China: Kuipa Ukraine silaha kunachochea vita

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,536
8,222
Wakati Mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani yakiendelea kutuma silaha kuisaidia Ukraine kupambana na Urusi, China imesema kuipa Ukraine silaha kunachochea vita na kutoa wito kwa Mataifa mbalimbali kuweka nguvu kubwa kwenye kumaliza vita na sio kuchochea.

Mjumbe wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa, Zhang Jun amezitaka Urusi na Ukraine kufanya majadiliano ya amani na kumaliza vita huku akizitaka Nchi nyingine kushiriki kuleta amani badala ya kuendelea kuipa Ukraine silaha za kivita.

Kauli ya China inakuja wakati huu ambapo tayari Ukraine imepokea ndege za kivita kutoka Marekani kwa ajili ya kujilinda katika uvamizi unaofanywa na Urusi nchini humo huku Rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskiy akiendelea kuitaka NATO itume msaada wa ndege za kivita nchini humo.

Wakati huohuo Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amesema nchi hiyo itaipa msaada wa silaha nzito za kijeshi Ukraine kufuatia wito wa msaada uliotolewa na Rais Zelenskiy.
 
Hili swala la Ukraine kupewa ndege mbona linachanganya ni kwel wamepewa ndege au vifaa vya ndege?????
 
Dictator sio nchi wala mkoa we muislam, dikteta ni mtu anayetawala kwa mkono wa chuma huku akiwazima wapinzani wake kama Putin, mvamizi dictator Putin aachie nchi ya watu. Na kwenye mada ya US kuvamia nchi ya watu msimamo ni huo huo pia.
bora urusi dictator ni mmoja kuliko USA kila anayeingia ni dictator, nchi nzima ma-dictator
 
China Yuko sahii,
Wanaompa silaha Ukraine,
Ndio wanaokwamisha MAZUNGUMZO ya amani kumaliza mzozo huu.

Na kibaya Zaid hawampi silaha za kisasa, wanampa masalia ya silaha za kizamani na wasizotumia wao Ila aendelee kuchapika zaidi.

Unampa ndege ukraine wakati anga lote kalidhibiti urusi, unategemea Nini Kama sio kuprolong Vita na maafa Bila sababu za msingi
View attachment 2195172
 
Hili swala la Ukraine kupewa ndege mbona linachanganya ni kwel wamepewa ndege au vifaa vya ndege?????
Ukraine wamesema hawajapokea ndege yoyote mpaka sasa kutoka PENTAGON,
Bali spea za ndege za kimarekani ambazo mpk Sasa hawana hata ndege moja iliyokwenye Hari ya kurekebishwa kurudi kazini.

(Ni baada ya Jana pentagon kusema wametoa ndege 5 na shehena ya spea Ukraine)

Ndege walizonazo sasa ukraine Ni za Soviet era za mig-26 ambazo vifaa walivyotegemea kuvipata kutoka Uturuki wazirekebishe, Ni wiki ya pili Sasa wanasema viko njiani vinakuja

Ninachokiona,
Kuna Watu wameamua kutafuta Kiki maksudi kupitia Hii Vita,

Wanaiprolong Hii Vita kwa maslahi Yao wenyewe binafs ya kisiasa, na sio maisha ya waukraine
 
Wakati Mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani yakiendelea kutuma silaha kuisaidia Ukraine kupambana na Urusi, China imesema kuipa Ukraine silaha kunachochea vita na kutoa wito kwa Mataifa mbalimbali kuweka nguvu kubwa kwenye kumaliza vita na sio kuchochea.

Mjumbe wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa, Zhang Jun amezitaka Urusi na Ukraine kufanya majadiliano ya amani na kumaliza vita huku akizitaka Nchi nyingine kushiriki kuleta amani badala ya kuendelea kuipa Ukraine silaha za kivita.

Kauli ya China inakuja wakati huu ambapo tayari Ukraine imepokea ndege za kivita kutoka Marekani kwa ajili ya kujilinda katika uvamizi unaofanywa na Urusi nchini humo huku Rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskiy akiendelea kuitaka NATO itume msaada wa ndege za kivita nchini humo.

Wakati huohuo Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amesema nchi hiyo itaipa msaada wa silaha nzito za kijeshi Ukraine kufuatia wito wa msaada uliotolewa na Rais Zelenskiy.
Ni aibu kubwa kwa Umoja wa Mataifa. ...
 
China Yuko sahii,
Wanaompa silaha Ukraine,
Ndio wanaokwamisha MAZUNGUMZO ya amani kumaliza mzozo huu.

Na kibaya Zaid hawampi silaha za kisasa, wanampa masalia ya silaha za kizamani na wasizotumia wao Ila aendelee kuchapika zaidi.

Unampa ndege ukraine wakati anga lote kalidhibiti urusi, unategemea Nini Kama sio kuprolong Vita na maafa Bila sababu za msingi
View attachment 2195172
So unataka Ukrain ashindwe?Ukrain akipewe silaha atabansi nguvu hapo pande zote zitaona umuhumu wa mazungumzo.
 
China Yuko sahii,
Wanaompa silaha Ukraine,
Ndio wanaokwamisha MAZUNGUMZO ya amani kumaliza mzozo huu.

Na kibaya Zaid hawampi silaha za kisasa, wanampa masalia ya silaha za kizamani na wasizotumia wao Ila aendelee kuchapika zaidi.

Unampa ndege ukraine wakati anga lote kalidhibiti urusi, unategemea Nini Kama sio kuprolong Vita na maafa Bila sababu za msingi
View attachment 2195172
Mazungumzo gani sasa hapo yaani uninyang'anye watoto wangu and unataka uwe unamla mke wangu kwa zamu and unadai urithi katika familia yangu wakati wewe una ukoo wako... ni pumbavu tu kama mchina ndio atakuelewa... Ukraine ni free country na hizo jimbo ni russia ndio anazichochea zijitenge na ukraine so Ukraine ana haki kuomba silaha kumfurumusha fedhuri Putin jitu lenye Tamaa na vitu vya Jirani yake visivyomhusu.... China ni wangese sana mazafanta
 
Kwa kutumia hoja hiyohiyo ya China, basi hakuna haja yoyote ya nchi yoyote ile kuwa na jeshi pamoja na silaha za kivita kwa sababu zinaweza kuchochea vita baina ya mataifa mbalimbali.

Hata China yenyewe haihitaji kuwa na silaha maana kufanya hivyo kunachochea vita kati yake na mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom