Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

Kuhimili maumivu ya wanawake jitahidi uwe unapiga bila kurudia, uwe nao wengi hata 30, lakini tumia condoms kila mara, kila tendo, changanya na Malaya umo umo, wake za watu kusudi ukitoka kupiga jamaa mwingine akichukuwa uone kitu cha kawaida, yale ni mashimo tu regardless mke wako, nyumba ndogo, girlfriend , Malaya mashimo ni yale yale tu tofauti yake ni usafi , unene, udogo, ndefu, pana, umbo la mwili lakini mwisho wa siku ni kukojoa tu. Hivyo ukiwa nao wengi uwezi kuwa na wivu tena wa hayo mashimo.
Hii mbinu ilinisiadia enzi za ujana na umakamo wangu huu, wanawake wenyewe ndio wanakuwa wanakutafuta yaani huna habari nao muda wote wao ndio wanaloa chupi.

Haya mambo muda mwingine ni kuwa alwatan mfano sio kila simu ya mwanamke lazima upokee muda huo huo, akikupigia potezea mtafute hata baada ya masaa sita akileta memee nyingi unamwambia nilikuwa busy mwenyewe utaona anakuwa mtumwa kwako.

Hawa wanawake wasikuchoshe, cheza na akili zao unakuwa umewamaliza.
 
Mbona unakua kama sio mwanaume, kisa kakuacha ndio umbondee simu yake, hata kama ulinunua wewe sio poa, watu wanahonga hadi majumba, magari sembuse wewe.

Mwanamke una muadhibu kisaikolojia tu, hata kama n mchepuko tafuta mwingine mkali zaidi yake fanya juu chini hadi amjue wakati huo wewe mpotezee, usimfanyie ubaya wowote trust me siku moja ataweweseka na ata miss care zako n time yako pia ngoja kwanza hao wanamsumbua wam dump
 
Nikusaidie tu kidogo. Mwanamke kama hakupendi hakupendi tu. Hata ungempa mamilioni atakuonyesha tabasamu usoni lakini yeye ana mtu wake anayemuwaza.

Nakumbuka jamaa yetu alikufa kifo kibaya sana pale mlimani City, alikua na kimada akakifungulia tigo pesa sasa kumbe kuna bodaboda ndio anapendwa na mwanamke yule, Jamaa akajua ile ishu ikabidi ampige mkwala binti siku akiwakuta atamfumua ubongo binti na boda boda wake.

Sasa kumbe jamaa alimpangishia hadi nyumba yule binti lakini akitoka tu boda anakuja kulala.

Siku moja jamaa anaosha gari pale mlimani City akaona ngoja nitembee tu kwa mguu nikamwone bibie, aisee alichokikuta alipofika pale kwenye banda la Tigo pesa hakuamini. Kamkuta boda boda anakula mate alafu ndio kakaa kwa ndani bibie Kamkalia juu.

Mshikaji akapanic ile kuuliza tu yule binti na boda wakamwitia mwizi huwez amini jamaa alikufa kwa kipigo na bastola yake kiunoni.

Bahati nzuri kabla hajachomwa moto mzee mwenye nyumba alipotoka ndani ndio akawaambia watu huyu sio mwizi ila ndio aliyempangishia huyu binti hapa kwangu.

Ilikua ni kifo kibaya sana maana hata mkewe hakuamini kama mumewe kafa kizembe namna ile.

RIP Jimmy. [emoji120]
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Muache aende.we rudi tulia na mke wako ulee familia yako.vivo vitu ulivyomtafutia havitampeleka mbali kama hana akili ya maisha.unaweza kumuua ama kumdhuru kwa hasira.futa kila kitu.block kila mahali umsahau.

KITHAMINI CHA NDANI HAWARA HANA SHUKRANI!
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,

Punguza hasira, hesabu kama hasara alafu muache aende kwa amani. Siyo mkeo na huna mpango wa kumuoa, hayo yote uliyomfanyia alikulipa kwa kukutunuku mbususu kipindi chote hicho.

Usiangalie tu pesa, angalia upande wako pia, pamoja na umasikini wake huo, bado uliona umuhimu wa kuwa naye ukimkojolea miaka hiyo yote.

Ukileta mikasa kwa huyo dada, nakuahidi kuna namna itakurudia. Kumbuka mkeo haina taarifa kwamba unachakata ngozi nje, na huyo dada mpaka hapo amekutunzia heshima hajataka kukufanyia uhuni familia yako itambue uwepo wake katika maisha yako, jambo ambalo naamini huliombei.

Inawezekana dada yupo tayari kuwa mke wa pili lakini wewe huna mpango wa maisha naye, watu wengi hususani wadada inafika umri anatamani kuwa na familia inayotambulika, nadhani dada anakupiga chini apate nafasi ya kuanzisha familia yake. Kama angetaka kuendelea kudanga naamini bado ungekbaki kwenye ulingo.

