Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

Ushauri mrua sana huu!

IMG-20220131-WA0062.jpg

Huo ndiyo uwanaume siyo kulia lia, ukiwa nao wengi hawakupi shida, akiondoka Tena unamupa good bye na kumukaribisha chakula au matunda kama huyo mwamba
Lakini kuwa na kamoja harafu kafupi utakufa na pressure bure.

IMG-20220131-WA0022.jpg
 
Story yako inaelekea kufanana na yangu bro me nilichokifanya baada ya kuona ninamcare mtu kwa kila hali afu hayuko interested afu mambo mengi ,alijificha kwenye mwavuli wa ulokole (makanisani kuna mambo jamani).

Me nilichokifanya sikumyan’ganya chochote nilichomnunulia kuanzia simu ,nguo,viatu kodi ya pango n.k ila nilimwambia tu tuachane for good afu nikablock na hakuamini mpaka leo na moyoni inamtesa maana kwa sasa hayuko vizuri kimaisha ukilinganisha na kipindi yupo na mimi .

Hawa michepuko bro ukiamua kuwekeza wekeza ukiamua kumuacha acha na usijutie kwa chochote ,toka afu tafuta mwingine wekeza chakata mbususu maisha yaendelee

Wanaume wenye MICHEPUKO Nawasalimu kwa jina la Kuchakata MBUSUSU.....na wote tujibu Michepuko iendelee tusisahau wake zetu.....
michepuko iendelee
 
Kuhimili maumivu ya wanawake jitahidi uwe unapiga bila kurudia, uwe nao wengi hata 30, lakini tumia condoms kila mara, kila tendo, changanya na Malaya umo umo, wake za watu kusudi ukitoka kupiga jamaa mwingine akichukuwa uone kitu cha kawaida, yale ni mashimo tu regardless mke wako, nyumba ndogo, girlfriend , Malaya mashimo ni yale yale tu tofauti yake ni usafi , unene, udogo, ndefu, pana, umbo la mwili lakini mwisho wa siku ni kukojoa tu. Hivyo ukiwa nao wengi uwezi kuwa na wivu tena wa hayo mashimo. Pia chukuwa mizigo ya maana wale Malaya wazuri wazuri kuzidi mke wako mwonekano, wawe wengi hapo hata mkeo au girlfriend wako akileta shobo utamwona kituko tu huwezi kuumia sana sana utasema moyoni aondoke haraka kwenye himaya yako. Wapo Malaya wazuri mpaka unajiuluza kakosa nini huyu binti. Ukimwona mtaani mchana unatamani kupeleka posa kumbe Malaya. Hivyo ukipitia mazingira hayo mwanamke yeyote hapa duniani hawezi kukukosesha usingizi utamwona ni wale wale uliyopitia hana jipya.kwa hiyo jitahidi uwe nao wengi sana. Kila ukihitaji unapiga simu anakuja unakuwa na selection kubwa kwa wakati wowote. Siyo kamoja kanakupa pressure na kukosa usingizi na kuja kulalamika uku janvini.

IMG-20220202-WA0077.jpg
 
Yana- run dunia
Pole sana ila maisha lazima yaendelee
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Huwa mnaambiwa kila siku Rudi njia kuu mchepuko sio dili huwa hamsikii usiwekeze Kwa mchepuko hakuna faida
 
