Papaa Musofe mbaroni kwa mauaji!

Niliipata jana mchana hii taarifa, ni yakuthibitika. Ngoja tuone mchezo utakuwaje manake jamaa ana mkono mrefu sana kwenye jeshi la polisi.
 
Iweke vizuri hii habari, wengine tupo mkoani..

Papaa Msofe ni tapeli mmoja maarufu sana ndani ya jiji la Dar na vitongoji vyake. Kimsingi dola ya Tanzania kaiweka viganjani mwake.
Mihuri ya Ikulu na wizara mbalimbali kwake utapata...na akishakufanyia utapeli,nenda kashitaki popote wala hutapata haki maana ni mmoja kati ya wale watanzania wachache walio juu ya sheria
 
kuna wakat iliwah ripotiwa hapahapa kuwa amemdhukumu mtu nyumba mbezi beach
 
Hebu tuambianage, ni nani hasa mutu hii? Si ni mutu ya Mobutu hiyo? Serikali hata Ikulu iko kiganjani mwake, hata JK?
 
Papaa Msofe ni tapeli mmoja maarufu sana ndani ya jiji la Dar na vitongoji vyake. Kimsingi dola ya Tanzania kaiweka viganjani mwake.
Mihuri ya Ikulu na wizara mbalimbali kwake utapata...na akishakufanyia utapeli,nenda kashitaki popote wala hutapata haki maana ni mmoja kati ya wale watanzania wachache walio juu ya sheria

Thank you mkuu!!
Ila bado hatujajua kakamatwa kwa kufanya mauaji gani..
 
ooooh brother kamdedisha nani tena aaah sa ntapata wapi ugali wa kilasiku ngoja nikamcheki umwerani migomigo
duu kweli malipo ni hapahapa kawaumiza watu weeeeeeeeee sas zam yake.le grand mupao mutu ya pakee duh
rest in peaces brother
 
Dr jamani dr.....friimasoni tena???

Hawa mapaapaaa kila nchi wapo na wanajulikana, kuwanail ni ngumu sana maana wanakuwa wanashirikiana na mitandao ya polisi katika harakati zao

Soma taarifa za kipolisi, Italy,German na US nadhani hapa TZ huyu kafilisika hastahili tena ulinzi, pole zake
 
First person on the right..........

2.JPG
 
Papaa Msofe ni tapeli mmoja maarufu sana ndani ya jiji la Dar na vitongoji vyake. Kimsingi dola ya Tanzania kaiweka viganjani mwake.
Mihuri ya Ikulu na wizara mbalimbali kwake utapata...na akishakufanyia utapeli,nenda kashitaki popote wala hutapata haki maana ni mmoja kati ya wale watanzania wachache walio juu ya sheria
Itakuwa jamaa wamekosea kuripoti, PPMuso hawezi kushikwa na polisi, atakuwa anaisaidia tuu polisi na by leo atakuwa huru.

Wakati wengi wetu they work for money, some of us makes money work for them.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom