Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,374
- 11,270
Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi.
Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan.
========
Jana Alhamis Papa Francis amesema inakubalika kimaadili kwa mataifa kuipa silaha Ukraine ili kuisaidia nchi hiyo kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi.
Akiwa kwenye ndege kutoka kwenye ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan, Papa Franscis ameihimiza Kiev kufungua mazungumzo japokuwa yanaweza 'kunuka' kwasababu itakuwa ngumu kwa upande wa Ukraine.
"Kujilinda sio tu haikatazwi bali pia ni kuonesha upendo kwenye ardhi yako. Mtu ambaye hajilindi na halindi chochote, hakipendi. Wale wanaolinda chochote wanakipenda" Alisema Papa
KUHUSU MAZUNGUMZO
Siku zote huwa ni ngumu kuelewa mjadala na nchi ambayo imeanza vita, ni ngumu lakini wazo halitakiwi kutupwa. Siwezi kuondoa wazo la mjadala na mamlaka yoyote iliyo vitani, hata kama na mchokozi
CHANZO: Reuters