Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
mpende sana usiwajali hao viruka njia wewe ndo mmiliki wa kampuni hakikisha inasonga mbele
We mdanganye mwenzio tu. Afu kwenye rambirambi tusikuone ndo utanitambua.
mpende sana usiwajali hao viruka njia wewe ndo mmiliki wa kampuni hakikisha inasonga mbele
sasa atajuaje kama unampenda kama humuoneshi kama unampenda?Yeye hajui kama nampenda il mim najua pamoja na kunitenda mm ndiyo roho yake
Upumbavu wa mwanaume ni ule ambao akifanya ngono na mke wake anapiga kavukavu, akitoka mchepiko anapiga na condom. Huu sii upumbavu.
Nacho amini, mume wa mtu ni nadra sana kutumia condom kwa mechi za njee. Sababu mazoea ujenga tabia
Sio tajiri ila anajua......
Dada maneno yamenigusa sana. Huwezi kujua jinsi haya maneno yako yatavyowanufaisha wanawake wengine. Mimi binafsi nimetakafari sana uliyosema. Mwisho wake nimesema sasa basi. Narudi katika mstari. Imetosha mambo ya kumuumiza mke wangu. Mungu akubariki sana.
sasa atajuaje kama unampenda kama humuoneshi kama unampenda?
We mdanganye mwenzio tu. Afu kwenye rambirambi tusikuone ndo utanitambua.
kwa nini uendelee kuwa naye?Habari za masiku mengi
Naamini mko wazima tunaendelea salama na ujenzi wa Taifa
Kama nilivyowahi kuandika mikasa yangu hapa pamoja na mume wangu kunitenda sana pamoja na kunisaliti sana pamoja na mabaya yake yote ukweli ni kuwa nafurahia kuwa nae,nafurahia kuwa baba wa mtoto wangu,najivunia kumfahamu,sikati tamaa,sirudi nyuma,simuachi huyu ndiye Mume Mungu aliyenipa!
Hiyo para ya pili sikubaliani nayo kabisaaa....maisha matamu asikwambie mtu. Labda kwa ma-amacha!!
Hebu funguka dadaangu naona kuna mengi yanakusibu,Raha ya mapenzi ni kupendana na kuoneshana upendo(hii process inatakiwa iwe "giving and getting"),sasa wewe unaposema unampenda na hajui inanisikitisha kwasababu ni kama upo kwenye "LOVE BUBBLE" pekee yako...au ndio "UNCONDITIONAL LOVE"?Alikufanya nini kukutenda kiasi cha kwamba haamini kama unampenda?Haamin kama nampenda coz ya mambo aliyowahi kunifanyia lakn namfanya ni msiri wangu,ni rafiki yangu!
kwa nini uendelee kuwa naye?
umezeeka au figa mbaya?????
Sema tu huna ujanja ushatumika na huna pakukimbilia.Ungekuwa manzi mkali ungeshampiga chini huyo f.a.la limbukeni wa mapenzi.Ila hapo mmekutana vimeo.Aya twende kazi.
Hebu funguka dadaangu naona kuna mengi yanakusibu,Raha ya mapenzi ni kupendana na kuoneshana upendo(hii process inatakiwa iwe "giving and getting"),sasa wewe unaposema unampenda na hajui inanisikitisha kwasababu ni kama upo kwenye "LOVE BUBBLE" pekee yako...au ndio "UNCONDITIONAL LOVE"?Alikufanya nini kukutenda kiasi cha kwamba haamini kama unampenda?
Hakika hapa twende kazi. Watu wengine wamejaaliwa roho nzuri tu ukiwaona huwezi kuamini ko usiwe mwepesi kuhukumu
Mahaba niue
ukisema wa nini mwenzako anasema nitampata lini...mama shika chako usiachie. hongera