fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,915
Upo sahihi naunga mkono hojaKatoliki halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo wa Nazareth. Papa asilaumiwe.

Upo sahihi naunga mkono hojaKatoliki halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo wa Nazareth. Papa asilaumiwe.

Achen masihala Wakuuu, Kwan maandiko yanasema je ?.
Mbingu IPO spiritually siyo physicallyAchen masihala Wakuuu, Kwan maandiko yanasema je ?.
Maandiko yanasema, Mara baada ya ujio wapili wa Yesu
Waovu wakishatupwa ziwa la moto.
Mungu, atashuka na Mji wake Yerusalemi ya mbinguni, atashuka nao na kuuleta hapa Duniani.
Na kufanya makazi hapahapa pamoja na wale wateule, watakatifu ambapo wameishinda dhambi.
Hivo Mbinguni ni Mahali halisi kabisa 100%. Sio hali kwamba inafikirika.
Ni kweli, ila najiuliza kama ni hivyo hizi sayari zingine 7 tena zingine kubwa kabisa mara nyingi kuliko dunia ni za nini? Kwanini zimekuwepo ilihali hakuna viumbe vingine huko?Yuko sahihi. Duniani tu ndio mahususi kwa ajili ya kuishi watu na mazingira yanayoendana na viumbe hai.
Uchumi wa Kat tutafika mkuu?Wana siri nzito hao. Shetani umpa maagizo black papa, papa mweusi ambae ukaa chini ghorofa ya saba kwenda chini makao makuu pale vatican, papa binadamu upokea maagizo toka kwa black papa, papamtu ndie mkuu wa siasa na dini duniani na viongozi wote wa nchi zote duniani ni lazima wamuangukie papamtu. Papamtu anaunga ushoga, ushoga ni maagizo ya shetani kupitia Black Papa lengo kuharibu maadili ya jamii na kuua utu wa mwanadamu.
Source please ya ulicho kiandikaWakati Yesu akiwa na siku chache toka afufuke na kurudi mbinguni kuketi mkono wa kuume wa Baba yake .
Wakati Yesu alituachia Sala yetu ya 'Baba yetu uishie Mahali pa juu mbinguni ".....
Kama kawaida , Leo Papa katoa Boko jingine, 2013 alidai hamna Jehanamu ( Kwa maono yake wadhambi tuendeleee kudhambika ).
Baadae akawashauri wasoamin uwepo wa Mungu "Humuhitaji Mungu kukuona Uzima "
Leo katika Intavyuu , kadai Hamna Paradiso, hamna Cha mbinguni , Kwa Lugha nyingine, nyie wafuasi wake mnaambiwa Hamna Mungu , ndiooo, Kama makazi ya Mungu hayapo, Mungu mwenyewe hayupo Sasa ??.
Duuhh!!!! Hakika Mtakatifu Yohana kwenye kitabu Cha Ufunuo, akimuelezea Mnyama ( Mpinga Kristo) alisema "Ana kinywa Cha mwanadam hata akanena Maneno ya kukufuru ......
View attachment 2196950
BERGOGLIO IN A INTERVIEW (ITALIAN)
"HEAVEN IS NOT A PHYSICAL PLACE, HEAVEN IS
HERE, IS A LIFE STYLE THAT MAKE ME
CONTEMPLATE OUR LADY, GOD AND THE
BELIEVERS"
THEN IN THE LAST SECOND HE SAYS
" BECAUSE GOD IS SICK."
Huyo yohana ume mjua baada ya kusoma biblia swali linakuja unajuaje biblia kama ni kitabu cha kweli vipi kama nikitabu cha kutunga ili kuweza tu ku shape dunia yan watu wenye Akili walikaa nakuona namna ya kuwaweka watu sawa remember fear is what keep people moving onWakati Yesu akiwa na siku chache toka afufuke na kurudi mbinguni kuketi mkono wa kuume wa Baba yake .
Wakati Yesu alituachia Sala yetu ya 'Baba yetu uishie Mahali pa juu mbinguni ".....
Kama kawaida , Leo Papa katoa Boko jingine, 2013 alidai hamna Jehanamu ( Kwa maono yake wadhambi tuendeleee kudhambika ).
Baadae akawashauri wasoamin uwepo wa Mungu "Humuhitaji Mungu kukuona Uzima "
Leo katika Intavyuu , kadai Hamna Paradiso, hamna Cha mbinguni , Kwa Lugha nyingine, nyie wafuasi wake mnaambiwa Hamna Mungu , ndiooo, Kama makazi ya Mungu hayapo, Mungu mwenyewe hayupo Sasa ??.
Duuhh!!!! Hakika Mtakatifu Yohana kwenye kitabu Cha Ufunuo, akimuelezea Mnyama ( Mpinga Kristo) alisema "Ana kinywa Cha mwanadam hata akanena Maneno ya kukufuru ......
View attachment 2196950
BERGOGLIO IN A INTERVIEW (ITALIAN)
"HEAVEN IS NOT A PHYSICAL PLACE, HEAVEN IS
HERE, IS A LIFE STYLE THAT MAKE ME
CONTEMPLATE OUR LADY, GOD AND THE
BELIEVERS"
THEN IN THE LAST SECOND HE SAYS
" BECAUSE GOD IS SICK."
Hata huyo MUNGU ni Hali,Kama ilivyo pumzi/roho yako iliyopewa 'mahali' pa kuishi(mwili) kisha ukawa physical beingAchen masihala Wakuuu, Kwan maandiko yanasema je ?.
Maandiko yanasema, Mara baada ya ujio wapili wa Yesu
Waovu wakishatupwa ziwa la moto.
Mungu, atashuka na Mji wake Yerusalemi ya mbinguni, atashuka nao na kuuleta hapa Duniani.
Na kufanya makazi hapahapa pamoja na wale wateule, watakatifu ambapo wameishinda dhambi.
Hivo Mbinguni ni Mahali halisi kabisa 100%. Sio hali kwamba inafikirika.
ujinga tu... hivi duniani mpo peke yenu nyie wakristo!? vipi dini nyingine haya mambo ya mpinga kristu yanawahusu vipi wakati hata kristu mwenyewe hawamtambui.. tena ni wengi kuliko ninyi,wahindu,mabhuda na wengineo..Hata huyo MUNGU ni Hali,Kama ilivyo pumzi/roho yako
Ufafanuzi please
Polepole tunakuja kuambiwa "Mungu ni dhana tu, si uhalisia"
"Spiritually" maana yake nini?Mbingu IPO spiritually siyo physically
Basi hao watu walioandika biblia na misahafu ili kuishape dunia kwa kutunga tu zile habari za injili walikua na akili sana coz wemiteka robo tatu ya ulimwengu.Huyo yohana ume mjua baada ya kusoma biblia swali linakuja unajuaje biblia kama ni kitabu cha kweli vipi kama nikitabu cha kutunga ili kuweza tu ku shape dunia yan watu wenye Akili walikaa nakuona namna ya kuwaweka watu sawa remember fear is what keep people moving on
Sasa sisi viumbe hai tumetoka wapi?Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, muumba vyote, katungwa na watu tu.
Hayupo katika uhalisia.