The EMP Bomb
Senior Member
- Oct 27, 2021
- 130
- 133
Kwa mtazamo wangu yupo sahihi, binafsi Sasa hivi nahitaji mwalimu mzuri wa kunifundisha Tena habari za shetani na mambo ya jehanam
Hilo ni swali tofauti ambalo jibu lake linafanyiwa kazi bado, lakini si Mungu huyo.
Tunaweza kujua jibu fulani si sahihi hata bila kujua jibu sahihi ni lipi, kama vile tunavyoweza kujua 10 si square root ya 2 hata bila kujua square root ya 2 ni nini.
Ungeumbwa na Mungu huyo usingepewa adhabu ya kunya karibu kila siku.
jamanHaooo wazee wa kutunga stori wameshaanzaWana siri nzito hao. Shetani umpa maagizo black papa, papa mweusi ambae ukaa chini ghorofa ya saba kwenda chini makao makuu pale vatican, papa binadamu upokea maagizo toka kwa black papa, papamtu ndie mkuu wa siasa na dini duniani na viongozi wote wa nchi zote duniani ni lazima wamuangukie papamtu. Papamtu anaunga ushoga, ushoga ni maagizo ya shetani kupitia Black Papa lengo kuharibu maadili ya jamii na kuua utu wa mwanadamu.

Haiwezikani watu wasiofanana watunge story zifananazo KILA sikuHaooo wazee wa kutunga stori wameshaanza![]()
Jamani vipi tena?jaman
Unaropoka tu....hv unajua 2013 pope alikua Nani?2013 alisema juu ya Jehanamu
2018 akagusia suala la mbinguni, ndipo Vatcan wakatoka mbele kutetea ,kwamba "Papa alimaanisha hivi,,,,, hivo asieleweke vibaya".
Kwenye Intavyuu ya Leo hapo kwenye hiyo video, Papa anapinga uwepo wa mbingu.