Kwani, kwa kuzitazama hizo fremu, na muda ambao picha imepigwa, unadhani
1. Je, inaonyesha bidhaa zipo kwenye kuuzwa masaa 24?
2. Unadhani kutokufungwa kukosa wapangaji maana yake nini?
3. Bidhaa aina zote zinapatikana hapo?
Na ndo maana hasa ya post yangu... umeacha wazi kiasi cha kila mtu aseme lake kutegemeana na anataka kuzungumzia nini... WA UDOM, wa CAG, wa Bar kuwa wazi masaa 24, WA MAKOSA YA GARI KUWA NA FAINI MOJA etcFikiri useme moto unauona wewe uko wapi na vyanzo chake nini.
Ni mada ya wazi inayompa kila mmoja fursa ya kutoa maoni yake bila shinikizo.
Unaonesha hunisomi. Lini mambo yaliwahi kuwa sawa kwenye nchi zenye "demokrasia"?
haaaaaaaaaaaaaaKujifanya huumwi hakuzuii ugonjwa kukuondoa duniani. Mtu mmoja mpumbavu aliwahi kusema Dar es Salaam hakuna shida ya maji. Alipoulizwa anaishi wapi, bila kushughulisha akili yake akajibu MIKOCHENI
Kuzifahamu kwako hakutupi ukweli wa ukisemacho... KWA AFANDE KILA MTU ANAPAJUA KWA KINACHOUZWA HAPO...Hizo fremu nazijua.
Wenyewe nawajua.
Wapangaji wake nawajua.
Hazijakosa wapangaji. Zote zimepangishwa.
Zipo Mwenge mtaa wa Migombani karibu na kwa Afande.
Unaweza kwenda hata leo ukashuhudie mwenyewe uone kama zimefungwa kwa kukosa wapangaji au la.
Hujui zimepigwa picha siku gani. Umerukia kuhitimisha tu.
Fremu zote hizo zipo occupied!!
Kwa taarifa yako...
Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Wengine husema Tanzania hakuna shida ya kukatwa umeme... KUMBE AMEUNGWA KWENYE LINE YA HOSPITALIKujifanya huumwi hakuzuii ugonjwa kukuondoa duniani. Mtu mmoja mpumbavu aliwahi kusema Dar es Salaam hakuna shida ya maji. Alipoulizwa anaishi wapi, bila kushughulisha akili yake akajibu MIKOCHENI
Kumbe unajua nchi zetu nyingi za Kiafrika zina "demokrasia"!!!???Unaonesha hunisomi. Lini mambo yaliwahi kuwa sawa kwenye nchi zenye "demokrasia"?
Kuzifahamu kwako hakutupi ukweli wa ukisemacho... KWA AFANDE KILA MTU ANAPAJUA KWA KINACHOUZWA HAPO...
Kuna hisia hiyo inayoenea kama moto wenyewe.Pasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Tulia tu mtoto wa mama. Endelea kufaidi matunda. Kumbuka maji yaliyotulia huwazamisha wajuaji wengi.Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Faiza acha kuficha ficha sema tuu unataka kuongelea tokeo la UDOM na Assad...kuwa manamke wa shoka acha bla bla.Fikiri useme moto unaouona wewe uko wapi na chanzo chake nini.
Ni mada ya wazi inayompa kila mmoja fursa ya kutoa maoni yake bila shinikizo.




Huyu hutetea majina. Kuna siku anaenda mtetea lipumba.