Panapofuka moshi panaficha moto...

Panapofuka moshi panaficha moto...

Hakuna Moshi. Hakuna moto.

Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.

Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.

View attachment 995933
Walioko uraiani miaka yote hawajawahi kuona utofauti wa moto na moshi ndio maana hata wewe upo mtandaoni,kwasababu kuna tofauti kubwa kati ya watu wa uraiani na mtandaoni.Asilimia 20,ya watanzania ndo walikubali mfumo wa vyama vingi.Ingekuwa enzi hizo hao 20 asilimia ndo wangeitwa wapiga kelele.
 
Unataka kuniambia kuna kikundi cha watu walio nyuma ya mwenyekiti wako wa chama?

Maana maangizo yote yanatoka mamlaka ya juu.... Huyu Assad ataondolewa na atateuliwa kafiri...
Hayo unasema wewe. Mimi nimesema nguvu kubwa.

Unaelewa Kiswahili?
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Ajabu ni kwamba moshi wenyewe awamu ya 4 haukuonekana au kama ulikuwepo post kama hizi hazikubandikwa!
 
CAG ana siri nzito

Special audit report kuhusu matumizi ya trilioni 1.5 ambayo Spika ameikalia kwa mujibu wa Zitto, inaweza ikawa ni tone tu katika bahari.

Subirini ripoti ya CAG ya 2017/2018 hii inaweza kuwa ni atomic bomb lenye madhara kama lille la Hiroshima nchini Japan.

Naomba CAG akomae na asitetereke katika hii vita.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Maendeleo hayana Chama
Mikutano ya hadhara mpaka 2020
Bunge halishirikiani na ............
Kama hatafika tutamfunga Pingu
Je tutafika?
 
Hakuna Moshi. Hakuna moto.

Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.

Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.

View attachment 995933
Unazani hata kama mambo hayaendi sawa. Maisha ndo yatasimama?.. "A man brags over his own penis however Small" Watu wanapambana hivyo hivyo kibishi kubeba ma billion kutoka katika mzunguko ukaya dump sehem moja tena isiyolipa.kwa wakati lazima mambo yayumbe ## POVU#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani critics wa Dkt Magufuli mzoee kwa sababu theoretically mmeshindwa kumyumbisha ndani ya miaka 3 (2016, 2017, na 2018) basi msahau kabisa kamwe hamtamyumbisha. Mtapata tabu sana mpaka 2025, na mrithi wake atakuwa zaidi ya yeye, ushauri labda mhame nchi au msage sumu mnywe mfe! Hakuna cha moshi wala moto, watanzania hatutishwi, tupo pamoja na tuna mpenda rais wetu ile kinoma! Wajahidina kama alshababu hawana nafasi ktk Tanzania, ila waislamu wa kweli tunatembeleana na kula daku kipindi cha mfungo na kwa resima.
Buku saba tu inakutoa ufahamu kiasi hiki!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?

Safari hii umeamua kuwa mkweli
 
Braza,
Unatoa picha ya Fremu zimefungwa kwa kukosa wapangaji kisha unasema hakuna moshi, hakuna moto, mitaan watu wanaendelea na shughuli zao?

Umehitimisha visivyo!

Fremu hazijafungwa kwa kukosa wapangaji.

Hizo fremu huwa hazipo wazi masaa 24.

Au kila biashara bongo iko wazi masaa 24?
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Kwa namna ulivyoificha habari yenyewe, UMETOA NAFASI KUBWA SANA YA WATU KUSINGIZIANA, KUTOKA NJE YA ULICHODHAMILIA, KUWEKA HISIA ZA MTU BINAFSI BADALA YA ULICHOKIDHAMILIA... weka wazi zaidi ili wachangiaji wajikite kwenye ulilolidhsmilia
 
Umehitimisha visivyo!

Fremu hazijafungwa kwa kukosa wapangaji.

Hizo fremu huwa hazipo wazi masaa 24.

Au kila biashara bongo iko wazi masaa 24?
Kwani, kwa kuzitazama hizo fremu, na muda ambao picha imepigwa, unadhani
1. Je, inaonyesha bidhaa zipo kwenye kuuzwa masaa 24?
2. Unadhani kutokufungwa kukosa wapangaji maana yake nini?
3. Bidhaa aina zote zinapatikana hapo?
 
Matusi hayo.

Nioneshe andiko langu ambao lilikufanya uone si mkweli.

Punguani wahed.

Lini (before these past few months) ulishahoji au kuashiria mambo kutokuwa sawa mahali? Hilo la upunguani nakuachia mwenyewe.
 
Kwa namna ulivyoificha habari yenyewe, UMETOA NAFASI KUBWA SANA YA WATU KUSINGIZIANA, KUTOKA NJE YA ULICHODHAMILIA, KUWEKA HISIA ZA MTU BINAFSI BADALA YA ULICHOKIDHAMILIA... weka wazi zaidi ili wachangiaji wajikite kwenye ulilolidhsmilia
Fikiri useme moto unaouona wewe uko wapi na chanzo chake nini.

Ni mada ya wazi inayompa kila mmoja fursa ya kutoa maoni yake bila shinikizo.
 
Back
Top Bottom