Jeceel
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 1,476
- 3,116
Kwani Mimi ni unorphanage zimejaa na watoto.. Kawasaidie..
Kwani Mimi ni unorphanage zimejaa na watoto.. Kawasaidie..
Umeolewa? Kama bado nafikiri tamani ndoa kwanza then ndio utamani watotoKwani Mimi ni un
Hii ndio raha ya kua na mtoto.Yaani hapa ndipo nnapokosa mzuka wa kuwa na kidi aisee
Dah!! Mimi ndio napata mzuka hasa. Hawa jamaa wakishaharibu ndio utacheka hata maumivu huyahisiYaani hapa ndipo nnapokosa mzuka wa kuwa na kidi aisee
hahhahahhhahHaaa haaaa haaa wa kwangu, nilijitutumua nikanunua TV flat screen size 43 Inch, narudi toka job nakuta amepasusua na nyundo TV ikiwa na miezi 3 niliishia kushika kiuno huku yeye ananikimbilia kuniwawooo, kwakweli alichonifanyia Mungu anamuona!
Tena wanachekaHalafu ajabu unawakuta hapo hapo kwenye crime scene
Kama mimi tuHuyo kid aLyenyofoa batan kwenye pc walahi ambcho ningemfanya angesimulia vizaz vyake
Baada ya kuwaadhibu utajikuta unatabasamu na kutikisa kichwaTena wanakuchekea
AmeenAfu ukute kuna mzazi atawakung'uta watoto kama punda *****.
I have 2 little boys ambao wamefatana. sidhani kuna ambacho sijakiona bado. Wakiwa kimya ujue kinachofata ni mapigo ya moyo kuongezeka.
Mmoja akiwepo kutatulia kidogo. Wait wawe pamoja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
May Allah grant the gift of parenthood to all those that seek it. Ameen.
Yaani umeona eeen. We ukisikia kelele nyingi endelea na kazi. Ukimya na hatarasi sana kwa hivi viumbeUkiona wako kimya ujue kuna illigal business inaendelea huko 😂😂
[emoji23]Duh! kuosha kuku kwakweli mlikuwa nomaHii thread imenikumbusha tukiwa wadogo tuliwachukua kuku waliokuwa wanatamia tukawa tunawaogesha na kuwasugua miguu kwa brush,, halafu tunawarudisha kwenye mayai na Yale maji maji wakashindwa kutotoa
Hahahahahah yaan hapo tulikuwa tunaharibu tu sabuni na maji...halafu tunashindana eti nani kuku wake ametakata zaidi[emoji23]Duh! kuosha kuku kwakweli mlikuwa noma