Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

One man down…..
I REPEAT
One man down…..
Eagle one…do u copy

Mkuu itafute hii movie bonge moja la picha hapa mrusi alicheza bana….
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuhimili maumivu ya wanawake jitahidi uwe unapiga bila kurudia, uwe nao wengi hata 30, lakini tumia condoms kila mara, kila tendo, changanya na Malaya umo umo, wake za watu kusudi ukitoka kupiga jamaa mwingine akichukuwa uone kitu cha kawaida, yale ni mashimo tu regardless mke wako, nyumba ndogo, girlfriend , Malaya mashimo ni yale yale tu tofauti yake ni usafi , unene, udogo, ndefu, pana, umbo la mwili lakini mwisho wa siku ni kukojoa tu. Hivyo ukiwa nao wengi uwezi kuwa na wivu tena wa hayo mashimo. Pia chukuwa mizigo ya maana wale Malaya wazuri wazuri kuzidi mke wako mwonekano, wawe wengi hapo hata mkeo au girlfriend wako akileta shobo utamwona kituko tu huwezi kuumia sana sana utasema moyoni aondoke haraka kwenye himaya yako. Wapo Malaya wazuri mpaka unajiuluza kakosa nini huyu binti. Ukimwona mtaani mchana unatamani kupeleka posa kumbe Malaya. Hivyo ukipitia mazingira hayo mwanamke yeyote hapa duniani hawezi kukukosesha usingizi utamwona ni wale wale uliyopitia hana jipya.kwa hiyo jitahidi uwe nao wengi sana. Kila ukihitaji unapiga simu anakuja unakuwa na selection kubwa kwa wakati wowote. Siyo kamoja kanakupa pressure na kukosa usingizi na kuja kulalamika uku janvini.
[emoji457][emoji457][emoji375] role model [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Binafsi kwa Mwanamke huwa Nina struggle na ku- feel pain pale inapotokea Nika mkosea then akaamua ku- move on na hii ni Kama Nina mpenda Sana , Huwa na feel guilty sana , Hapo huwa naweza kupambana kurejesha penzi ,

Ila sio itokee Mwanamke aniletee drama zake za Ajabu zinazo ashiria mahusiano yaani kwanza nikishaziona hizo elements tu huwa sisubiri tufike pabaya , Huwa Nina kimbia mbio nyingi Sana kwaajili ya kuepuka fedheha na kudhalilishana
 
bro mbona yashanikuta tena mazito kushinda ya huyu mleta uzi
Kwa kweli saiv sihangaiki na hawa viumbe staki kukumbuka nilikonda sana nikipita kitaa nihisi kila mtu ananisema lakini jf ikawa msaada mkubwa kwangu.
[emoji16][emoji16]
 
Kwanza kabisa acha upopoma.

Wewe umeoa na una maisha yako mazuri tu, yeye hajaolewa ni mchepuko tu na wala huna mpango wa kumuoa!! .

Unadhani yeye ataishi maisha hayo ya kufichwa kama chup mpaka lini?? Je ulitaka asiolewe?? Asiwe na mtu zaidi yako wakati wewe una mtu zaidi yake!!?

Ulikosea toka mwanzo na inakubidi ukubali hilo, huyo si mkeo ungeacha aishi maisha yake, ungemsaidia tu lakini si kwa kutegemea kupata fadhira toka kwake.

Ukifanya ujinga huyo mwanamke atakuharibia ndoa yako na heshima yako mtaani itaahuka saana.
Hii ndio comment sasa
 
Wakuu habarini za usiku, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira duni sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida.

Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinkers
Pole sana mkuu, lakin hujatuuambia ulikuwa na mpango gan na huyo mchepuko? Yaan ulikuwq na mpango wa kumega tu miaka yote hyo had mmoja wenu atoke hapa duniani au ulikuwa na mpango mwingine? Maana sioni sababu ya kumkasirikia hvyo mtu unaemuita mchepuko sababu mara nyingi michepuko haijabeba hatma ya maisha yetu kwahvyo sioni sababu ya kupanick hvyo achana nae aende kama ulimsaidia basi imepita utapata vingine
 
Nikusaidie tu kidogo. Mwanamke kama hakupendi hakupendi tu. Hata ungempa mamilioni atakuonyesha tabasamu usoni lakini yeye ana mtu wake anayemuwaza.

Nakumbuka jamaa yetu alikufa kifo kibaya sana pale mlimani City, alikua na kimada akakifungulia tigo pesa sasa kumbe kuna bodaboda ndio anapendwa na mwanamke yule, Jamaa akajua ile ishu ikabidi ampige mkwala binti siku akiwakuta atamfumua ubongo binti na boda boda wake.

Sasa kumbe jamaa alimpangishia hadi nyumba yule binti lakini akitoka tu boda anakuja kulala.

Siku moja jamaa anaosha gari pale mlimani City akaona ngoja nitembee tu kwa mguu nikamwone bibie, aisee alichokikuta alipofika pale kwenye banda la Tigo pesa hakuamini. Kamkuta boda boda anakula mate alafu ndio kakaa kwa ndani bibie Kamkalia juu.

Mshikaji akapanic ile kuuliza tu yule binti na boda wakamwitia mwizi huwez amini jamaa alikufa kwa kipigo na bastola yake kiunoni.

Bahati nzuri kabla hajachomwa moto mzee mwenye nyumba alipotoka ndani ndio akawaambia watu huyu sio mwizi ila ndio aliyempangishia huyu binti hapa kwangu.

Ilikua ni kifo kibaya sana maana hata mkewe hakuamini kama mumewe kafa kizembe namna ile.

RIP Jimmy. [emoji120]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24]
 
Wakuu habarini za usiku, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira duni sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida.

Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinkers
una umri gani?
 
Yaani mkuu una mawazo duni sana,yaani uipondeponde simu uliyomnunulia kisa unataka kumuacha?,je na yeye akidai umrudishie utamu wake aliokua anakupa kwa miaka hiyo miliwi utaweza?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Basi acha kuninukuu popote pale, maana maandishi yako yananipa kinyaa
Sawa, ila nawe logic zako huwa na dosari, huwezi ku quote uongo kwenye thread za watu halafu uachwe. Jiulize kwa nini wewe tu? Hebu quote vitu sahihi uone kama kuna mtu atakusumbua.

Halafu hii mada ingeisha mapema mno, ila unaifanya kuwa ndefu. Mimi nilishasahau ila naona unani quote.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo umeanza kuninukuu,, siwezi kuacha kutoa maoni kwa utashi wangu kisa wewe,, mtu akikwambia usininukuu maana yake hakutaki, jitambue alaaa
 
Sasa kwani mimi nimekuomba unitake? Ila unapo quote dosari katika threads ni ngumu kuvumilia kuona watu wanapotoshwa. Kubali usahihishwe, anyway umeeleweka. But kwenye thread zangu uki quote wrongly ni lazima usahihishwe.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwani mimi nimekuomba unitake? Ila unapo quote dosari katika threads ni ngumu kuvumilia kuona watu wanapotoshwa. Kubali usahihishwe, anyway umeeleweka. But kwenye thread zangu uki quote wrongly ni lazima usahihishwe.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Acha ufala basi au Kila thread Ni yako?? Usininukuu popote, koma kuniquote mwandiko wako unanipa kichefchef
 
Back
Top Bottom