kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Kuna siku nimekuta condom kwa nguo yake nilisafiri naamin anajilinda
Condom ni kwa sababu, kuna wanawake wengine wanao jitambuwa awatoi maku bila wewe kuwa na Condom. Na mara nyingi inakuwa katika penzi la kwanza, la pili na la tatu. La nne condom tupa kule.