cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,198
- 140,123
hatareeeeeee.Upuuzi tu..kama wanapinga inshu za LGBTQ community kesho j3 wafanye maandamano na wabebe mabango kuelekea ofisi za serikali tuwaone kweli kama wako serious na hili suala.
U keyboard worrier ni kujipotezea muda tu humu.
#MaendeleoHayanaChama