Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

Status
Not open for further replies.
kazi kuutenganisha ugaidi na uislamu

Swala siyo Uislam, swala ni Ugaidi,. Ugaidi unafanywa sana na Serikali za Mataifa mkubwa Duniani kwa kutumia nguvu zao za kivita, ila tu kwasababu wao wanaenda kuvamia kijeshi, basi Ugaidi wao hufichika humo. Sasa raia wanaoumizwa na Ugaidi huo hawana uwezo wa kijeshi wa kwenda kulipiza kijeshi, wao wanajikusanya kidogo kidogo na kwenda kulipiza kisasi kwa mtindo huo.
 
Dunia haiwezi kuwa mahali salama kwa kuishi bila ya uwepo wa HAKI....,,
AMANI ni zao la haki miongoni mwa jamii.....
 
Khatari kubwa, naona vyombo vya usalama vina changamoto kubwa kukabiliana na matukio ya aina hii maana ikiwa ulaya idara za usalama zina kila aina ya mbinu za kukabiliana na matukio ya aina hii zikiwemo CCTV, unasaji wa taarifa mawasiliano ya simu, intaneti, ukusanyaji wa taarifa za transaction za kibenki, tiketi za basi/treni zikionesha kila eneo unalopita n.k lakini bado matukio haya yanatokea basi ni kudra ya Mwenyezi Mungu tu nchi masikini zisiposhambuliwa.

Ndugu, sikia nikwambie.

Kama mtu una dhamira ovu basi ni rahisi sana kufanya mauaji kama haya.

Hakuna hatua zozote zile za kiulinzi na kiusalama zinazoweza kuzuia kabisa uhalifu/ ugaidi kama huo.

Ngoja nikupe mfano kwa nchi kama USA: kwenye retail stores nyingi kama Target, Walmart, Marshall's n.k. siku za mwisho mwa juma huwa zinajaa sana watu. Hata kwenye shopping malls nako huwa ni hivyo hivyo.

Kwenye milango mikuu ya kuingilia huwa hakuna metal detectors wala nini.

Sasa hebu fikiria, mtu ukiwa na nia ovu halafu uwe na assault rifle kama AK-47 au M16 yenye rate of fire 400 rounds/min.

Halafu muwe wawili au watatu...muingie kwenye soft target kama hizo. Maangamizi utakayosababisha hayafikiriki!

Au sahau hata muwe wawili au watatu maana mara nyingi huwa hakuna siri ya zaidi ya mtu mmoja.

Tuseme wewe mwenyewe tu [lone wolf] umeamua kufanya ukatili kama huo na umechagua soft target kama Walmart SuperCenter siku ya Jumapili mchana.

Damu utakayomwaga ni nyingi sana. Na kinachotisha zaidi ni kama wewe mwenyewe uko tayari kufa. Nini kitakachokuzuia?

Kwa hiyo kusema ukweli mambo kama haya yanaweza kutokea sehemu yoyote ile [ukiondoa labda North Korea teh teh teh].
 
Siyo ufaransa tu. Bali ni waislam walioko ulaya hufurahia matukio kama haya. Na kibaya wanawakaribisha isis toka syria bila kujua. Thanks God waislam wengi wa tz ni waelewa.
Wa tz wakiwezeshwa wanaweza.....
 
Siyo ufaransa tu. Bali ni waislam walioko ulaya hufurahia matukio kama haya. Na kibaya wanawakaribisha isis toka syria bila kujua. Thanks God waislam wengi wa tz ni waelewa.
Ajidhaniaye amesimama na ajiangalie asianguke.Sidhani kama unajua chochote.
 
Alshabaab, ISIS Boko Haram na the like yote ni makundi yaliyopandikizwa na western kwa malengo maalum. hao alshabaab kenya wanazuga na kupoteza muda tuu lkn mlengwa ni ww mwenye gesi na mafuta....kuna wanaodharau dhana hizi lkn huo ndio ukweli. Hatuko salama!...Hizi gesi zetu ndio kibiriti chetu!
Akili zenu nadhani huwa mnazielewa ninyi wenyewe.Sasa kama ni hivyo Mbona mmarekani anapoanza kupambana tena na hayo makundi(unayosema ni yake]wewe tena unachukia na unaona yanaonewa??
 
The Greatest problem of Islam is not religion but a Community with way of worshiping while Christian and non Christians see them as religion. That's why sometimes they fight for their rights as community. But a big role of religion is to prepare you for the coming life in the heaven. Ndio maana ni ngumu sana kupambana na na ugaidi. Ugaidi si uislam ni kikundi cha kihalifu kwenye Jamii ya waislamu.
 
Nadhani sasa hawa watu weupe wataachana na kumkomalia assad na kuanza kudeal na isis kwa nguvu zote
 
The Greatest problem of Islam is not religion but a Community with way of worshiping while Christian and non Christians see them as religion. That's why sometimes they fight for their rights as community. But a big role of religion is to prepare you for the coming life in the heaven. Ndio maana ni ngumu sana kupambana na na ugaidi. Ugaidi si uislam ni kikundi cha kihalifu kwenye Jamii ya waislamu.

Unazungumza nini wewe mbona hueleweki?
 
Word....nashangaa leo kufa mzungu kila mtu anasikitika ila tukifa huku mbona hakuna pray for Africa.....
Asee sijajua umri wako,lakini kwa upeo mfupi tu ni kwamba kilichotokea paris ni megadeath tena gafla

Do u get any concept my dear?
 
So it was a coordinated attack across paris,8 attacker confirmed dead so far by blowing themselves
 
Asee sijajua umri wako,lakini kwa upeo mfupi tu ni kwamba kilichotokea paris ni megadeath tena gafla

Do u get any concept my dear?

Megadeath (or megacorpse) is a term for one
million deaths by nuclear explosion . The term
was used by scientists and thinkers who
strategized likely outcomes of all-out nuclear
warfare. The Oxford English Dictionary 's first
citation for the term is a 1953 article from the
Birmingham News , and it appears again in
1959 in the New Statesman . [1] The term was
used to refer to the "megadeath intellectuals",
the group of thinkers surrounding RAND
Corporation strategist Herman Kahn . The
concept was notably discussed in Kahn's
1960 book, On Thermonuclear War.


Nna mashaka na umri wako pia unaweza kuwa umenizidi umri ila unakurupuka kujibu

Hebu nieleze wewe mzee,Africa vifo vya watu wengi na kwa ghafla havijawahi tokea????

I hope you understand darling....point is hata huku tunakufa mbona hio attention hatuioni leo ndio kila mtu pray for Paris
Brenda18 is just a fake id kama hio yako,18 isikuchanganye
 
Tuwaombee ndugu zetu wa Ufaransa wanapita katika wakati mgumu sana. Magaidi wamefanya mashambulizi sehemu sita tofauti na kuua watu zaidi ya mia moja
Rais Hollande ametangaza hali ya hatari nchi nzima na mipaka yote imefungwa
Wanajeshi 1500 wamesambazwa sehemu mbalimbali za mji wa Paris kusaidiana na polisi kushika doria
Kuna taarifa kwamba washambuliaji wote wameuwawa.
Rais Obama ameshtumu vikali shambulio hilo.
Rais Hollande amefuta ziara yake yakuhudhuria kikao cha G20 Uturuki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom