PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

Watu wakimdhihaki Mungu usipaniki acha Mungu ajitetee mwenyewe.Kwani Mungu hawezi kujitetea yeye mwenyewe?Yaani Mungu amuumbe binadamu kwa mikono yake mwenyewe halafu ashindwe kumdhibiti?Mimi nashauri wacheze pia filamu inayoonyesha kuwa Yesu na Mungu ni mashoga.
 
Watu wakimdhihaki Mungu usipaniki acha Mungu ajitetee mwenyewe.Kwani Mungu hawezi kujitetea yeye mwenyewe?Yaani Mungu amuumbe binadamu kwa mikono yake mwenyewe kisha ashindwe kumdhibiti?Mimi nashauri wacheze pia filamu inayoonyesha kuwa Yesu na Mungu ni mashoga.
aiseeee
 
mtu mwenyewe alitungiwa mimba kwenye chupa sijui mbegu ilichukuliwa kwa mzungu jamaa kainunua akaenda kuitupia kwenye nyuchi ya mzungu, unafikiri akizaliwa akili zake zinakuwa sawa? hapa duniani kuna mashetani wengi tu ambao wamezaliwa sio kwa utaratibu wa kiMungu na sio wanadamu sawa na sisi wengine.
 
Aiseee
 
Back
Top Bottom