Wakuu habari za siku nyingi,
Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu.
Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k,
Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile bia au soda, wakati anafungua chupa hakuna namna yoyote ya kufungua bia au soda bila kuishika ile chupa mdomon.
Akimaliza kufungua unachukua chupa ya soda aliyofungua unaweka mdomon unapata kinywaji. Badae unavaa barakoa na kuondoka.
Sasa basi yule muhudum aliyefungua soda, muda wote anashika shika zile meza ambazo wateja wamekalia tofauti.
Pia huyo muhudum anashika hela ambazo zimetoka kwa watu tofauti n.k, na wakati huo, anapofungua chupa hazioshi kabla n.k
Nanahisi japo si kwa utafiti, kwamba Kama atakufungulia wakati huo huo yeye amepata wadudu sehem, Kuna uwezekano mkubwa wadudu akawaacha apo kwenye ile chupa unayotumbukiza mdomon.
Napendekeza Kama hauna sababu kubwa Sana ya kunywa soda mtaani au bar nywea nyumban kwako maana chupa zitaoshwa n.k
Au basi ukiamua kunywa soda mtaani usikubali kufunguliwa na muhudum unaye muona yuko bize na watu Sana, au Kama atakufungulia basi tumia mrija kupata kinywaji.
Ni mawazo yangu tu si utafiti.