Pamoja na yote nampenda mume wangu

Pamoja na yote nampenda mume wangu

Shika Mama, akigeuka upande wa kulia shikilia, akigeuka kushoto shikilia. Mpaka kieleweke, akikuletea kaswende powa tu, gono powa tu. Ukimwi siku hizi auuwi kama ajali za barabarari. Mapenzi ya kweli ni sawa sawa na mtu aliye muweka nyuki kiganjani kisha akamkumbatia.

Hajawahi niletea gono mimi naamini anajilinda
 
Sasa atahakikishaje kuwa condom zinatumika? Au awe anaenda nae, akishamvalisha anatoka nje. Anasubiria wakitaka round two anaenda tena kumvalisha ndo atoke?
. Chondechonde usisahau kumnunulia condom na uhakikishe anazitumia.
 
Hajawahi niletea gono mimi naamini anajilinda

Upumbavu wa mwanaume ni ule ambao akifanya ngono na mke wake anapiga kavukavu, akitoka mchepiko anapiga na condom. Huu sii upumbavu.

Nacho amini, mume wa mtu ni nadra sana kutumia condom kwa mechi za njee. Sababu mazoea ujenga tabia
 
Ndiyo ipo hivyo ananijali ananipa kila nnachohitaji atazunguka mwisho anakuja i love u mke wangu"wacha maisha yaendeleeeeee

Kama ulikuwa unajua hivyo ilikuwaje ukaja tena hapa kulialia. Mwache mzee apate mautundu kwa watoto wa mujini. Usisahau kumpa kila atakacho kama apewavyo na vichenchede vya town.
 
Sasa atahakikishaje kuwa condom zinatumika? Au awe anaenda nae, akishamvalisha anatoka nje. Anasubiria wakitaka round two anaenda tena kumvalisha ndo atoke?
King'asti daah!
 
Last edited by a moderator:
Upumbavu wa mwanaume ni ule ambao akifanya ngono na mke wake anapiga kavukavu, akitoka mchepiko anapiga na condom. Huu sii upumbavu.

Nacho amini, mume wa mtu ni nadra sana kutumia condom kwa mechi za njee. Sababu mazoea ujenga tabia

Kuna siku nimekuta condom kwa nguo yake nilisafiri naamin anajilinda
 
Sasa atahakikishaje kuwa condom zinatumika? Au awe anaenda nae, akishamvalisha anatoka nje. Anasubiria wakitaka round two anaenda tena kumvalisha ndo atoke?

Ewaaa au kama vipi awe analeta video za matukio mama ajiridhishe. Liwalo na liwe.
 
Kuna siku nimekuta condom kwa nguo yake nilisafiri naamin anajilinda

Na wewe usisahau kujilinda unaposafiri. Ila kiukweli mmeo atakuwa bweg.e sana au wewe utakuwa zuzu kupindukia. Yani anakuja na uthibitisho mpk home
 
tobaaa....kiumbe yoyote akishajua anapendwa sana anakupanda kichwani...unakubaliana na hilo?

Nakubaliana na hilo, binafris nilikwisha wahi mnyanyasa mwanamke tena ni mke wa mtu baada ya kufahamu ananipenda to maximum.
 
Back
Top Bottom