Kuhimili maumivu ya wanawake jitahidi uwe unapiga bila kurudia, uwe nao wengi hata 30, lakini tumia condoms kila mara, kila tendo, changanya na Malaya umo umo, wake za watu kusudi ukitoka kupiga jamaa mwingine akichukuwa uone kitu cha kawaida, yale ni mashimo tu regardless mke wako, nyumba ndogo, girlfriend , Malaya mashimo ni yale yale tu tofauti yake ni usafi , unene, udogo, ndefu, pana, umbo la mwili lakini mwisho wa siku ni kukojoa tu. Hivyo ukiwa nao wengi uwezi kuwa na wivu tena wa hayo mashimo. Pia chukuwa mizigo ya maana wale Malaya wazuri wazuri kuzidi mke wako mwonekano, wawe wengi hapo hata mkeo au girlfriend wako akileta shobo utamwona kituko tu huwezi kuumia sana sana utasema moyoni aondoke haraka kwenye himaya yako. Wapo Malaya wazuri mpaka unajiuluza kakosa nini huyu binti. Ukimwona mtaani mchana unatamani kupeleka posa kumbe Malaya. Hivyo ukipitia mazingira hayo mwanamke yeyote hapa duniani hawezi kukukosesha usingizi utamwona ni wale wale uliyopitia hana jipya.kwa hiyo jitahidi uwe nao wengi sana. Kila ukihitaji unapiga simu anakuja unakuwa na selection kubwa kwa wakati wowote. Siyo kamoja kanakupa pressure na kukosa usingizi na kuja kulalamika uku janvini.
Kokolo popote ulipo kunywa chochote nakuja kulipa
 
Dah! Jamaa alikutana na maswahibu makubwa Sana[emoji848]
Usipotia akili tutakupoteza kizembe namna hiyo hiyo kwa yule mchepuko wako , waza familia yako achana ba kuendekeza tamaa,,
 
Hii iwaendee wanaume wote wanaojisifia kubadilisha mbususu, mi naona ni kakichaka tu kakuficha ushoga wenu ooh mwanamke asikusumbue akili kwahiyo mnataka wanaume wenzenu ndo wawasumbue akili😅😅
 
Hii iwaendee wanaume wote wanaojisifia kubadilisha mbususu, mi naona ni kakichaka tu kakuficha ushoga wenu ooh mwanamke asikusumbue akili kwahiyo mnataka wanaume wenzenu ndo wawasumbue akili[emoji28][emoji28]
Hapana, si kichaka cha kuficha ushoga. Bali ni uamuzi tu wa mtu kutotaka mwanamke amsumbue akili.

Hata mimi huwa sisumbuliwa'gi' akili na mwanamke hata awe kama malaika. Yaani naweza kumuacha na kumpotezea mazima mchepuko kwa kosa moja tu dogo, na sirudi nyuma kamwe.

Sio kila anayebadilisha mbususu ni shoga, mimi mbona nilibadilisha sana enzi za ujana na sikuwa shoga?
Hayo ni mapendeleo ya mtu tu, hayahusiani na ushoga.
Nawasilisha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Yaani anayekutesa ni mchepuko???? Na mke unaye??? Badala ya kuwekeza Kwa mkeo unawekeza Kwa mchepuko ambaye haoni thamani yako, mkeo anaona thamani yako wekeza kwake
 
Hii iwaendee wanaume wote wanaojisifia kubadilisha mbususu, mi naona ni kakichaka tu kakuficha ushoga wenu ooh mwanamke asikusumbue akili kwahiyo mnataka wanaume wenzenu ndo wawasumbue akili😅😅
Mwanamke anafaa kusimamiwa na kuongozwa ukiacha mwanamke akuongoze utajuta
 
Hapana, si kichaka cha kuficha ushoga. Bali ni uamuzi tu wa mtu kutotaka mwanamke amsumbue akili.

Hata mimi huwa sisumbuliwa'gi' akili na mwanamke hata awe kama malaika. Yaani naweza kumuacha na kumpotezea mazima mchepuko kwa kosa moja tu dogo, na sirudi nyuma kamwe.

Sio kila anayebadilisha mbususu ni shoga, mimi mbona nilibadilisha sana enzi za ujana na sikuwa shoga?
Hayo ni mapendeleo ya mtu tu, hayahusiani na ushoga.
Nawasilisha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Sidhani km ulihitaji kuandika maelezo yoote haya isitoshe sijakuuliza
 
Back
Top Bottom