kila kitu kinawezekana,maana kunafununu wamarekani na group ndo wameiripua ndege ya mrusi ili kuikomoa russia kwa kupeleka askari kumlinda assad syria,isijekuwa putin amejibu kwa kutumia proxyBaada ya Zile ndege zao Kushushwa ndani ya Kipindi cha kama Wiki moja...Je sikua Mr.PUTIN karudi kivingine?
Siyo ufaransa tu. Bali ni waislam walioko ulaya hufurahia matukio kama haya. Na kibaya wanawakaribisha isis toka syria bila kujua. Thanks God waislam wengi wa tz ni waelewa.
Baadhi ya waislam wanaojiita wenye imani kali wanauharibu na kuuchafua uislam ili watu wauchukie uislam duniani, hawa sio wa kuwachekea. Kama peponi ni kutamu, kuna haja kumlazimisha mtu kwenda? Kwani lazima wote tuingie peponi kwa lazima wakati Mungu kaandaa na moto pia! Sasa wakikuona unaenda kinyume na imani yao wanakuua ili ufuate yao! Kwanini wasiende peke yao kama kuzuri? Huu ni uharibifu wa uislam.
na bado ujerumani watavuna wanachopanda. hayo ni matunda ya sera ya kuwakaribisha magaidi chini ya kivuli cha usawaKWAIYO WAKIMBIZI WOTE WANAOTOKA SYRIA na LIBYA NI MAGAIDI UNAMAANISHA
Hehehe sawa darlingMegadeath (or megacorpse) is a term for one
million deaths by nuclear explosion . The term
was used by scientists and thinkers who
strategized likely outcomes of all-out nuclear
warfare. The Oxford English Dictionary 's first
citation for the term is a 1953 article from the
Birmingham News , and it appears again in
1959 in the New Statesman . [1] The term was
used to refer to the "megadeath intellectuals",
the group of thinkers surrounding RAND
Corporation strategist Herman Kahn . The
concept was notably discussed in Kahn's
1960 book, On Thermonuclear War.
Nna mashaka na umri wako pia unaweza kuwa umenizidi umri ila unakurupuka kujibu
Hebu nieleze wewe mzee,Africa vifo vya watu wengi na kwa ghafla havijawahi tokea????
I hope you understand darling....point is hata huku tunakufa mbona hio attention hatuioni leo ndio kila mtu pray for Paris
Brenda18 is just a fake id kama hio yako,18 isikuchanganye
uswiss imegoma kuwakaribisha wageni waarabu.......ulaya nzima ikaifokea sasa ni wakati muafaka wa ufaransa na ikifuatiwa na ujerumani kuvuna matunda ya ukarimu wao. toka lini mwarabu akatawalika kwa sheria bila risasi????Unatakiwa ujiulize kwanini hao waarabu wanakimbilia huko kwao , je ni nani aliye destabilise nchi zao kama sio hao wazungu? , unadhani last two decades kuna mwaarabu aliye kuwa anawaza kupanda mtumbwi na kwenda ulaya?.Wamelikoroga sasa acha walinywe , hii ndio rise of muslim empire in europe.
Hii habari sasa hivi ndio imetawala katika vyombo vya kimataifa.
Waliouwawa ni zaidi 120.
Ukweli ni kwamba,vita dhidi ya ugaidi imefeli.Huu ndio ukweli.
Akili zenu nadhani huwa mnazielewa ninyi wenyewe.Sasa kama ni hivyo Mbona mmarekani anapoanza kupambana tena na hayo makundi(unayosema ni yake]wewe tena unachukia na unaona yanaonewa??