Leo umeongea kitu ambacho watu wenu walibisha kuwa ukosefu wa mvua siyo tatizo.Kwamba zitanyesha kwa ajili ya bwawa hilo na ratiba ya kulijaza maji ikatolewa,wakati wa upigaji huwa hawaoni,hawasikii wala kufikiria athari zinazoweza kutokea baadaye.Mvua zenyewe zi wapi?
Ubishi ni fani yao ili wale 10% zao kiulaini;Vya Mlevi huliwa na Mgema?
Tanganyika raha sana.