Muache dada aende, usiwe mbinafsi. Familia yako inaendelea yeye unampoteza mazima.

Kina dada wana biological clock. Muache tena kwa amani nakusihi.
 
Wewe kila siku ninapowafundisha watu humu jinsi ya kudeal na hao viumbe huudhurii kikao. Ona sasa kakuacha kiulaini.
Ok. Wewe usimpigie simu, usimwandikie sms, usi view status zake Whatsapp Wala fb.
Akikuandikia sms usijibu, akipiga usipokee.Fanya hivyo milele, kisha hesabu miaka 2 utakuja hapa kushuhudia.
FB_IMG_16434454208593623.jpg
 
Story yako inaelekea kufanana na yangu bro me nilichokifanya baada ya kuona ninamcare mtu kwa kila hali afu hayuko interested afu mambo mengi ,alijificha kwenye mwavuli wa ulokole (makanisani kuna mambo jamani).

Me nilichokifanya sikumyan’ganya chochote nilichomnunulia kuanzia simu ,nguo,viatu kodi ya pango n.k ila nilimwambia tu tuachane for good afu nikablock na hakuamini mpaka leo na moyoni inamtesa maana kwa sasa hayuko vizuri kimaisha ukilinganisha na kipindi yupo na mimi .

Hawa michepuko bro ukiamua kuwekeza wekeza ukiamua kumuacha acha na usijutie kwa chochote ,toka afu tafuta mwingine wekeza chakata mbususu maisha yaendelee

Wanaume wenye MICHEPUKO Nawasalimu kwa jina la Kuchakata MBUSUSU.....na wote tujibu Michepuko iendelee tusisahau wake zetu.....
 
Ni miaka kumi imepita toka nuwajue wanawake na vimbwanga vyao

Sijawah invest moyo na roho kwao toka nipate maumivu kwa mtu niliyemuamini Sana

Nina furaha ya moyo nachakata mbususu bila kuwaza nahakikisha upendo natoa 2% TU kwa mwanamke na 98% kwa watoto na ndugu

Usiumie kijana mwenzangu hao viumbe ndio walivyo wao akil zao hawawawazi kesho rahis kudanganywa

Piga moyo konde Anza upya HAKIKISHA unatoa 2% TU ya mapenz kwa huyo mwingne mpya utakaye mpata

MBUSUSU TAMU JAMAN LAKN ONYO USIWEKEZE ROHO NA NAFSI KWENYE KUCHAKATA MBUSUSU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Code za kumfanya mwanaume asiumizwe na mwanamke.
--Usimpe moyo wako wote mwanamke,,hata Kama umekuta bikira.
-- usijilambe ulimi wako wakati wa Kula mbususu.
--Usimweleze udhaifu wako.
--usimweleze mwanamke mipango yako yote ya maisha.
--Mpuuze mwanamke ,,akikupigia sm au SMS usijibu kwa wakati.
--Mfanye kama atakuacha kesho,,
--usiweke [emoji817] ndy mwanamke wako milele..
 
Nikusaidie tu kidogo. Mwanamke kama hakupendi hakupendi tu. Hata ungempa mamilioni atakuonyesha tabasamu usoni lakini yeye ana mtu wake anayemuwaza.

Nakumbuka jamaa yetu alikufa kifo kibaya sana pale mlimani City, alikua na kimada akakifungulia tigo pesa sasa kumbe kuna bodaboda ndio anapendwa na mwanamke yule, Jamaa akajua ile ishu ikabidi ampige mkwala binti siku akiwakuta atamfumua ubongo binti na boda boda wake.

Sasa kumbe jamaa alimpangishia hadi nyumba yule binti lakini akitoka tu boda anakuja kulala.

Siku moja jamaa anaosha gari pale mlimani City akaona ngoja nitembee tu kwa mguu nikamwone bibie, aisee alichokikuta alipofika pale kwenye banda la Tigo pesa hakuamini. Kamkuta boda boda anakula mate alafu ndio kakaa kwa ndani bibie Kamkalia juu.

Mshikaji akapanic ile kuuliza tu yule binti na boda wakamwitia mwizi huwez amini jamaa alikufa kwa kipigo na bastola yake kiunoni.

Bahati nzuri kabla hajachomwa moto mzee mwenye nyumba alipotoka ndani ndio akawaambia watu huyu sio mwizi ila ndio aliyempangishia huyu binti hapa kwangu.

Ilikua ni kifo kibaya sana maana hata mkewe hakuamini kama mumewe kafa kizembe namna ile.

RIP Jimmy. [emoji120]
Kama umemkwamua mwanamke kiuchumi na bado ana mabwana wengine basi ni kuwa hakupendi au ana matatizo ya akili.
 
Mwanamke na huyu bodaboda wake wakaishia wapi?
 
Back
Top Bottom