TENA HAO PANYA ROAD NATAMANI WAKUVAMIE WEE SIKU MOJA.....WAKUACHIE ALAMA MPAKA UTIE AKILIHapana Mkuu. Kile kituo kipo wazi masaa 24. Jirani ya hicho kituo kuna Bar Maarufu inaitwa Chamazi Pub. Fanya hima kufikisha taarifa ili hao wahuni washughulikiwe
Ndio maana hata wale Wakulla wanakimbilia DodomaWanaume wa dar mnatia aibu mnakimbia panya buku
Hivi wewe kuna kitu unakijua zaidi ya bavicha kweli?Propaganda Za ufipa hizi.
Bavicha ni mtambo wa kutunga uongo
Badala ya kuripoti polisi unakimbilia jfKwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha rmafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
Mzunguko mdogo maana yake niniMzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.
Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.
Hawa panya road watashugulikiwa,katika historia Ya Tanzania hakuna kikundi cha uhalifu kinachodumu,kulikuwa na komando yosso nini panya road time is the real master.
Qumer y@ m@m@ko! Watu wanatobolewa macho kila siku halafu wewe unatuletea USENGErema wako wa kisiasa hapa jukwaani. Umetoka kuvuruga mkutano Arusha sasa uvurugaji wako unauleta hapa jf? Una matatizo gani wewe Gambo?Uko sahihi kabisa maana hao jamaa wa bavicha hazimo wengi.
Mkuu delete hii post plz!! inakudhalilisha ndugu yangu... usifute thread Bali futa hii post uloandika TusiQumer y@ m@m@ko! Watu wanatobolewa macho kila siku halafu wewe unatuletea USENGErema wako wa kisiasa hapa jukwaani. Umetoka kuvuruga mkutano Arusha sasa uvurugaji wako unauleta hapa jf? Una matatizo gani wewe Gambo?
Hahahaha Mkuu sikupatii picha ulivyokuwa mdogo kama piriton nahisi hata taulo lilikuvuka na kujamba juu.
Chamazi sio kwa walala hoiWanavamia Mitaa ya walalahoi tu, waje huku Mitaa ya Miande waone cha moto
Kuwakanya wanetu ni Sawa,lakini, hili eti, humu JF kuna wazazi, watoto wao ni panya road, nao wanawajua ! Una hakika Mkuu? Na unajua hatua wanazochukua au wanamezea tu?Kwan hao pana road hawana wazaz c wanao wakulaumiwa wazaz wao na humhum jf kuna wazaz wanaojua kuwa kijana wake ni panya road c kwamba tuiachie selikar tu tuwakanye watoto wetu
Ni watoto wao na ni ndugu zao, ndo mana wanawalea tuuChomeni moto hao mbwa,mnawaonea huruma ili iweje?
Du u u ! Tumefika hapa? Wapi heshima? Jf inadhalilika kwa uandishi huu! Kweli itadumu kama. 'Home of great thinkers?Mkuu delete hii post plz!! inakudhalilisha ndugu yangu... usifute thread Bali futa hii post uloandika Tusi