Papa Francis: There are limits to free expression

Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
John, 13:4;"

2 Hata wakati wa chakula cha jioni; naye Ibilisi amekwisha kumtia Yuda, mwana wa Simoni Iskariote, moyo wa kumsaliti;
3 Yesu, hali akijua ya kuwa Baba amempa vyote mikononi mwake, na ya kuwa alitoka kwa Mungu naye anakwenda kwa Mungu,
4 aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.
5 Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.
6 Hivyo yuaja kwa Simoni Petro. Huyo akamwambia, Bwana! Wewe wanitawadha miguu mimi?
7 Yesu akajibu, akamwambia, Nifanyalo wewe hujui sasa; lakini utalifahamu baadaye.
8 Petro akamwambia, Wewe hutanitawadha miguu kamwe. Yesu akamwambia, Kama nisipokutawadha, huna shirika nami.
9 Simoni Petro akamwambia, Bwana, si miguu yangu tu, hata na mikono yangu na kichwa changu pia.
10 Yesu akamwambia, Yeye aliyekwisha kuoga hana haja ila ya kutawadha miguu, bali yu safi mwili wote; nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote.
Yani kavua nguo zake kavaa shuka kiunoni? Kweli nikisema nyie wajinga huwa mnabisa, afu hicho kitambaa anawafutia wanafunzi wake si atabaki uchi hapo? Kweli nikisema nyie vichaa mnabisha. Sa bado kwa kiswahili kidogo inabadilisha maneno we kasome kwa kizungu ndio utajua walikusudia nini. Nimefatilia sana maneno yabibilia Kiswahili hayaendi sambamba na kizungu, wazungu wanaeleza vingine na bibilia za kiswahili zinaeleza vingine. Sa nani aliyebadli maneno waswahili au wazungu?
 
Uzuri wa Quran ni kuwa imehifadhiwa katika lugha yake ya asili.
Wanazuoni wanapohitilafiana katika tafsiri au maarifa(knowledge) inapoongezeka katika jamii basi kuna nafasi na uwezekano wa kuielewa Quran vizuri zaidi.

Ndio sababu utaona kuna wanansanyasi wengi wanaingia katika dini ya uislamu baada ya kuona mambo, vitu vimetajwa katika Quran wakati huo ambao imani kuu ilikuwa ni ujahili na ushirikina. Vipi Quran ingeweza kutaja vitu kwa usahihi ambavyo maarifa na elimu ya jambo, vitu hivyo vimejulikana baada ya elimu na ujuzi wa sayansi kuendelea karne kadhaa baadae.
Mfano huu

Hizo video mbona zipo hata za Waislam kuwa wakristo. Lakini 99% ya watu wanaohamia uislam baadae ubadili dini wanapokutana na Violent verses, ahadi za mabikra, kubagua baadhi ya Makabila (Wayahudi), kuita wenzio Kafir nk
 
Last edited by a moderator:
Yani kavua nguo zake kavaa shuka kiunoni? Kweli nikisema nyie wajinga huwa mnabisa, afu hicho kitambaa anawafutia wanafunzi wake si atabaki uchi hapo? Kweli nikisema nyie vichaa mnabisha. Sa bado kwa kiswahili kidogo inabadilisha maneno we kasome kwa kizungu ndio utajua walikusudia nini. Nimefatilia sana maneno yabibilia Kiswahili hayaendi sambamba na kizungu, wazungu wanaeleza vingine na bibilia za kiswahili zinaeleza vingine. Sa nani aliyebadli maneno waswahili au wazungu?

Exactly, alikuwa anavaa makanzu juu ya Nguo nyingine, Ukitaka kujua wanavaa vipi angalia mavazi ya Mapadre, maana Wakatholic wamejitahidi kutunza desturi za enzi hizo
 
Uko sahihi kabisa, kuna wakati Wachungaji wakanisa ugeuka kuwa Mashetani, huwa inatokea mara moja moja makanisa kuwa brutal. Lakini Nenda Iran, Syria, Iraq, Saudi Arabia, Afghanistan Ukiwa umevaa Rozali uone kama WAISLAM HAWATAKUKATA KICHWA?
Sasa laumu US, Israel na UK na France kwa kuipaisha ISIS.

