Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Serikali zote duniani under USA democracy influence zinatakuwa kutambua na kuwalinda jamaa wa upinde kwa namna yoyote ile, na kinachokuja kutoka hivi karibuni haya madhehebu yatakua yanarenew vile vibali vyao, na sharti mojawapo la kupewa kile kibali ni kuukubali ushoga ndani ya jumuiya zao, sasa je kuna wachungaji/mapdre/mashekhe n.k wenye ujasiri wa kukata hizo mambo ili wakose sadaka na zaka, huku wakipewa back up ya fedha nyingi katika kuwasupport upunga?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Huu nao ni mtindio wa ubongo kila kitu USA ,kwamba USA ndio anaamua maamuzi ya kanisa katoliki ? ,
 
Nenda kasome watu walioibadilisha Dunia na sexual preferences zao,

Utashangaa ukiambiwa aliyegundua Simu alikua shoga, aliyegundua mavazi alikua shoga na mengineyo,

Nakusahisha uliposema Mashoga akili zao sio nzuri wakati ukijiangalia juu hadi chini unachokitumia kimetengenezwa kwa akili za shoga

Kuhusu kuzaana wala lisikupe tabu, jamii ya Lgbt+ wanazaa na wana adopt.
Babeeee hawa straight uchwara ni wa kuwapuuza tyuuh.

 
Unataka kusema watapeleka mswaada wa mabadiliko? hivi hawa mashoga hizi nguvu wanazitoa wapi? nani kiongozi wa hili kundi na hawa wazungu wanataka nini kwetu mbwa hawa? natukana sababu wanakera sana ni wakati wa mataifa ya Africa+Asia kuwa wamoja na kusema kwa kauli moja haya ni yetu msilazimishe watu na ujinga wenu huu. Kama unataka kuwa shoga kuwa shoga na familia yako hakuna atakaye kuuliza, mbona hapa kwetu wako wamejaa lakini kama hawavunji sheria za nchi wapo hatuwakati vichwa ila kulazimishana tuone jambo la kawaida wewe mzazi anakuja mwanao nyumbani shoga halafu wewe mzazi" mwanangu mimi nakuunga mkono tu unachotaka wewe sawa tu" pumbavu wakubwa hawa
Mna kipi cha maana nyie wapuuz mpaka mkae kila muda kuhisi kila agenda ni kwa ajili yenu ,nyie wajengewa vyoo vya misaada , mxieew .
Recognition ya LGBTQ ni world wide agenda na si kwamba watu wa Afrika ndio wamelengwa .Muwe mnatumia akili ,hizo dini mmeletewa na hao hao wanaosambaza hizo agenda za new age mbona huwa hamtoi mapovu mkienda kwenye misikiti na makanisa yenu huko kuabudu hiyo miungu ambayo hata hamjawahi kuiona
Mlishamuona huyo mwamedi ,yesu au mungu wenu huyo mliyekaririshwa ?
Kuwa open minded , sio kitu unakuwa too brainwashed mpaka ukitoa hoja unaonekana taahira .
Idiots
 
Mkuu yani ukifuatilia Sana hizi dini utajikuta huendi kabisaa, wanaoujua ukweli ni walio na vyeo vikubwa wengine huku chini wanafuata maelekezo, Vatican ikisema dunia inafuata !
Ukiona watu wanavyotokwaga na mapovu kukaa na kutetea maupumbavu ya dini zao za kiislamu na ukristo ,ni nawaonaga misukule ++ , we kama una imani yako hiyo kaa nayo usimjudge mtu mwingine kisa umekariri hayo makaratasi na upuuzi wako wa kuabudu rosali ,masanamu ,misahafu na matakataka mengine huko . Put that shit to yourself .
Mtu kama ni shoga kama sijui ni nani ,that's none of my business ,after all ni faragha na uhuru wa maamuzi ya mtu , it's his /her asshole ,what does it has to do with me ? .
 
Ukiona watu wanavyotokwaga na mapovu kukaa na kutetea maupumbavu ya dini zao za kiislamu na ukristo ,ni nawaonaga misukule ++ , we kama una imani yako hiyo kaa nayo usimjudge mtu mwingine kisa umekariri hayo makaratasi na upuuzi wako wa kuabudu rosali ,masanamu ,misahafu na matakataka mengine huko . Put that shit to yourself . Kuna wengine wanakuona kama mwehu tu na dini zako hizo .
Mtu kama ni shoga kama sijui ni nani ,that's jobs of my business ,after all ni faragha na uhuru wa maamuzi ya mtu , it's his /her asshole ,what does it has to do with me ? .
Siwezi kukaa na kujadili trivial matters eti fulani ni shoga ,wtf Huna kazi ya kufanya au una mtindio wa ubongo .
 
Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).

ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"

Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.

Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?


======

Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.

In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”

The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“

The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.

Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.

Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“

Chanzo: CNA > Pope Francis meets with Father James Martin at Vatican
Anglican tayar wameshapisha Sera la LBGTQ , Roman Catholic church walikuwa wanasubiriwa kupitisha, NI swala la muda,

Haya wafia na dini za kikoloni , KAZ kwen
 
Mna kipi cha maana nyie wapuuz mpaka mkae kila muda kuhisi kila agenda ni kwa ajili yenu ,nyie wajengewa vyoo vya misaada , mxieew .
Recognition ya LGBTQ ni world wide agenda na si kwamba watu wa Afrika ndio wamelengwa .Muwe mnatumia akili ,hizo dini mmeletewa na hao hao wanaosambaza hizo agenda za new age mbona huwa hamtoi mapovu mkienda kwenye misikiti na makanisa yenu huko kuabudu hiyo miungu ambayo hata hamjawahi kuiona
Mlishamuona huyo mwamedi ,yesu au mungu wenu huyo mliyekaririshwa ?
Kuwa open minded , sio kitu unakuwa too brainwashed mpaka ukitoa hoja unaonekana taahira .
Idiots
mnawapiga kwenye mshonooooo.
 
Back
Top Bottom