Mimi huku kitaa sioni kabisa kinachoendana na yanayosemwa humu JF!
Nachoona huku kitaa ni watu wanaopambana na hali zao kila siku.
View attachment 995985
Hata shetani akizeeka huwa anabadilika na kua malaika. Mabadiliko ni muhimu, na yakitokea huwezi kuwa yule yule.Bibi kweli umezeeka ,huu moshi mbona wenzio tulianza kuusikia harufu yake tangu Novemba 5/2015 na sasa moshi umeongezeka.Jambo la ajabu hapo ni kwamba huu moto uanafukuta kwa miaka 3 sasa ni moto wa aiana gani!Pole sana bibi naona machozi ya kutoka kwa huu moshi
Me naona "fukuto" tuu...
Shualina??Mumu....msalimie Insta Babe
Shualina??
Yay,.😉😉the goddess bebe ua needed here,.woiiiOf course....Insta Babe Shualina aka The Goddess...JF Goddess
😄
Huwa nnaandika mawazo yangu, si leo si jana. Nipo huru na mawazo yangu kikatiba.Kwa mara ya kwanza leo nimekupa like. Taratibu tunaanza kuongea lugha moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Macho yako yameshikwa ukungu sababu ya uzee tu, hakuna moshi wowote.Pasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Kuna kijana wa ufipa ameiba simu ya faiza foxy akiwa anaumwa. Ameingia Jf na kuandika habari ya mabeberu.Pasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Sioni kama unazimika, mpaka uondoke na mtu huu.
Anayeuwasha ndiye mwenye uwezo wa kuuzima, ila anasubiri mpaka umwondoe adui ndo auzime. Ingawa moto hautabiliki, unaweza kumwunguza hata asiye mlengwa na uharibifu ukawa mkubwa.
Tafadhali usinijadili mimi, jadili mada. Ukitaka kunijadili mimi pitia uzi huu: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa - JamiiForumsTaratiiibuu tumeanza kuelewana. Naona hata wewe FaizaFoxy unaelewa sasa.