Papa Sylvester alisoma madrasa. Alifuzu somo la hesabati

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,921
Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.

Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.

Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.

Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.

Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.

Kutangulia si kitu, bali tunaangalia mwisho, leo mataifa ya Ulaya wako mbali sana, waarabu na waafrika ni sawa tu ila wanatuzidi tu kitu kimoja upendo wa wao kwa wao, sisi Africa huku asilimia kubwa tunashirikishina matatizo na changamoto lakini kwenye fursa mnageukana, ndo maana unakuta kwenye familia kuna tajiri mmoja lakini waliobaki wote ni maskini au unakuta mtu mmoja kasoma na kufanikiwa lakini hawezi kuwapa mwanga wa chini yake, mtakuja kutafuta na pesa ziliisha au akistaafu ndio ataanza kutambulisha familia yake kwa ndugu ili wakujuane vizuri.
 
Waarabu wa sasa sijui wamesibiwa na nini.
Wale waliofuatia baada ya Mtume Muhammad walikuw watu makini sana.Na elimu zao walizitawanya kwa kila aliyezihitaji.
Wakristo na wayahudi walichota mengi sana.Kumbuka enzi hizo tunazozungumzia hata Marekani ilikuwa haijajulikana.
 
🤣😂😂😂 maana hata muanzilishi wa dini hakujua kusoma wala kuandika,hivyo vingine unajitungia tu kujifurahisha
Ni heikima za Allah za kukuzindua akina wewe.
Ni kweli hakujua kusoma wala kuandika lakini kwenye Qur'an kuna mahesabu ambayo hata walimu wake lazima wapewe semina kwanza kuweza kuzielewa
Hizo hesabu ndizo zilizofanyiwa kazi na waislamu na kugundua mambo mengi ya kisayansi mpaka yakamfikia akina Papa Sylvester.
 
Pole mkuu

Enzi zipi hizo unazokumbuka wewe? Kwenye fani uliyosoma unamkumbuka Mwislam yupi ambaye ulijifunza principles zake?
Wewe ni mdogo sana wa historia.
Kwanza wewe umesoma fani gani ?
Marekani imetambulika miaka ya karibuni tu.Enzi hizo waislamu wameshajua fani zote na kuzisomesha dunia nzima.kwa karne zaidi ya 7
 
Wacha wee.....allah akbar....lahaula lakwataa....
 
Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.

Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.

Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.

Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.

Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.

Pure propaganda.
Kama kuna wajinga wa hesabu basi madrasa ndio kisima cha hao wajinga. Yaani mtoto akishaanza kupenda madrasa na hesabu huenda zitamkaa maisha yake yote. Kwanini? Watoto kule madrasa huwa wanaenda kukaririshwa nukuu za kiarabu zilizopo kwenye msahafu, wakati hesabu haikaririwi.
 
Wewe ni mdogo sana wa historia.
Kwanza wewe umesoma fani gani ?
Marekani imetambulika miaka ya karibuni tu.Enzi hizo waislamu wameshajua fani zote na kuzisomesha dunia nzima.kwa karne zaidi ya 7
Sasa kwa nini huko madrasa hizo fani hazipo sasa hivi?
 
Back
Top Bottom