Pale unapowaacha dakika mbili peke yao...

Pale unapowaacha dakika mbili peke yao...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatiaga hasira ila Cha kuwafanya huna.
Jana wengine wamemwaga mafuta yangu mapya wamesambaza sebule nzima,mengine wamejipakapaka.
Muda huo Mimi nipo kupika.

Yaani nimekosa Cha kuwafanya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],mafuta nmenunua mchana dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiona mtoto huko aliko ametulia kimya ujue Kuna kitu anaharibu,hawajawahigi tulia bila kuharibu kitu.
Itakuwa wanajishtukia.

Dhamiri zinafanya kazi
 
Kwa komenti nyingi nilizosoma hakika wazazi tunaandaa kizazi cha hovyo pasipo kujua,hivi unafurahia mtoto kufanya uharibifu???
Mtoto akanywe kufanya uharibifu,utundu wake uwe na mipaka wanangu ni watundu lakini hawajawahi kunitia hasara kubwa,na wala sijawahi kuwafurahia wafanyapo uharibifu.
 
Sasa utamkanya mtoto wa mwaka mmoja atakuelewa?
 
Hahahahhh
FB_IMG_15650261489262997.jpg
FB_IMG_15650261412377004.jpg
FB_IMG_15650261250970505.jpg
FB_IMG_15650261173316932.jpg
 
mwanangu akiwa mdogo alikuwa mtundu sana, alishawah kuchukua nyundo na misumar akatoboa sufuria zote..

kuna siku nikakuta kacha chandarua zote kwa mikasi, nxt day nikaacha external disk chumban nilikuta kanyofoa mpka sumaku za ndani..

kwa ss kawa mpole na akili nyingi kuliko kawaida
 
Back
Top Bottom