Pamoja na yote nampenda mume wangu

Pamoja na yote nampenda mume wangu

Hehehe si ndo uhakiki sasa!
afu na wewe ulipotelea wapi?

nipo aisee, mishemishe tu za maisha zinanibana, siku hizi kwa kiasi kikubwa nimekuwa msomaji tu, ila nakuonaga unavyojimwaga
 
I beg to differ, he's manipulative, control freak and selfish, your low self esteem and lack of confidence is what makes u stay. You deserve better than this moron
 
Utakua wewe u-muumini wa serikali mbili........hahahahaaaahahaaaaaaa
 
mmmh, haya bwana , Mungu wa Musa ndo atakusaidia ,hata hayo maradhi wengine tunayoyaogopa atakukwepesha nayo, zidisha imani , na mapenzi kwa mumeo, nakutamanije
 
mmmh, haya bwana , Mungu wa Musa ndo atakusaidia ,hata hayo maradhi wengine tunayoyaogopa atakukwepesha nayo, zidisha imani , na mapenzi kwa mumeo, nakutamanije

Namwamini sana Mungu, na nina furaha isiyoelezeka Alwayz namuona Mungu ni Mwemakwangu!
 
Mimi ni mrembo sana tena bint mdogo,ndiyo nafikisha miaka 25 nimekuwa nasumbuliwa na wanaume wengi wenye sifa zote lakn leo mpaka kesho pamoja na mapungu ya mume wangu sijaona wa kumfananisha nae

Mungu aendelee kukupa moyo huo wa uvumilivu. Maana bado una umri mdogo pia inaonyesha bando ndoa yako haina muda mrefu (changa) Hakuna anayeingia kwenye ndoa ili aachike baada ya muda si mrefu ila ni Makwazo tena mengine hayavumiliki kabisa.
 
Mm nakupongeza bora uvumilie huku ukitafuta njia za kumrekebisha krb wanaume wote wanamichepuko huyo malaika utamtoa wapi kama anakiheshimu na kukupenda sogeza cku tu
 
Mimi ni mrembo sana tena bint mdogo,ndiyo nafikisha miaka 25 nimekuwa nasumbuliwa na wanaume wengi wenye sifa zote lakn leo mpaka kesho pamoja na mapungu ya mume wangu sijaona wa kumfananisha nae

nimependa unavyojikubali, big up mwaya!
 
Hongera dada,mungu akuzidishie moyo kama huo,pia ambadilishe mumeo aendane naww amin
 
Back
Top Bottom