Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

mapololo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
360
628
Wakuu habarini za usiku, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira duni sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida.

Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinkers
 
Pole jamani....sasa ukivunja simu anakuwa ameshika adabu gani?

Utazidi kuumia mwenyewe kwa kuwa huyo hakupendi na hajali maumivu yako.

La muhimu kesho wahi kanisani ukatoe na sadaka ya shukrani ya kuondokana na huyo kiumbe.

Achana nae, kisasi kizuri ni kuendelea na maisha yako bila kumfuatilia yeye.

Hayo maumivu ni ya muda tu yataisha. Kunywa maji ulale.
 
Kama una hasira usiende kuonana naye. Unaweza ukaenda kufanya jambo la kijinga ukaishia gerezani bure. Najua ni vigumu sana ila jaribu kujikaza. Mambo yote mema uliyomtendea hesabu ni kama sadaka tu umetoa japo kama ulikuwa unapata mbususu basi mpo nusu kwa nusu. Songa mbele na maisha yataendelea tu.

Na liwe fundisho kwako. Hawa viumbe ALWAYS ishi nao kwa akili. Ila huyu atakuwa alishakudharau tangu zamani na alikuwa anakuona boya tu. Mwanamke ushamkamata mara mbili anacheat unamsamehe? Bila shaka alikuwa ameshajua kuwa huna uwezo wa kumuacha na mpaka sasa anaamini hivyo.

Na hata hiyo kesho mkienda kuonana utaishia kupewa mbususu mtarudiana na mambo yatakuwa yale yale. Yaani utakuwa unaanzisha nyuzi humu za kuomba ushauri mpaka tutakuchoka!

Mwache aende kama unaweza. Kama huwezi basi endelea kuishi matesoni ila it is not worth it....
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo,
Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake,
Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia
Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe ,
Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau,
Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Kuhimili maumivu ya wanawake jitahidi uwe unapiga bila kurudia, uwe nao wengi hata 30, lakini tumia condoms kila mara, kila tendo, changanya na Malaya umo umo, wake za watu kusudi ukitoka kupiga jamaa mwingine akichukuwa uone kitu cha kawaida, yale ni mashimo tu regardless mke wako, nyumba ndogo, girlfriend , Malaya mashimo ni yale yale tu tofauti yake ni usafi , unene, udogo, ndefu, pana, umbo la mwili lakini mwisho wa siku ni kukojoa tu.

Hivyo ukiwa nao wengi uwezi kuwa na wivu tena wa hayo mashimo. Pia chukuwa mizigo ya maana wale Malaya wazuri wazuri kuzidi mke wako mwonekano, wawe wengi hapo hata mkeo au girlfriend wako akileta shobo utamwona kituko tu huwezi kuumia sana sana utasema moyoni aondoke haraka kwenye himaya yako. Wapo Malaya wazuri mpaka unajiuluza kakosa nini huyu binti.

Ukimwona mtaani mchana unatamani kupeleka posa kumbe Malaya. Hivyo ukipitia mazingira hayo mwanamke yeyote hapa duniani hawezi kukukosesha usingizi utamwona ni wale wale uliyopitia hana jipya.kwa hiyo jitahidi uwe nao wengi sana. Kila ukihitaji unapiga simu anakuja unakuwa na selection kubwa kwa wakati wowote. Siyo kamoja kanakupa pressure na kukosa usingizi na kuja kulalamika uku janvini.
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo,
Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake,
Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia
Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe ,
Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau,
Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Kwanzaa hata kama ukiumia yeye hadhuliki chochote

Hata ukimuombea mabaya hayatomkuta

Ukitaka awe na huzuni atazidi kufurahi

Jukumu la kuendelea kuumia au kufurahi ni la kwako bro

Mwanamke usimuonee huruma kuna uzi flani hivi uliletwa humu nikauelwa sana

Tafuta demu mwingine uingie kwa uzoefu ulioupata kwa huo aliyekuacha ule mbususu

Huyo akioshiwa pesa atakutafuta

Mlishaambiwa wanawake hawasomeshwi wala hawafunguliwi biashara
 
Hauko experienced when it comes to women poleeeeee, mwanaume shababi um cheat mara mbili?! Thubutuuuu mbona utaletewa wanawake dozi mara tatu kwa siku, asubuhi mwanamke, mchana mwanamke mwingine, usiku mwingine, Inaelekea uko gentle na hujazoea kuruka ruka mwaya sali sana Mungu akupe wa kufanana na wewe, hio migube gube wacha yale mafisi yahangaike nayo
 
Back
Top Bottom