TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Hahaaa hahaaa... Aisee mi huwa naamini kuwa mtoto unavyotaka awe ndio atakavyokuwa.. Ukimfeed with the correct info na behaviors ataziishi tu maana akiwa mdogo ubongo wake hauna kitu so ukimpa matango pori ataendelea nayo vivo hivyo ukimpa vitu sahihi
Daah ndio maana tunawaona kina Junior na vituko vyao sio kwa malezi haya, yaani mtoto anafanya uharibifu unamchekea