Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,824
2,841
Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).

ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"

Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.

Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?

======

Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.

In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”

The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“

The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.

Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.

Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“

Chanzo: CNA > Pope Francis meets with Father James Martin at Vatican
 
Moja ya kuujiudhuru MWALIMu wa makadinali waliopo kwasasa duniani na wakihudumu PAPA Benedict

1--ilikua kuangalia namna yakuruhusu mapadri waoe kwani nifedheha kubwa ndani yakatolic kutooa wakaona mzee asiwatania ajiuzuri pamoja na kwamba papa hatakiwi kuniuzuru Ila alimkimbuka rafiki yake mkubwa aliyewahi kumuasa kwamba kua papa unakua mfungwa wa Imani

HIVYo...ushoga nilazima uidhinishwe katolic ili kuthibiti kesi za mapadri mahakamani za ubakaji

Rejea mawakala wa ukoloni wale watatu(3) Kama dini ilikuwepo basi tuendelee kuabudu dini zetu za zamani
 
Ni suala la muda makanisa kuhalalisha suala hili. Haya ndiyo majanga kwenye dini kuleta siasa kumridhisha kila mtu na inahitaji unafiki wa hali ya juu.
Screenshot_2022-11-12-11-02-29-335_com.android.chrome~2.jpg
 
Serikali zote duniani under USA democracy influence zinatakuwa kutambua na kuwalinda jamaa wa upinde kwa namna yoyote ile, na kinachokuja kutoka hivi karibuni haya madhehebu yatakua yanarenew vile vibali vyao, na sharti mojawapo la kupewa kile kibali ni kuukubali ushoga ndani ya jumuiya zao, sasa je kuna wachungaji/mapdre/mashekhe n.k wenye ujasiri wa kukata hizo mambo ili wakose sadaka na zaka, huku wakipewa back up ya fedha nyingi katika kuwasupport upunga?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Moja ya kuujiudhuru MWALIMu wa makadinali waliopo kwasasa duniani na wakihudumu PAPA Benedict

1--ilikua kuangalia namna yakuruhusu mapadri waoe kwani nifedheha kubwa ndani yakatolic kutooa wakaona mzee asiwatania ajiuzuri pamoja na kwamba papa hatakiwi kuniuzuru Ila alimkimbuka rafiki yake mkubwa aliyewahi kumuasa kwamba kua papa unakua mfungwa wa Imani

HIVYo...ushoga nilazima uidhinishwe katolic ili kuthibiti kesi za mapadri mahakamani za ubakaji

Rejea mawakala wa ukoloni wale watatu(3) Kama dini ilikuwepo basi tuendelee kuabudu dini zetu za zamani
Duh, kumb ndicho kilichosababisha Benedict atoke Vatican?
 
Serikali zote duniani under USA democracy influence zinatakuwa kutambua na kuwalinda jamaa wa upinde kwa namna yoyote ile, na kinachokuja kutoka hivi karibuni haya madhehebu yatakua yanarenew vile vibali vyao, na sharti mojawapo la kupewa kile kibali ni kuukubali ushoga ndani ya jumuiya zao, sasa je kuna wachungaji/mapdre/mashekhe n.k wenye ujasiri wa kukata hizo mambo ili wakose sadaka na zaka, huku wakipewa back up ya fedha nyingi katika kuwasupport upunga?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ajabu kweli kweli, hii vita ni kubwa Sana.
 
Duh, kumb ndicho kilichosababisha Benedict atoke Vatican?
Pengo ni mwanafunzi wa papa Benedict wa 16 ,anajua Hilo vizuri Sana ni mwandishi nguli wavitabu vingi na vingine vinakidhana waziwazi na maswala mbalimbali yaliyopo kwetu katolic

note;ukishakubali kuwa papa na ikaishinishwa hutajiuzuru hata uumwe kitandani miaka na miaka ,hakutakua na nanafasi ya kuchakatwa kupata Papa kisa unaumwa

Baada yamabishano makalisana vatcan akawambia au niuawe au marekebisho yafanyike ,wakaona anachosema kweli basi pumzika mpaka Leo ni mtu wakusoma vitabu
Na sababu yakujiuzuru ya kitoto kabisa eti AFYA hawezi kuhudumu

Mungu wetu wa zamani sisi waafrika tumrejee na tumuombe msamaha kwa kumtenga
 
Back
Top Bottom