Papaa Musofe mbaroni kwa mauaji!

mkuu hapo kwa alex massawe sidhani kama ni sawa ndio ni marafiki na msofe ila wamekutana juzi tu miaka ya 2006 ila michezo yao tofauti kabisa....Papaa yeye ni conman na swindler while Mzee alex ni Retired Gangster....

hawana tofauti hawa ndo maana wakawa marafiki,mwizi ni mwizi tu hata akiipa wembe
 
ni kweli ...je unajua tofauti ya mwizi na tapeli? au mtu mdhalimu ?mi naona kama ni watu wa fani moja ila categories tofauti ni kama wote muwe mnaitwa engineers lakini mmoja ni Civil Engineer na mwingine ni Software engineer..
 
ni kweli ...je unajua tofauti ya mwizi na tapeli? au mtu mdhalimu ?mi naona kama ni watu wa fani moja ila categories tofauti ni kama wote muwe mnaitwa engineers lakini mmoja ni Civil Engineer na mwingine ni Software engineer..

Hapo nimekuelewa mkuu
 
Thank you mkuu!!
Ila bado hatujajua kakamatwa kwa kufanya mauaji gani..

Kuna post niliweka hapa zamani kidogo nilizungumzia kwamba jamaa aliua mtu na bastola(aliwatuma vijana) pale magomeni mapipa nyuma ya duka la mzee yusuph hyo post ipo kwenye ule uzi wa papaa musofe kamdhurumu mama nyumba mbezi.
 
Mimi nilishasikia huwa anawauzia wazungu dhahabu feki makontena kwa makontena. Crime doesn't pay. That is rule of life.
 
Bandeko, hii Kamanda ya Polisi (Papaa M) wameiita kwa muda mufupi tu. Wataiwachiliya baadaye. Kama nyie hapana kuamini, subirini mtalola benyewe. Basoda wote wanamjuaga yeye
 
Post Ya Mwanapolo aliipost October 14 2011,polisi ndio wamekamilisha ushahidi juzi khaaa kweli polisi wetu wakiwezeshwa wanaweza::

Wiki iliyopita kuna mchimbaji mwenzetu wa Tanzanite anaitwa Onesmo Kituli alipigwa risasi kwenye nyumba alakipanga Dar na amezikwa Singida juzi.

Haya mauaji yanaweza kuwa yamefanywa na Alex Massawe kwe Kushirikiana na Papa Msofe kwani walikuwa na kesi mahakamani kuhusu nyumba ya Kituli aliyodhulumiwa na Massawe alafu akauziwa Msofe na Massawe. mwenendo wa hii kesi ilionyesha wazi kabisa kuwa Kituli atashinda. Naona jamaa wakaamua kuchukua kazi ya mungu ya kutoa roho ya Mchimbaji ili waidhulumu mali ya jamaa.

Lakini wakumbuke kuwa malipo ni hapa hapa duniani.

Mungu ailaze mahala pema roho ya Onesmo Kituli
 
Huyu ndo "mtoto wa ndama"?

Hapana huyu ni Legrande Mupao suvereee mwokonzi Papa musofe mutu ya pakee,mutu ya pesa mingi......Ndama mutoto ya ngombe na musofe ni category hyo hyo ya wapigaji(conmen),matapeli wa mujini!
 
papaa ametafuna mabinti wengi wanaopenda mtremko sana hapa mjini.
 
Hapana huyu ni Legrande Mupao suvereee mwokonzi Papa musofe mutu ya pakee,mutu ya pesa mingi......Ndama mutoto ya ngombe na musofe ni category hyo hyo ya wapigaji(conmen),matapeli wa mujini!
Oh!lol!huyo huyo "ndama mtoto wa ng'ombe".Haya majina bana,hivi kuna mtoto wa ng'ombe ambaye si ndama?Kwenye hii kesi kwa bongo huyo Legrande Mupao wala hana kesi.Sanasana polisi watataka kula kidogo,basi.Unless aliuwa yeye mwenyewe ndo watakula zaidi..
 
First person on the right..........

2.JPG

Teh teh teh...jamaa huwa anachagua mtu wa kumsalimia. Siamini kama atakaa polisi huyu. Anaendesha magaro yote latest na watu wanapenda sana lift...teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom