Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
935
Reaction score
3,014
Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa huru kifikra, mwenye maadili na uwezo wa kuchagua mema usimlee mtoto aishi unavyotaka, akiwa huru atasumbuka. watoto wengi huendelea kuwa na maadili mema hata wakiwa ughaibuni.

Maamuzi haya nimeyafanya baada ya kuona watu wengi wanaokwenda nchi hizo wanarudi wakiwa tofauti kwenye mtazamo wa maisha, uthubutu, connections, n.k. wengi wakirudi bongo huwa nawafananisha na mwanachuo anaerudi darasa la saba, success rate ipo juu.

Why Ulaya au Marekani ?

Ni makutano ya watu wengi kutoka nchi nyingi duniani, utawakuta wakenya, wahindi, waarabu, wazungu, wabrazili, n.k. si hivyo tu watu wengi wanaoenda huku makwao wana pesa na connections zilizowafikisha maana vyuo ni gharama na kupata visa si shughuli ndogo, kumpeleka mtoto asome nchi za Africa kuna exposure ndogo maana vitu na watu wengi hufanana, pia kumpeleka nchi za India, Uarabuni, Amerika ya kusini, n.k. huko kuna ubaguzi wa hali ya juu sana sambamba na udini.

Kusoma nje hutengeneza mitandao ya kimataifa, kwa kuishi hapa TZ utaishia kutengeneza network za mikoani, kujuana na mtu wa Mbeya, Arusha, Lindi, Kagera, Dsm, n.k. kiufupi utaishia kujuana na watanzania tu, networks hizi ni muhimu.

Kusoma nje unatengeneza network za kimataifa zinazoweza kuwa msaada hasa kwenye fursa, mtu una classmmate wako wahindi, waarabu, wazungu, n.k. mliesoma chuo kimoja, ni rahisi kupata mawazo ya kibashara hata zile biashara mpya ambazo hazipo bongo, unaweza kwenda kumtembelea mwenzako huko kwao akakuonesha vitu A - Z wewe unaanzisha TZ,

Exposure inapunguza kuridhika, ukiwa Tz na circle ya wabongo unaweza kuridhika ukipata kazi raasisi kubwa kama Bandarini, Tanapa, nssf, n.k. unaenda kukutana na wenzako wa nchi nyingine kwao wana biashara zinazoingiza pesa ndefu sana, hakuna mtu anayependa kuwa nyuma kwenye circle, ndio maana watanzania wengi waliosoma hizi nchi wakirudi hapa TZ wanafanya biashara na wamefanikiwa, ndilo kundi linaloongoza kwa kuacha ajira kufanya biashara zao.

Exposure inabadili mtazamo wa maisha, kwetu hapa bongo tangu tukiwa wadogo mitazamo yetu ya maisha ipo influenced na jamii, tumekaririshwa kuzipenda ajira, tumekaririshwa kuwanyenyekea wazungu, tumekaririshwa misemo ya ajabu ajabu, n.k. ukienda kwenye nchi mnazokutana watu wa mataifa mbali mbali, mtazamo wako wa maisha unabadilika fir the better, unagpata confidence ya kuwa na mawazo ya kujipata nje ya ajira, wazungu utawaona watu wa kawaida tu, vimisemo vya ajabu ajabu vya kutukuza umasikini unafyeka.
 
EXPOSURE does not defeat MINDSET.

Ishu ni mindset.

Itikadi kali wanaenda kusoma hadi ulaya ila bado wanabakia na roho xa ugaidi ndani yao.

So its mindset not exposure.
Mindset inajengwa zaidi na maisha unayokulia na jamii unayoishi nayo

Hapa bongo mindset ya watu wengi wanaamini kusoma sana ili upate ajira (ambazo hazina uhakika), misemo ya hovyo eti ridhika na ulichonacho aliepewa kapewa, n.k.

exposure inasaidia sana kufuta haya mambo kichwani
 
Maamuzi haya nimeyafanya baada ya kuona watu wengi wanaokwenda nchi hizo wanarudi wakiwa tofauti kwenye mtazamo wa maisha, uthubutu, connections, n.k. wengi wakirudi bongo huwa nawafananisha na mwanachuo anaerudi darasa la saba, success rate ipo juu.

Why Ulaya au Marekani ?

Ni makutano ya watu wengi kutoka nchi nyingi duniani, utawakuta wakenya, wahindi, waarabu, wazungu, wabrazili, n.k. si hivyo tu watu wengi wanaoenda huku makwao wana pesa na connections zilizowafikisha maana vyuo ni gharama na kupata visa si shughuli ndogo, kumpeleka mtoto asome nchi za Africa kuna exposure ndogo maana vitu na watu wengi hufanana, pia kumpeleka nchi za India, Uarabuni, Amerika ya kusini, n.k. huko kuna ubaguzi wa hali ya juu sana sambamba na udini.

Kusoma nje hutengeneza mitandao ya kimataifa, kwa kuishi hapa TZ utaishia kutengeneza network za mikoani, kujuana na mtu wa Mbeya, Arusha, Lindi, Kagera, Dsm, n.k. kiufupi utaishia kujuana na watanzania tu, networks hizi ni muhimu.

Kusoma nje unatengeneza network za kimataifa zinazoweza kuwa msaada hasa kwenye fursa, mtu una classmmate wako wahindi, waarabu, wazungu, n.k. mliesoma chuo kimoja, ni rahisi kupata mawazo ya kibashara hata zile biashara mpya ambazo hazipo bongo, unaweza kwenda kumtembelea mwenzako huko kwao akakuonesha vitu A - Z wewe unaanzisha TZ,

Exposure inapunguza kuridhika, ukiwa Tz na circle ya wabongo unaweza kuridhika ukipata kazi raasisi kubwa kama Bandarini, Tanapa, nssf, n.k. unaenda kukutana na wenzako wa nchi nyingine kwao wana biashara zinazoingiza pesa ndefu sana, hakuna mtu anayependa kuwa nyuma kwenye circle, ndio maana watanzania wengi waliosoma hizi nchi wakirudi hapa TZ wanafanya biashara na wamefanikiwa, ndilo kundi linaloongoza kwa kuacha ajira kufanya biashara zao.

Exposure inabadili mtazamo wa maisha, kwetu hapa bongo tangu tukiwa wadogo mitazamo yetu ya maisha ipo influenced na jamii, tumekaririshwa kuzipenda ajira, tumekaririshwa kuwanyenyekea wazungu, tumekaririshwa misemo ya ajabu ajabu, n.k. ukienda kwenye nchi mnazokutana watu wa mataifa mbali mbali, mtazamo wako wa maisha unabadilika fir the better, unagpata confidence ya kuwa na mawazo ya kujipata nje ya ajira, wazungu utawaona watu wa kawaida tu, vimisemo vya ajabu ajabu vya kutukuza umasikini unafyeka.
True, hata hapo South Afrika, ukienda hata wiki utarudi tofauti, kwa wenzetu mifumo ikafsnya kazi, hata ukifungua duka, uta make tu!
 
Kila la kheri, bora tu wakirejea warejee na exposure kweri kweri na si ya USHOGA na SEMBE. Sema Aaamin!
 
Maamuzi haya nimeyafanya baada ya kuona watu wengi wanaokwenda nchi hizo wanarudi wakiwa tofauti kwenye mtazamo wa maisha, uthubutu, connections, n.k. wengi wakirudi bongo huwa nawafananisha na mwanachuo anaerudi darasa la saba, success rate ipo juu.

Why Ulaya au Marekani ?

Ni makutano ya watu wengi kutoka nchi nyingi duniani, utawakuta wakenya, wahindi, waarabu, wazungu, wabrazili, n.k. si hivyo tu watu wengi wanaoenda huku makwao wana pesa na connections zilizowafikisha maana vyuo ni gharama na kupata visa si shughuli ndogo, kumpeleka mtoto asome nchi za Africa kuna exposure ndogo maana vitu na watu wengi hufanana, pia kumpeleka nchi za India, Uarabuni, Amerika ya kusini, n.k. huko kuna ubaguzi wa hali ya juu sana sambamba na udini.

Kusoma nje hutengeneza mitandao ya kimataifa, kwa kuishi hapa TZ utaishia kutengeneza network za mikoani, kujuana na mtu wa Mbeya, Arusha, Lindi, Kagera, Dsm, n.k. kiufupi utaishia kujuana na watanzania tu, networks hizi ni muhimu.

Kusoma nje unatengeneza network za kimataifa zinazoweza kuwa msaada hasa kwenye fursa, mtu una classmmate wako wahindi, waarabu, wazungu, n.k. mliesoma chuo kimoja, ni rahisi kupata mawazo ya kibashara hata zile biashara mpya ambazo hazipo bongo, unaweza kwenda kumtembelea mwenzako huko kwao akakuonesha vitu A - Z wewe unaanzisha TZ,

Exposure inapunguza kuridhika, ukiwa Tz na circle ya wabongo unaweza kuridhika ukipata kazi raasisi kubwa kama Bandarini, Tanapa, nssf, n.k. unaenda kukutana na wenzako wa nchi nyingine kwao wana biashara zinazoingiza pesa ndefu sana, hakuna mtu anayependa kuwa nyuma kwenye circle, ndio maana watanzania wengi waliosoma hizi nchi wakirudi hapa TZ wanafanya biashara na wamefanikiwa, ndilo kundi linaloongoza kwa kuacha ajira kufanya biashara zao.

Exposure inabadili mtazamo wa maisha, kwetu hapa bongo tangu tukiwa wadogo mitazamo yetu ya maisha ipo influenced na jamii, tumekaririshwa kuzipenda ajira, tumekaririshwa kuwanyenyekea wazungu, tumekaririshwa misemo ya ajabu ajabu, n.k. ukienda kwenye nchi mnazokutana watu wa mataifa mbali mbali, mtazamo wako wa maisha unabadilika fir the better, unagpata confidence ya kuwa na mawazo ya kujipata nje ya ajira, wazungu utawaona watu wa kawaida tu, vimisemo vya ajabu ajabu vya kutukuza umasikini unafyeka.
Kuna mambo huyajui, na unavyoonekana utayajua umechelewa sana.

Huu ujinga alikuwa nao AY mara kaoa mke Mnywaranda, akaenda kuzalia Marekani, mara tukaambiwa amenunua nyumba Marekani.

Mara kawa CHAWA😂😂
 
Ila angalia wasiwe mashoga au mateja wengi wamelia bila usimamizi wamepata hasara badala ya faida.
Labda uwe na mbinu za kuzuia hayo mambo mawili sumu kwa mtoto.
Hao mashoga wa Tz walienda ulaya ?

Mashoga wamezalishwa na baadhi ya wanaume waliokosa utu, juu ya wanaume wenzao na sio kusingizia ulaya, wala mzungu, wala teknolojia

Huko seminarini watoto wanafanywa kama chapati wameenda ulaya ?
 
Back
Top Bottom