wa maombi yetu.

Wazungu 150 tu ndo kila mtu ana bwabwaja? ?wakati kuna maelfu wanakufa kila siku Syria uko..nlikua najaribu tu kufikiria kwa sauti.

Mkuu huwezi amini kuna watu wanawahusisha hao wazungu na imani zao hasa hao marekani,yani kuna watu mnaweza kubishana hadi basi kwa kutetea marekani.
 
Huwezi kufuta ugaidi bila kutenda haki au kuacha uonevu. Kuna kipindi hata mimi nilikuwa nakaribia kusupport misimamo mikali ya Osama Bin Laden thid ya mataifa ya magharibi hasa US. Maana ukiangalia Palestine hakuna haki juu ya watu wale. Na ukiangalia leo Iraq, Afghanistan, Libya, Egypt, Tunisia na sasa Syria haya mataifa yanapita backdoor kuleta uharibifu kwa manufaa yao. Ndio sababu Putin na China wako kinyume chao.
Sipendi na wala sisupport ugaidi ila lazima walipe gharama ya damu na uonevu wao.

labda sio china hii ambayo imekumbwa na terrorist attacks nyingi sana

[h=1]China's Xi says willing to join France in combating terrorism[/h] 3 hours ago












SHANGHAI (Reuters) - China is ready to join France and the international community in stepping up security cooperation and combating terrorism, President Xi Jinping told French President Francois Hollande on Saturday, after attacks in Paris that killed about 120 people.



[h=1]Xinjiang: Has China's crackdown on 'terrorism' worked?[/h]


Carrie Gracie BBC China editor


  • 2 January 2015
  • From the section Asia

Jump media player
Media player help
Out of media player. Press enter to return or tab to continue.


Media caption Intimidation makes reporting in China's Xinjiang


hao wazungu lazima walipe kwa kuwakaribisha waarabu ulaya
 
Huwezi kufuta ugaidi bila kutenda haki au kuacha uonevu. Kuna kipindi hata mimi nilikuwa nakaribia kusupport misimamo mikali ya Osama Bin Laden thid ya mataifa ya magharibi hasa US. Maana ukiangalia Palestine hakuna haki juu ya watu wale. Na ukiangalia leo Iraq, Afghanistan, Libya, Egypt, Tunisia na sasa Syria haya mataifa yanapita backdoor kuleta uharibifu kwa manufaa yao. Ndio sababu Putin na China wako kinyume chao.
Sipendi na wala sisupport ugaidi ila lazima walipe gharama ya damu na uonevu wao.
Siku hizi hata mimi nimeanza kubadilika.Wazungu wakiua waarabu kwa madege yao yasiyo na rubani si issue ila wao wakiguawa ndio inakuwa issue!Ugaidi duniani huwezi kwisha kwa style hii.
 
Watu wa aina yako hata angekuja Mungu kuwa raisi bado mngelalama tu. Rais hapaswi kuwa mkurupukaji. He needs time. Hata hivo kwa mamlaka aliyo nayo halazimishwi kutekeleza majukumu yake kwa mashinikizo ya namna hii.

Bora ndugu yangu umeusemea moyo wangu. Mimi sijui hawa wasio na shukran huwa wanashukuru nini na wapi?
 
Unapaswa kuulizia endapo ametoa tamko kuhusu watu wanakufa na kipindupindu hapo Dar sio matamko ya kujipendekeza kama utakavyo wewe😄😄
Nauliza tu kama Magufuli ametoa tamko kuhusu ugaidi ndani ya nchi ya Ufaransa,ni vizuri ikatoka mapema kwa kuwa sasa anatakiwa kuwa mtu wa kitaifa na kimataifa.

Akiwa anaendela na ziara za kushtukiza pamoja na mabarabara ajue kuna ya kimataifa.
 
Acheni kukejeli kejeli tu kipuuzi, Magufuli bado hata mwezi hajamaliza ikulu, mambo ya nchi yake bado hayajakaa sawa, zanzibar dabo, hata mawaziri kuteuliwa bado, bunge halijafunguliwa rasmi, alafu aanze kukurupuka na mambo ya nchi za wengine , tumieni akili katika kukejeli.
Jamaa sio mkurupukaji kama mnavyodhani, ye ni nani wiki kadhaa tu atekeleze kila jambo mbele yake,
Charity Begins At Home, ngoja amalize kuweka mambo sawa ya nuymbani kwake tz then ndo aanze kuvuka mipaka.
 
Rais Hollande wa Ufaransa naye alikuwepo kwenye uwanja huo
pamoja na mawaziri wake. Alikimbizwa kwenye chumba cha usalama
baada ya varangati kuwa tete.

Shule, masoko, majumba ya starehe na maeneo yote yanahusika
na misongamano ya kijamii yamefungwa isipokuwa hospitali tu.

Raia wamekatazwa kutoka ndani ya nyumba zao kwani vikosi maalumu
vya askari na wanajeshi kutoka vitengo mbali mbali wanafanya doria nzito

kwa mara ya kwanza tangu 2005 kwa serikali ya Ufaransa kutangaza hali
ya hatari, hivyo mipaka ya nchi nzima imefungwa.

washambuliaji walifanya mashambulizi katika maeneo sita tofauti ikwemo
uwanja wa Taifa wa ufansa "Stade de France- ambao ulitumika kwa fainali za
kombe la dunia mwaka 1998 .

Vikosi maalumu vya wadunguaji al maalufu kama SWAT vimeisha fika eneo
la tukio kutekeleza kazi yao. Kumbuka hiki ni kikosi maalumu kwaajili ya kukabliana
na matukio ya kigaidi kama haya ,utekaji nyara, n.k , wanamafunzo ya kikomandoo.
16420_209819.jpg
690352-120322-toulouse-siege.jpg
cq5dam.web.1280.1280.jpeg

Hao bado ni binadamu tu pamoja na kuwa wako well equipped.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom