Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,771
- 167,978
Hamna nimeuliza tuHahahaaaa unahisi anampenda sana kwa sababu ya pesaaa??? Haya atueleze
Hamna nimeuliza tuHahahaaaa unahisi anampenda sana kwa sababu ya pesaaa??? Haya atueleze
Am so happy dats y
Hilo nalo neno.akikuletea maradhi pia uje kutuhabarisha ehhh sawa...
Yamkini wakati wa kufunga ndoa uliapa "kumpenda ktk raha,shida na ktk uchepukaji wake!"
vigezo umeviweka mwenyewe......mie nimehitimisha tu kwa ku-summarizeUmetumia vigezo gan kutambua hilo
Mungu aendelee kukupa moyo huo wa uvumilivu. Maana bado una umri mdogo pia inaonyesha bando ndoa yako haina muda mrefu (changa) Hakuna anayeingia kwenye ndoa ili aachike baada ya muda si mrefu ila ni Makwazo tena mengine hayavumiliki kabisa.
Mimi ni mrembo sana tena bint mdogo,ndiyo nafikisha miaka 25 nimekuwa nasumbuliwa na wanaume wengi wenye sifa zote lakn leo mpaka kesho pamoja na mapungu ya mume wangu sijaona wa kumfananisha nae
Nimeshika sitetereki,siyumbishwi,nimesima imara!
Ndoa ni msamiati,,
Swali la kikuda hili
Aliekuoa ni accountancy wa bank au? He he he he
umechelewa kudelete nshaziquote sorry
Cjakusoma mkuu
Mtu akikupenda kweli huwa anakuheshimu! Sasa ukiona mpk unajua tabia zake chafu na amezionyesha kwako jiulize kweli anakupenda au ameamua akuweke mlinzi wa nyumba yake na ya status yake.
hapo na mimi nilikuwa najiuliza, anasema pamoja na mabaya yote lakini anajua anapendwa, sasa kupendwa na kufanyiwa mabaya sijui kunaingiliana vipi?
nadhani kwake kupendwa ni kule kutimiziwa mahitaji muhimu, amesema kila akitakacho mumewe anampa, fuatilia post zake za nyuma utaona