Wakristo na rozari zao waliishi kwa amani nchi Syria, Iraq lakini baada ya US na west kuunda vikundi vya extremists ndio mambo wameyakoroga.

Last edited by a moderator:
Jamani biology ya form two si ndio inafundisha nyuki wanapiga necta na polen,hata mtoto wa form two analielewa hlo,sasa ubish unatoka wapi?kweli mfumo wetu wa elimu umeexpire.
dogo rudi ukasome bado sana kufahamu kama nyuki anauwezu hata wa kuipasua mbao sio matunda tu. Nenda shule mwambie mwaliwa wako wa Biology mbona nasikia nyuki anakula matunda? Wacha wafanye research tena.
 
Sasa laumu US, Israel na UK na France kwa kuipaisha ISIS.

Wakristo na rozari zao waliishi kwa amani nchi Syria, Iraq lakini baada ya US na west kuunda vikundi vya extremists ndio mambo wameyakoroga.

Uwezi kulaumu USA, Tunalaumu Msitari wa Quran unaosema ua Makafir, Pia Verse inayosema WAFUASI WA MOHAMMAD HAWANA HURUMA KWA WASIO WAISLAM.
 
Last edited by a moderator:
dogo rudi ukasome bado sana kufahamu kama nyuki anauwezu hata wa kuipasua mbao sio matunda tu. Nenda shule mwambie mwaliwa wako wa Biology mbona nasikia nyuki anakula matunda? Wacha wafanye research tena.

Kumbe ndio Maana WAARABU WAKO NYUMA KI SAYANSI
 
Exactly, alikuwa anavaa makanzu juu ya Nguo nyingine, Ukitaka kujua wanavaa vipi angalia mavazi ya Mapadre, maana Wakatholic wamejitahidi kutunza desturi za enzi hizo
Kakende, safi sana kama hammtukani Yesu ni shoga katika bibilia za Kiswahili. Bilia za kizungu zinasema yeye ni shoga. O-K tuwachane na point ya kusema Yesu ni shoga, mbona kwenye bibilia ya kizungu na Kiswahili zote zinasema Yesu ni mwendawazimu (kichaa) au na hapo unapinga.
 
dogo rudi ukasome bado sana kufahamu kama nyuki anauwezu hata wa kuipasua mbao sio matunda tu. Nenda shule mwambie mwaliwa wako wa Biology mbona nasikia nyuki anakula matunda? Wacha wafanye research tena.

We ndio urudi shule kuendeleza league wakati ukwel unajulikana
 
Tangu ln mfuasi wa mudy awe na elimu
Bora niwe mfuasi wa mtume Muhammad kuliko kuwa mfuasi wa Paulo, ambaye anasema mungu wake hana akili. Unafahamu kama mtume wako Paulo alikuwa anasex na mke wamtu pale Rome akauliwa na kutundikwa kwenye msalaba au hajui hayo. Na Bibilia zenu zinasema aliye tundikwa kwenye mti(Msalaba) amelaniwa. Mnalana wote mnao vaa misalaba.
 
Uwezi kulaumu USA, Tunalaumu Msitari wa Quran unaosema ua Makafir, Pia Verse inayosema WAFUASI WA MOHAMMAD HAWANA HURUMA KWA WASIO WAISLAM.

Last edited by a moderator:
Uko sahihi kabisa, kuna wakati Wachungaji wakanisa ugeuka kuwa Mashetani, huwa inatokea mara moja moja makanisa kuwa brutal. Lakini Nenda Iran, Syria, Iraq, Saudi Arabia, Afghanistan Ukiwa umevaa Rozali uone kama WAISLAM HAWATAKUKATA KICHWA?

Kwanza hilo la wachungaji kuwa masheta ni siyo kuwa "hutokea mara moja moja" kuwa "Mashetani". Ni mara nyingi sana tu na ushahidi nnao hapa hapa.

