Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Status
Not open for further replies.
Walimtoa Sadamu Iraq imegeuka kuwa chuo cha kuzalisha magaidi, wakamtoa Gaddafi Libya nako kumekuwa chuo cha magaidi wanataka kumtoa Asady Syria ISIS ndio wamepiga kambi huko.

Na mbaya zaidi waathirika wa haya mashambulizi wanahamia huko huko Ulaya kwa nguvu zote.
 
Hii habari sasa hivi ndio imetawala katika vyombo vya kimataifa.

Waliouwawa ni zaidi 120.

Ukweli ni kwamba,vita dhidi ya ugaidi imefeli.Huu ndio ukweli.
 
What's goes around comes around, mlipokwenda kuchafua nchi zao kwa kile mnakiita demokrasia ndio majibu hayo, hakuna nchi ya kiarabu inayounda silaha, zote zinatoka kwao, wanawagawia kama njugu nia yao wamalizane, sasa silaha wamezizoea sana tu na sasa zinarudi zilikotoka, tena kwa kazi ile ile,
Zile vurugu tulizizoea kuziona middle east sasa zitahamia Europe ni muda tu
Asanteee
 
Mwenyezi Mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi na wapumzike kwa amani. Amina
 
Ningekua mbunge wa Ufaransa ningelazimisha watu wote wenye asili ya mashariki kati na Africa ya kaskazini kurudi kwao, i mean ningeiomba serikali kifuta uraia wao. Asili ya hawa watu hua wana lalamika popote watakapo kuwepo, wakiwa kwao wanalalamika kwamba wana kandamizwa na wanatamani wawe kama nchi za magharibi, wakifanikiwa kuishi nchi za magharibi wanatamani kuishi kama kwao, dawa ni kuwarudisha kwao tu.
 
Ndugu, sikia nikwambie.

Kama mtu una dhamira ovu basi ni rahisi sana kufanya mauaji kama haya.

Hakuna hatua zozote zile za kiulinzi na kiusalama zinazoweza kuzuia kabisa uhalifu/ ugaidi kama huo.

Ngoja nikupe mfano kwa nchi kama USA: kwenye retail stores nyingi kama Target, Walmart, Marshall's n.k. siku za mwisho mwa juma huwa zinajaa sana watu. Hata kwenye shopping malls nako huwa ni hivyo hivyo.

Kwenye milango mikuu ya kuingilia huwa hakuna metal detectors wala nini.

Sasa hebu fikiria, mtu ukiwa na nia ovu halafu uwe na assault rifle kama AK-47 au M16 yenye rate of fire 400 rounds/min.

Halafu muwe wawili au watatu...muingie kwenye soft target kama hizo. Maangamizi utakayosababisha hayafikiriki!

Au sahau hata muwe wawili au watatu maana mara nyingi huwa hakuna siri ya zaidi ya mtu mmoja.

Tuseme wewe mwenyewe tu [lone wolf] umeamua kufanya ukatili kama huo na umechagua soft target kama Walmart SuperCenter siku ya Jumapili mchana.

Damu utakayomwaga ni nyingi sana. Na kinachotisha zaidi ni kama wewe mwenyewe uko tayari kufa. Nini kitakachokuzuia?

Kwa hiyo kusema ukweli mambo kama haya yanaweza kutokea sehemu yoyote ile [ukiondoa labda North Korea teh teh teh].

Wewe nawe na mamifano ya Walimati na Masho....kazi kututamanisha tu. Hebu tolea mifano ambayo kwetu inaeleweka kiurahisi kama Mlimani site,(siku hizi hakuna masalo), kwalite plaza na mengineyo.
 
Baada ya Zile ndege zao Kushushwa ndani ya Kipindi cha kama Wiki moja...Je sikua Mr.PUTIN karudi kivingine?
 
Ni matunda ya wahamiaji toka nchi Arabuni na central Africa, baada ya kuwapatia hifadhi wakidhani eti wanahuruma acha wakione cha moto na hiyo ni lashalasha bado masika. Nchi zote za Ulaya zitakuja kuwa vituo vya magaidi, wale wanaojidai eti kwao wananyimwa uhuru na kwamba maisha ni magumu, kwahiyo wanapenda kuishi ulaya ndo magaidi watakaoitikisha Ulaya nzima, siye tusubiri tu moto utakaowalipua ndugu zetu Ulaya maana wanajifanya eti wanawahurumia Arabs kumbe wanakaribisha moto wakuwaanguza.
 
bado ujerumani waendelee kuwakaribisha wasyria na waarabu wa ISIS
ufaransa imejitakia yenyewe
poleni sana wafiwa
 
Tuwaombee ndugu zetu wa Ufaransa wanapita katika wakati mgumu sana. Magaidi wamefanya mashambulizi sehemu sita tofauti na kuua watu zaidi ya mia moja
Rais Hollande ametangaza hali ya hatari nchi nzima na mipaka yote imefungwa
Wanajeshi 1500 wamesambazwa sehemu mbalimbali za mji wa Paris kusaidiana na polisi kushika doria
Kuna taarifa kwamba washambuliaji wote wameuwawa.
Rais Obama ameshtumu vikali shambulio hilo.
Rais Hollande amefuta ziara yake yakuhudhuria kikao cha G20 Uturuki.

