Naishauri Wizara ya elimu irekebishe mtaala na kuweka somo mahsusi litakalo fundisha "uzalendo wa mwananchi kwa Taifa lake" somo hili lianze kufundishwa kuanzia chekechea hadi chuo kikuu.
Hii itasaidia sana kuwajenga watoto wetu kuwa na uchungu kwa Taifa lao na pia itaondoa wizi na ubadhirifu wa fedha za umma tunao ushuhudia leo kwa baadhi ya watendaji.
Uzalendo usiishie kwa kuimba wimbo wa Taifa letu tu bali uzalendo utawale matendo yetu ya kila siku kwa Taifa letu.
Nashauri wataalamu wa elimu waangalie jinsi ya kuchomeka mtaala/somo la uzalendo kwa watoto wetu. isiishie tu kuimba wimbo wa Taifa bali tuwe na somo litakalo wajenga kuanzia chekechea hadi vyuo.
Lakini pia somo hili la uzalendo lifundishwe kwenye Sunday schools na madrasa za kidini.