Kujifanya huumwi hakuzuii ugonjwa kukuondoa duniani. Mtu mmoja mpumbavu aliwahi kusema Dar es Salaam hakuna shida ya maji. Alipoulizwa anaishi wapi, bila kushughulisha akili yake akajibu MIKOCHENIHakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Bila shaka! Report yake ya ukaguzi wa mahesabu ya mwaka 2017/2018 iko due mwezi April halaf wanamchachafya ili ajiuzulu sasa!CAG ana siri nzito
Special audit report kuhusu matumizi ya trilioni 1.5 ambayo Spika ameikalia kwa mujibu wa Zitto, inaweza ikawa ni tone tu katika bahari.
Subirini ripoti ya CAG ya 2017/2018 hii inaweza kuwa ni atomic bomb lenye madhara kama lille la Hiroshima nchini Japan.
Naomba CAG akomae na asitetereke katika hii vita.
Ndo siasa ya awamu hii!Wanatengeneza matatizo kisha wayatatue tuwaone bora
We uko marekani ya mitaani Bongo unayajua wapi? Mapenzi ya Jiwe yanakutoa ufahamu!Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
We uko marekani ya mitaani Bongo unayajua wapi? Mapenzi ja Jiwe yanakutoa ufahamu!
tutahakikisha ripoti hiyo inawafikia wananchi hata kwa kudukuliwa , Ndugai hafai kuwa spika na anatakiwa kukamatwa .CAG ana siri nzito