Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

Hauko experienced when it comes to women poleeeeee, mwanaume shababi um cheat mara mbili?! Thubutuuuu mbona utaletewa wanawake dozi mara tatu kwa siku, asubuhi mwanamke, mchana mwanamke mwingine, usiku mwingine, Inaelekea uko gentle na hujazoea kuruka ruka mwaya sali sana Mungu akupe wa kufanana na wewe, hio migube gube wacha yale mafisi yahangaike nayo
Hatari
 
Nikusaidie tu kidogo. Mwanamke kama hakupendi hakupendi tu. Hata ungempa mamilioni atakuonyesha tabasamu usoni lakini yeye ana mtu wake anayemuwaza.

Nakumbuka jamaa yetu alikufa kifo kibaya sana pale mlimani City, alikua na kimada akakifungulia tigo pesa sasa kumbe kuna bodaboda ndio anapendwa na mwanamke yule, Jamaa akajua ile ishu ikabidi ampige mkwala binti siku akiwakuta atamfumua ubongo binti na boda boda wake.

Sasa kumbe jamaa alimpangishia hadi nyumba yule binti lakini akitoka tu boda anakuja kulala.

Siku moja jamaa anaosha gari pale mlimani City akaona ngoja nitembee tu kwa mguu nikamwone bibie, aisee alichokikuta alipofika pale kwenye banda la Tigo pesa hakuamini. Kamkuta boda boda anakula mate alafu ndio kakaa kwa ndani bibie Kamkalia juu.

Mshikaji akapanic ile kuuliza tu yule binti na boda wakamwitia mwizi huwez amini jamaa alikufa kwa kipigo na bastola yake kiunoni.

Bahati nzuri kabla hajachomwa moto mzee mwenye nyumba alipotoka ndani ndio akawaambia watu huyu sio mwizi ila ndio aliyempangishia huyu binti hapa kwangu.

Ilikua ni kifo kibaya sana maana hata mkewe hakuamini kama mumewe kafa kizembe namna ile.

RIP Jimmy. [emoji120]
Duh kwahio jamaa alipanic mlimani city ya uraiani au mule ndani?
 
Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Hupaswi kuwa na hasira.

Ni jambo jema na unapaswa kushukuru kwa kuutua huo mzigo, kulingana na maelezo yako hapo juu, Pia zingatia kuwa hesabu zake, kuhusu maisha ya baadae, kwa sasa haziendani na hesabu zako kabisa. Na ndio sababu ya maamuzi aliyochukua.

Baki njia kuu, upendo elekeza kwa familia yako na maisha yatasonga vyema zaidi.
 
Wanawake hoyeeee,tupo vzr!
Mchepuko unakuumiza kichwa?
Kweli wanawake ni noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake hawana noma yeyote ila mwanetu ndio ndezi! Unawekeza vipi kwa mchepuko? Mchepuko mfanye kama betting una stake kile ambacho ukipoteza roho haiumi. Sasa hawara umnunulie iphone 13 pro halafu atishie kukuacha si lazima roho itauma😅 hawara mnunulie itel tu y elf 80!

Kinachomuuma mwamba mali alizompa hawara wake ndio ambazo anazitumia kuhonga kibwana chake kinachomla sahizi kimya kimya. Na ndio zinampa kiburi tu cha kumfanyia dharau. Hela ashapata sasa atababaishwa na nini!

Hii dharau ya kiwango cha SGR ndio inamtesa mtoa mada. Malaya hafadhiliki bana mnunulie chakula mgonge inatosha. Sio kujipa majukumu ya mume kwa hawara
 
Ila wanaume Mungu anawaona,yaani unalala na mkeo unakosa usingizi kisa mchepuko?[emoji119]aisee
Mungu atusaidie wanawake
Changamoto kubwa inayotukabili sisi wanaume kuwa na mwanamke mmoja tu nyakati zote ni haiwezekani, na naamini kabisa hata wanawake wenyewe wanajua hakuna mwanaume wa peke yake.
 
One man down…..
I REPEAT
One man down…..
Eagle one…do u copy

Mkuu itafute hii movie bonge moja la picha hapa mrusi alicheza bana….
Copy sir we are sending air support [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jail is calling this niga
I repeat Jail is calling this nigga.....
 
Kwenye maisha kama hutaweza ku move on katika kila kitu kinachotokea katika maisha yako basi utaishi maisha ya shida sana maishani mwako hasa mambo ya mahusiano yanaumiza ila ndo hivyo inabidi kuna mda usonge mbele.
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Expectations ni zao la depression na hasira za kujitakia fanya kama ulitoa mchango kwa watoto yatima.
 
Kama wadau wengi walivyosema mkuu, wewe songa mbele, achana nae. Atakuja kujuta na kukuona wathamani mbeleni. Unajua wanawake huwa hawafikiri mbeleni wanaangalia sasa tu.
 
Wakuu habarinu za uck, hakuna usingizi nimekaa kitandani namuwaza huyu kiumbe ambaye kwakweli moyo wake nikama mnyama pori, ndiyoo nastahili kumuita hivyo.

Nimchepuko wangu niliye kutana nae akiwa katika mazingira dunia sana, mwanzo sikuwaza kama hata ningeweza rudia tendo nae lakini Cha ajabu leo ni mwaka wapili nipo nae japo kwa shida
Wakati huo namkuta kwakweli alikuwa choka mbaya sanaaa, mfano hata cm aliyo nayo ilikuwa ya batan haina mfuniko na kwavile alionyeshwa kuniheshimu sana nami niliona isiwe shida ngoja nimpe heshima yake, kweli nilimfanya akapata heshima kubwa kuanzia mtaani, kanisani na hata kwa wenzake.

Alikuwa hakosi nguo nzuri aliyo itaka, cm nzuri na hata mitindo yote ya nywele haikumpita,alikuwa akisafiri na mm mikoa mbalimbali ninapo kuwepo kikazi ,nilimfundisha mambo mengi Sana ya dunia.

Nilimtafutia mtaji akuze biashara yake ndogo aliyo naye ili iwe kubwa,
Ndipo akaanza dharau hata na kunisaliti Mara ya kwanza nikagundua akaomba msamaha nikasamehe, Mara ya pili hivyohivyo ikiwa nipamoja na kukuta sms za x wake akimwambia kuwa "hajatokeaga bado wa kama yeye" akaomba nikasamehe.

Jana nilipanga onana nae jioni lakini huwezi amini aliniambia eti hawezi kutoka kwasababu Kuna watu hapo barabarani kwao,tulizozana sana na nikamwambia Sasa imefika mwisho wa mm na yy na hakujali kt zaidi sana akaniambia kilalakheri,nikategemea asubuhi anitafute kama sikuzote lakini hollaaa,jioni hii kanitext text ndefu eti anakwenda mkoa B tuliyo toka wikiiliyo pita akaanze maisha huko et kwasababu hataki kuwa karibu na mm anisahau.

Sasa ninahasira na huyu kiumbe na ukweli Leo nimeona nijidai mjinga ili kesho nionane nae halafu nimfundishe adabu ikiwa nipamoja na kuipondaponda hiyo simu.lakini ushauri wenu n muhimu sana enyi Great thinker,
Hujampa haki yake kisawasawa!
Tatizo inaelekea liko kwako.
 
Back
Top Bottom