Pili, hapo juu point yako ilikuwa "waislam kukimbilia makanisani" mimi nimekuonesha ni akina nani hukimbilia misikitini, na sijamaliza, hiyo ilikuwa ni bashraf tu ya Kigali sasa soma ya Ruhengeri, soma:

RUHENGERI, Rwanda -- The villagers with their forest green head wraps and forest green Korans arrived at the mosque on a rainy Sunday afternoon for a lecture for new converts. There was one main topic: jihad.
They found their seats and flipped to the right page. Hands flew in the air. People read passages aloud. And the word jihad -- holy struggle -- echoed again and again through the dark, leaky room.

"We have our own jihad, and that is our war against ignorance between Hutu and Tutsi. It is our struggle to heal," said Saleh Habimana, the head mufti of Rwanda. "Our jihad is to start respecting each other and living as Rwandans and as Muslims."

Since the genocide, Rwandans have converted to Islam in huge numbers. Muslims now make up 14 percent of the 8.2 million people here in Africa's most Catholic nation, twice as many as before the killings began.

Many converts say they chose Islam because of the role that some Catholic and Protestant leaders played in the genocide. Human rights groups have documented several incidents in which Christian clerics allowed Tutsis to seek refuge in churches, then surrendered them to Hutu death squads, as well as instances of Hutu priests and ministers encouraging their congregations to kill Tutsis. Today some churches serve as memorials to the many people slaughtered among their pews.

Four clergymen are facing genocide charges at the U.N.-created International Criminal Tribunal for Rwanda, and last year in Belgium, the former colonial power, two Rwandan nuns were convicted of murder for their roles in the massacre of 7,000 Tutsis who sought protection at a Benedictine convent.

In contrast, many Muslim leaders and families are being honored for protecting and hiding those who were fleeing.

Some say Muslims did this because of the religion's strong dictates against murder, though Christian doctrine proscribes it as well. Others say Muslims, always considered an ostracized minority, were not swept up in the Hutus' campaign of bloodshed and were unafraid of supporting a cause they felt was honorable.
"I know people in America think Muslims are terrorists, but for Rwandans they were our freedom fighters during the genocide," said Jean Pierre Sagahutu, 37, a Tutsi who converted to Islam from Catholicism after his father and nine other members of his family were slaughtered. "I wanted to hide in a church, but that was the worst place to go. Instead, a Muslim family took me. They saved my life."

Source: Islam Attracting Many Survivors of Rwanda Genocide (washingtonpost.com)
 
Uwezi kulaumu USA, Tunalaumu Msitari wa Quran unaosema ua Makafir, Pia Verse inayosema WAFUASI WA MOHAMMAD HAWANA HURUMA KWA WASIO WAISLAM.

[h=2]Muslims saved Christian Tutsis during Rwandan genocide[/h]

According to the Rwandan government 1.2 million people were killed in 1994 during the Rwandan genocide. The UN says 800,000 died, most of those murdered were ethnic Christian Tutsis.
During that genocide, tens of thousands of Christian Tutsis fled into Muslim mosques to escape from the machete-wielding Hutu mobs.

Source: Muslims saved Christian Tutsis during Rwandan genocide
 
Bora niwe mfuasi wa mtume Muhammad kuliko kuwa mfuasi wa Paulo, ambaye anasema mungu wake hana akili. Unafahamu kama mtume wako Paulo alikuwa anasex na mke wamtu pale Rome akauliwa na kutundikwa kwenye msalaba au hajui hayo. Na Bibilia zenu zinasema aliye tundikwa kwenye mti(Msalaba) amelaniwa. Mnalana wote mnao vaa misalaba.

"And know that one fifth of all the booty you take belongs to allah and to messanger,and for the near relatives(of the messanger)kuran(8:40),du!mtume na allah walikuwa wanafaidi kweli harafu wafuasi wao wanapewa makombo,mkuu hauwezi ukautetea uislam hata kama ushnde humu jukwaan usku na mchana kuna mambo mengi sana kwenye kitabu chako kwa mtu mwenye akili yake lazma ajiulize ninayemfuata sio mungu bali ni shetan na nina huakika wengi wanaujua ukweli sema kwa sababu ya hofu ya kukatwa vchwa wameamua kukaa kmya,kuran inaitaji kuchapishwa upya kuendana na Dunia ya wastaarab.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom