Papa Francis asema kuipa silaha Ukraine inakubalika kimaadili lakini majadiliano ni muhimu

Mkuu,

Kuna vitu ukiviangalia katika logical context utaelewa level ya ujinga miongoni mwa watu.

Mtu akivamiwa na SMG kwa hiyo akakimbilie BIBLIA? Hiyo akili ya kufikiria binadamu anaitumia kufanya kazi gani?

Hata uislamu unasema " Pray to Allah, but tie your Camel"

Maisha ya mwanadamu ni pamoja na kuwajibika kwa ngazi tofauti tofauti, nothing is for free- Hata kuiona kesho kuna uwajibikaji ndani yake.

Jeshi la polisi lipo kwa ajili ya kutulinda na kutuhakikishia usalama wetu, lakini pia wanatuhamasisha kuwa na defensive weapons nyumbani kwa kuamini usalama unaanza na mtu mwenyewe.
Watu wanahoji, mbona hatoi rai hiyo kule palestina?

Ama hujui kua Israel inaikalia ardhi ya Palestina kimabavu?
 
Huyu alikua wapi?, Urusi alikaa na Uikrane mezani zaidi ya miaka 20.
Huu mpango NWO hapana, Putin tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kuwa alikuwa wapi..
Nb:, Mimi nimeuongelea Papa si Ukraine na Ukraine si Papa. Putin alipaswa kui-Blackmail Ukraine katika maridhiano ikiwa waliwai shindwana huko nyuma ila si ku-blackmail Kila mtu aliehisi/aliekuwa tofauti na mwelekeo wake.
Kuzozana na mkeo then uchukie mtaa mzima ni tatizo la Afya ya Akili.
 
Kaka embu twende taratibu,

1-Atheist hawamini mambo ya uwepo wa Mungu hivyo automatically hawawezi kuwa na dini,

2-na wenye dini wanaamini kwa Mungu wao wenyewe wanayemwamini.

3-Kwendana na wewe umesema kwamba ma-atheist ni wapumbavu na wenye dini ni wapumbavu.

* OK, napopata tabu sasa, wewe ni atheist au not atheist? Na kama kama haupo kwenye makundi haya mawili( Atheist & no atheist), upo kundi gani? Kama nitakuwa sijakukwaza mkuu
Mimi nipo kama nilivyo sipo upande wa dini wala upande wa atheist .
 
"
The regulations were issued by the Communist Party's powerful Organization Department.
Chinese media quoted an official, explaining the new regulations, as saying: "There are clear rules that retired cadres and party members cannot believe in religion, cannot take part in religious activities, and must resolutely fight against cults."

""Party members should not have religious beliefs, which is a redline for all members...Party members should be firm Marxist atheists, obey party rules and stick to the party's faith...they are not allowed to seek value and belief in religion," Wang Zuoan, director of the State Administration for Religious Affairs (SARA) wrote in an article released in the Qiushi Journal on Saturday, the flagship magazine of the CPC Central Committee"
Katiba ya China ambayo kiongozi huweka mkono wake wakati wa kuapa ina ruhusu Uhuru wa mtu wa kiiamini ilimradi tu Imani yake isivunje sheria na taratibu za China chini ya chama za kikomunisti zilizo wekwa.
 
Hapa naona papa Kakosea,alitakiwa ajikalie Kimya. Kiongozi wa Kiiman Kama yeye Ni hatari kujiinguza kwenye masuala ya kisiasa Kama haya.

Mimi naunga mkono kabisa Ukraine apewe Silaha nzito hata Kama Ni Makombora ya Nyuklia ya Masafa Marefu Ni Sawa TU.
ajikalie kimya watoto duniani wanahaha njaa ujue urusi ilipewa fursa yakulisha dunia automatic lakini fursa imetumika vibaya Papa anahaki yakusema neno
 
Huyu mama Benedict ni aibu kwa kanisa katoliki mwenye akili inayofanana na ya panya.Ni mpumbaf na incompetent kupita hata wengi walio chini yake,,yeye ni mliberali na kutokana na kuwa na akili ya panya ameshaona hajapokelewa vizuri na waumini na viongozi wengi conservative Sasa anachagua waliberali wanzie ili washiriki kuchagua Pope mwengine baada ya kiti kumshinda,,,Huwa najiuliza Moshi mweupe ulitokea alipochaguliwa au kulikuwa na magumashi??
 
Inabidi na Palestine apewe silaha akabiliane na Israel wakati wanasubiri mazungumzo!
Hivi haya maneno mbona hatuyasikii kwenye uvamizi wa Islaer kule Palestina? Kumbe Palestina nae anahaki ya kujilinda? Kwanini hamkemei?
Papa kaulizwa kuhusu Ukraine, nyinyi mnataka ajibu kuhusu Palestina. Mnahisi Papa ni mtu wa akili za kunywea supu kwamba anaulizwa hiki anajibu kingine.

Tafuta waandishi wa habari wakaulize maswali ya Palestina. Na isitoshe majibu yake na msimamo wa kanisa kuhusu Palestina upo kasome. Pichani Papa Fransis akiwa na Mahmoud Abbas mwaka jana mjini Vatican
cq5dam.thumbnail.cropped.500.281.jpeg
cq5dam.thumbnail.cropped.500.281 (1).jpeg
 
Papa kaulizwa kuhusu Ukraine, nyinyi mnataka ajibu kuhusu Palestina. Mnahisi Papa ni mtu wa akili za kunywea supu kwamba anaulizwa hiki anajibu kingine.

Tafuta waandishi wa habari wakaulize maswali ya Palestina. Na isitoshe majibu yake na msimamo wa kanisa kuhusu Palestina upo kasome. Pichani Papa Fransis akiwa na Mahmoud Abbas mwaka jana mjini VaticanView attachment 2359164View attachment 2359165
Mimi nimesema inabidi na Palestine wapewe silaha wajihami,Inamaana US hawaoni?
 
Ukweli ni upi?

Wewe umesema ni upumbavu kuwa atheist, lakini down the line unasema wanaoamini Mungu ni wapumbavu, were do you stand? Is it logically correct.
Hao ndio wale wale wakishika madaraka maoni/maono yao ndio sahihi,upumbavu wa dini ni upi kuhubiri amani na upendo ukute hata mahakama anazichukia huyo.
 
Wanamtumia pope kujustify maovu yao

Papa kwa ule umri wake s wakusumbuliwa na mambo mazito Kama haya

Ajikite kueneza injili Kama lengo mama ya Kaz yake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio wale wale wakishika madaraka maoni/maono yao ndio sahihi,upumbavu wa dini ni upi kuhubiri amani na upendo ukute hata mahakama anazichukia huyo.
Naona una nizungumzia ukidhani kauli yako ndiyo sahihi.

: Hauwezi ukahubiri amani na upendo huku umeshika mapanga huo ni unafiki, ujinga, ushenzi na upumbavu mkubwa.
 
Mimi nimesema inabidi na Palestine wapewe silaha wajihami,Inamaana US hawaoni?
Palestine silaha walishapewa na hadi sasa wanapewa na Iran kwa mbinde. Syria na Egypt zishapeleka majeshi kupigana na Israel. Waarabu walishapeleka contingent yao kupigana na Israel.

Mimi mwenyewe huwa nakubali pendekezo la Vatican ambalo wengi hupendekeza. Kuwepo na peaceful coexistence
 
Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi.

Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan.

========

Jana Alhamis Papa Francis amesema inakubalika kimaadili kwa mataifa kuipa silaha Ukraine ili kuisaidia nchi hiyo kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi.

Akiwa kwenye ndege kutoka kwenye ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan, Papa Franscis ameihimiza Kiev kufungua mazungumzo japokuwa yanaweza 'kunuka' kwasababu itakuwa ngumu kwa upande wa Ukraine.

"Kujilinda sio tu haikatazwi bali pia ni kuonesha upendo kwenye ardhi yako. Mtu ambaye hajilindi na halindi chochote, hakipendi. Wale wanaolinda chochote wanakipenda" Alisema Papa

KUHUSU MAZUNGUMZO
Siku zote huwa ni ngumu kuelewa mjadala na nchi ambayo imeanza vita, ni ngumu lakini wazo halitakiwi kutupwa. Siwezi kuondoa wazo la mjadala na mamlaka yoyote iliyo vitani, hata kama na mchokozi

CHANZO: Reuters

View attachment 2358331
IMG_20220917_185547_633.jpg
IMG_20220917_190021_248.jpg
IMG_20220917_190536_900.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi.

Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan.

========

Jana Alhamis Papa Francis amesema inakubalika kimaadili kwa mataifa kuipa silaha Ukraine ili kuisaidia nchi hiyo kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi.

Akiwa kwenye ndege kutoka kwenye ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan, Papa Franscis ameihimiza Kiev kufungua mazungumzo japokuwa yanaweza 'kunuka' kwasababu itakuwa ngumu kwa upande wa Ukraine.

"Kujilinda sio tu haikatazwi bali pia ni kuonesha upendo kwenye ardhi yako. Mtu ambaye hajilindi na halindi chochote, hakipendi. Wale wanaolinda chochote wanakipenda" Alisema Papa

KUHUSU MAZUNGUMZO
Siku zote huwa ni ngumu kuelewa mjadala na nchi ambayo imeanza vita, ni ngumu lakini wazo halitakiwi kutupwa. Siwezi kuondoa wazo la mjadala na mamlaka yoyote iliyo vitani, hata kama na mchokozi

CHANZO: Reuters

View attachment 2358331
Ndio mana nimeanza kuwa na wasi wasi na hizi dini zetu!

Maadili yapi yanaruhusu mtu kuuliwa?
 
Back
Top Bottom