Pray for Congo
pray for Nigeria
Pray for Sudan
Pray for Burundi
jah bless Africa.........
 
Ni matunda ya wahamiaji toka nchi Arabuni na central Africa, baada ya kuwapatia hifadhi wakidhani eti wanahuruma acha wakione cha moto na hiyo ni lashalasha bado masika. Nchi zote za Ulaya zitakuja kuwa vituo vya magaidi, wale wanaojidai eti kwao wananyimwa uhuru na kwamba maisha ni magumu, kwahiyo wanapenda kuishi ulaya ndo magaidi watakaoitikisha Ulaya nzima, siye tusubiri tu moto utakaowalipua ndugu zetu Ulaya maana wanajifanya eti wanawahurumia Arabs kumbe wanakaribisha moto wakuwaanguza.

uarabu na ugaidi ni vitu viwili tofauti...je utazungumziaje kuhusu wale ant-baraka nao ni waarabu?
 
Kule Syria tunasikia kuna moderate terrorist ambao ugaidi wao sio extremely

Na hao wamekuwa vetted na CIA pia hufundishwa mbinu za kivita na CIA ili wakashambulie selikari Assad na wa makundi mengine ya kigaidi km Isis nk

Miezi michache hao Isis walitangaza kuwa miongoni wa hao wakimbizi kuna wapiganaji wa ambao wanakwenda ulaya for special mission
Wakapuuzwa

Putin alipoanza kufanya surgical bombing kule Syria wazungu wenzake akiwemo Hollande walimlaumu sana.

Leo yale maandiko yanaanza kutimia

Stay tuned
Tutasikia mengi dunia hii km viongozi wa mataifa makubwa watakosa busara ndogo ambayo haiitaji uwe na shule nyingi
 
ufaransa walijiziuka saaana na ugaidi pale weusi tu tunawekewa ngumu kuingia ila mweupe bila walakin unaingia.
 
Siyo ufaransa tu. Bali ni waislam walioko ulaya hufurahia matukio kama haya. Na kibaya wanawakaribisha isis toka syria bila kujua. Thanks God waislam wengi wa tz ni waelewa.

Sasa hivi ISIS wamejaa ulaya wanajifanya wakimbizi,ila wazungu wajilaumu wenyewe,hiyo hali wameitengeneza wenyewe,wameunga mkono magaidi dhidi ya ghadafi,wameunga mkono magaidi dhidi ya rais Assad,wametengeneza uadui wa uongo na kweli dhidi ya Saddam wakamuua NA wakaunga mkono wapinzani ambao wamekuwa magaidi,sasa hali imewashinda ku-control
 
Inasikitisha sana zaidi ya roho 150 zimeangamia jijini paris,kweli inauma kwani hatujui kesho hao magaidi watapiga wapi,inawezekana ikawa hata kwetu au kwa jirani tumwombe mungu sana.ila niwaombe waislamu wote duniani walaani matukio haya kwani vikundi vyao ndivyo vinahusika na mauaji haya.
 
Ningekua mbunge wa Ufaransa ningelazimisha watu wote wenye asili ya mashariki kati na Africa ya kaskazini kurudi kwao, i mean ningeiomba serikali kifuta uraia wao. Asili ya hawa watu hua wana lalamika popote watakapo kuwepo, wakiwa kwao wanalalamika kwamba wana kandamizwa na wanatamani wawe kama nchi za magharibi, wakifanikiwa kuishi nchi za magharibi wanatamani kuishi kama kwao, dawa ni kuwarudisha kwao tu.
Kitufe cha like mkuu.... ufaransa inao kama 6% ya raia wake hivo ni wengi sana.... wanapo kuwa wanataka mambo yao tu ndo yafuatwe nchini kwao na nchi zisizo zao zenye mila na taratibu tofauti....
 
Ni matunda ya wahamiaji toka nchi Arabuni na central Africa, baada ya kuwapatia hifadhi wakidhani eti wanahuruma acha wakione cha moto na hiyo ni lashalasha bado masika. Nchi zote za Ulaya zitakuja kuwa vituo vya magaidi, wale wanaojidai eti kwao wananyimwa uhuru na kwamba maisha ni magumu, kwahiyo wanapenda kuishi ulaya ndo magaidi watakaoitikisha Ulaya nzima, siye tusubiri tu moto utakaowalipua ndugu zetu Ulaya maana wanajifanya eti wanawahurumia Arabs kumbe wanakaribisha moto wakuwaanguza.
Unatakiwa ujiulize kwanini hao waarabu wanakimbilia huko kwao , je ni nani aliye destabilise nchi zao kama sio hao wazungu? , unadhani last two decades kuna mwaarabu aliye kuwa anawaza kupanda mtumbwi na kwenda ulaya?.Wamelikoroga sasa acha walinywe , hii ndio rise of muslim empire in europe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom