- Thread starter
- #121
usitukane mamba angali hujavuka mtoMahitaji muhimu ndo yepi hayo hebu nijuzeni. Ni kununuliwa gari? Kununuliwa nguo na makorokoro mengine? Nijuavyo mimi hakuna hitaji muhimu baina ya wanandoa km uaminifu,heshima na kujali. Unapofanya ujinga inafika kipindi hadi unaleta kondom nyumbani kwa mkeo ndo mapenzi hayoo??? Kama ndoa ndo inataka uvumilivu wa hivi mmmh!! Huko kaeni wenyewe mnaoweza kuvumilia ubaradhuli wa namna hii.