palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Akihutubia maelfu ya waumini na washabiki nchini Philippines, Kiongozi mkuu wa kanisa la Catholic duniani (jina mtanisaidia) ameonya kwamba ili amani iendelee duniani, uhuru wa vyombo vya habari au raia kujieleza au kueleza jambo lolote usiguse/usikwaze imani za wengine. Binafsi ninamuunga mkono 100, kazi kwenu wanajamvi.
kawapa za uso wafaransa
#PopeFrancis regarding Paris killings: if a friend insults my mother, hes going to get a punch